Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majengo chuo cha tiba cha kijeshi yakabidhiwa

SERIKALI imekabidhiwa majengo mapya ya Chuo cha Sayansi na Tiba cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi. Akizungumza baada ya makabishidhiano hayo, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi (pichani) alisema chuo hicho kitasaidia kuongeza utoaji wa wataalamu wa tiba hususani madaktari.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA KIMATAIFA CHA TIBA NA TEKNOLOJIA IMTU (IMTUSO), YAOMBA CHUO CHAO KISIFUNGWE

Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia IMTU (IMTUSO), (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa kwa umma kufuatia maagizo ya Tume ya vyuo vikuu Tanzania (TCU) dhidi ya chuo cha IMTU. Kulia ni Naibu Naibu Waziri wa Mikopo na Ruzuku wa IMTU, Benson Lukwambe na Makamu wa Rais, Walter Nnko.
Na Dotto Mwaibale
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia IMTU wameiomba Tume ya Vyuo...

 

10 years ago

GPL

SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA KIMATAIFA CHA TIBA NA TEKNOLOJIA IMTU (IMTUSO), YAOMBA CHUO CHAO KISIFUNGWE‏

 Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia IMTU (IMTUSO), Meekson Mambo. Makamu wa Rais IMTUSO, Walter Nnko.…

 

10 years ago

Vijimambo

WANAJESHI KUTOKA CHUO CHA KIJESHI CHA KENYA WATEMBELEA TBL

Mpishi Mkuu wa Bia wa Kiwanda wa cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam, Kelvin Nkya akitoa maelezo ya jinsi bia inavyochachuliwa wakati wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya walipotembelea kiwanda hicho jana, wakiongozwa na maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)Wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya, wakipata maelezo kutoka kwa Mpishi Mkuu wa Bia wa Kiwanda wa cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam, Kelvin Nkya (kushoto), kuhusu mitungi inayotumika kupikia bia ...

 

10 years ago

Vijimambo

Ujumbe kutoka Chuo cha Kijeshi cha Nigeria watembelea Wizara ya Mambo ya Nje

Mwakilishi wa Katibu Mkuu na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw.Elibariki Maleko(katikati) akizungumza kuukaribisha Ujumbe kutoka Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha nchini Nigeria (hawapo pichani) ulipokutana na Watendaji wa Wizara kwa ajili ya kujifunza masuala mbalimbali yanayohusu Sera ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Kikanda na Kimataifa. Ujumbe huo unaongozwa na Brigedia Generali Jimoh (wa pili kushoto) na upo...

 

11 years ago

Mwananchi

Msondo; Chuo cha muziki kisicho na majengo

>Inaitwa Msondo Music Band ikiwa ni bendi  iliyopitia majina mengine matatu kabla ya hilo. Ilipoanzishwa iliitwa Nutta Jazz  baadaye Juwata Jazz, kisha Ottu Jazz, mabadiliko ambayo yaliakisi pia kubadilika kwa jina la Chama cha Wafanyakazi  kilichokuwa kikimiliki bendi hiyo.

 

11 years ago

Habarileo

Chuo Kikuu cha Stefano Moshi chakabidhiwa majengo

CHUO Kikuu Kishiriki cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCo) cha mkoani Kilimanjaro, kimekabidhiwa majengo ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kwa mkataba wa miaka mitano, lengo likiwa ni kuboresha maendeleo ya elimu nchini.

 

5 years ago

Michuzi

UBORESHWAJI KITUO CHA AFYA BUNDA MJINI IKIWEMO MAJENGO MAPYA NA VIFAA TIBA VYA KISASA

 . Muonekano wa chumba cha upasuaji katika kituo cha afya Bunda mjini baada ya kuboreshwa  na Serikali ya Awamu ya Tano kwa gharama ya shilingi milioni 500 kwa kujengewa majengo mapya na vifaa tiba vya kisasa. PIX2. Sehemu  ya  majengo ya  kituo cha Afya Bunda   mjini mkoani Mara  baada ya kuboreshwa na kuanza kutoa huduma za upasuaji kwa wananchi wa mji huo na maeneo ya jirani. (Picha  na  MAELEZO).

 

9 years ago

StarTV

Majengo machakavu changamoto kwa walemavu Chuo Cha Ufundi Yombo

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia watu wenye ulemavu Dokta Abdallah Possi ameeleza kusikitishwa na hali aliyoikuta katika Chuo cha Ufundi Yombo kwa watu wenye ulemavu.

Katika ziara yake ya kwanza tangu ateuliwa kushika wadhifa huo, Dokta Possi amekuta uchakavu wa majengo ya chuo hicho sambamba na kumegwa kwa eneo la ukubwa wa ekari Tano.

Dk. Possi ambaye alifika chuoni hapo alianza kwa kukagua maeneo yanayozunguka chuo hicho na kujionea hali halisi ya chuo hicho kilichodaiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani