Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAJESHI KUTOKA CHUO CHA KIJESHI CHA KENYA WATEMBELEA TBL

Mpishi Mkuu wa Bia wa Kiwanda wa cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam, Kelvin Nkya akitoa maelezo ya jinsi bia inavyochachuliwa wakati wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya walipotembelea kiwanda hicho jana, wakiongozwa na maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)Wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya, wakipata maelezo kutoka kwa Mpishi Mkuu wa Bia wa Kiwanda wa cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam, Kelvin Nkya (kushoto), kuhusu mitungi inayotumika kupikia bia ...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Ujumbe kutoka Chuo cha Kijeshi cha Nigeria watembelea Wizara ya Mambo ya Nje

Mwakilishi wa Katibu Mkuu na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw.Elibariki Maleko(katikati) akizungumza kuukaribisha Ujumbe kutoka Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha nchini Nigeria (hawapo pichani) ulipokutana na Watendaji wa Wizara kwa ajili ya kujifunza masuala mbalimbali yanayohusu Sera ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Kikanda na Kimataifa. Ujumbe huo unaongozwa na Brigedia Generali Jimoh (wa pili kushoto) na upo...

 

10 years ago

Michuzi

Wanafunzi wa Chuo cha Taifa CHA UTALII WATEMBELEA TBL

 Wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii wakipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Uzalishaji wa Kampuni ya Bia Tanzania(TBL),Castor Massawe (mbele katikati) jinsimalighafi za nafaka zinavyohifadhiwa katika ghala, walipotembelea kiwanda cha TBL, Dar es Salaam juzi.
 Mhandisi Uzalishaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Castor Massawe (katikati) akitoa maelezo kuhusu upishi wa bia kwa njia ya kompyuta wakati wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii walipotembelea kiwanda cha TBL, Dar es Salaam...

 

10 years ago

Michuzi

UJUMBE KUTOKA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI (NDC) WATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DAR

Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania, Meja Jenerali GS Milanzi(kushoto) akisalimiana na baadhi ya Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza walipofanya ziara ya mafunzo Makao Makuu ya Jeshi la Magereza leo Januari 27, 2015(wa pili kushoto) ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa.Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania, Meja Jenerali GS Milanzi(kushoto) akisaini katika kitabu cha wageni mapema leo alipowasili Makao Makuu ya Jeshi la Magereza kwenye ziara ya...

 

5 years ago

Michuzi

MAAFISA WASHIRIKI KUTOKA CHUO CHA ULINZI WA TAIFA(NDC) WATEMBELEA KIWANDA CHA GEREZA KUU UKONGA JIJINI DSM


Maafisa Washiriki kutoka Chuo cha Ulinzi wa Taifa wakizungumza na mfungwa ambaye amepatiwa ujuzi gerezani wa fani ya ushonaji katika Kiwanda cha Ushonaji cha Gereza Kuu Ukonga kama inavyoonekana katika picha. Maafisa Washiriki kutoka Chuo cha Ulinzi wa Taifa wakitoka  katika Kiwanda cha Gereza Kuu Ukonga kuendelea na ziara yao ya mfunzo katika maeneo mbalimbali...

 

11 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WANAOCHUKUA MASOMO YA SHAHADA YA UZAMILI NA UZAMIVU KATIKA RELI KUTOKA CHUO KIKUU CHA SOUTHWEST JIATONG CHA NCHINI CHINA WATEMBELEA WIZARA YA UCHUKUZI LEO

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Bi. Monica Mwamunyange akibadilishana kadi na Profesa Liu Xueyi kutoka Chuo kikuu cha Southwest Jiatong, wakati mkufunzi huyo na wanafunzi wa chuo hicho walipotembelea wizara ya Uchukuzi leo mchana kujifunza na kubadilishana uzoefu katika masuala ya reli hasa reli ya mwendo kasi.

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Bi Monica Mwamunyange, akifafanua jambo kwa Wakufunzi na wanafunzi wanaochukua shahada za Uzamili na Uzamivu katika Reli kutoka Chuo...

 

9 years ago

Habarileo

Majengo chuo cha tiba cha kijeshi yakabidhiwa

SERIKALI imekabidhiwa majengo mapya ya Chuo cha Sayansi na Tiba cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi. Akizungumza baada ya makabishidhiano hayo, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi (pichani) alisema chuo hicho kitasaidia kuongeza utoaji wa wataalamu wa tiba hususani madaktari.

 

10 years ago

Michuzi

Maafisa Wakuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa cha Afrika Kusini watembelea Wizara ya Mambo ya Nje

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Joachim Otaru akitoa hotuba kuhusu Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania, nafasi ya Tanzania katika kutekeleza majukumu ya kimataifa na uwakilishi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa kwa Maafisa Wakuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa cha Afrika Kusini. Maafisa hao wapo nchini kwa ziara ya mafunzo hadi tarehe 02 Oktoba 2014. Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda katika Wizara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani