Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nahreel kufungua chuo cha muziki ‘TIMS’

Producer Nahreel na msanii wa kundi la Navy Kenzo, anaanzisha chuo cha muziki chini ya studio yake ya The Industry. Nahreel amesema kuwa mafunzo yatakayotolewa katika chuo cha TIMS (The Industry Music School) ni pamoja na utengenezaji wa midundo, ufanyaji wa mixing na mastering, kutunga, kurap, kuimba,na usimamizi wa biashara ya muziki. “Classes zitaamza karibuni […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Nahreel aeleza kwanini hajachukua wasanii tofauti na washikaji zake wale wale kufundisha kwenye chuo chake, ‘TIMS’

Kile chuo cha muziki ambacho producer Nahreel wa The Industry amesema anakifungua ‘TIMS’, kitakuwa na walimu ambao ni washikaji zake tuliozoea kuwaona pamoja. Wapo wasanii na maproducer wengi wenye ujuzi na ufahamu mkubwa wa muziki Tanzania, lakini Nahreel amewachagua wakina Nikki WA Pili, Aika, Vee Money kuwanoa wanafunzi wa ‘TIMS’ bila kuhitaji wasanii tofauti na […]

 

9 years ago

Bongo5

Nahreel aelezea kwanini ameweka masharti magumu ya kujiunga na chuo chake cha muziki

Producer wa The Industry, Nahreel amesema kuwa lengo la kuanzisha chuo cha muziki ni kutaka kutengeneza watu watakaoweza kuja kuleta mapinduzi kwenye muziki wa Bongo. Hit maker huyo wa ‘Nana’ ya Diamond na ‘Game’ ya Navy Kenzo ameongeza kuwa kutokana na sababu hiyo ndio maana hachukui watu hovyo hovyo wanaohitaji kujiunga na chuo chake cha […]

 

10 years ago

Bongo5

Daz Baba apanga kufungua kituo cha mafunzo ya ujasiriamali utokanao na muziki

Member wa kundi la Daz Nundaz, Daz Baba anatarajia kuanza kufanya ziara za muziki mikoani ili kukusanya pesa zitazosaidia kuanzisha kituo cha mafunzo ya ujasiriamali utokanao na muziki. Daz ameiambia Bongo5 kuwa tayari ameshapanga kuanza na mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Mbeya. “Hii tuor ni kwaajili ya tasisi yangu Tanzania Songambele Daima Organization,” amesema. […]

 

10 years ago

Vijimambo

CHUO CHA MUZIKI CHA TRIPLE J SOUND & MUSIC COLLEGE KIMEFANYA MAHAFALI YAKE YA KWANZA.

Mgeni rasmi Mchungaji Sunday Matondo akitoa hotuba katika mahafali ya kwanza ya chuo cha Muziki cha Triple J. Mkurugenzi wa Chuo cha muziki cha Triple j sound & music college, Dk. Leonard Maboko, akizungumza katika mahafali hayo.Mhitimu wa Chuo cha Triple J akisoma risala kwa mgeni rasmi katika mahafali yao.Afisa Fedha na Utawala wa Chuo cha Trple J, Mrs Leah Chifunda akitoa utambulisho kwa wageni na wazazi katika mahafali.Mkuu wa Chuo cha Triple J, Caleb Mwanjoka akitoa neno la shukrani kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Msondo; Chuo cha muziki kisicho na majengo

>Inaitwa Msondo Music Band ikiwa ni bendi  iliyopitia majina mengine matatu kabla ya hilo. Ilipoanzishwa iliitwa Nutta Jazz  baadaye Juwata Jazz, kisha Ottu Jazz, mabadiliko ambayo yaliakisi pia kubadilika kwa jina la Chama cha Wafanyakazi  kilichokuwa kikimiliki bendi hiyo.

 

11 years ago

GPL

ZANZIBAR KUANZISHA CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI KWA WANAWAKE KWA KUSHIRIKIANA NA CHUO CHA BAREFOOT CHA INDIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akipokea zawadi mara alipowasili katika Chuo cha Mafunzo ya Amali kiitwacho Tilonia, Wilaya ya  Ajmer Jimbo la Rajastan akiwa  katika siku ya pili ya ziara yake nchni India pamoja na ujumbe aliofuatana nao.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili Affani Othman Maalim (kulia) kwa niaba ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Chuo cha takwimu cha India kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya mafunzo ya watalamu wa Chuo ch EASTC

EASTC 7

Mkuu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC) Prof. Innocent Ngalinda akimwelezea Naibu Balozi wa India nchini Balvinder Humpal kuhusu chumba cha kompyuta kilichopo chuoni hapo wakati wa kuangalia maadalizi ya kutiliana saini ya Mkataba wa Makubaliano ya Mafunzo ya Watalaam wa Takwimu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika na Chuo cha Takwimu cha nchini India utakaosainiwa tarehe 28 Machi, 2015.(PICHA NA VERONICA KAZIMOTO).

Na Veronica Kazimoto, MAELEZO

Chuo cha Takwimu Mashariki...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA KIMATAIFA CHA TIBA NA TEKNOLOJIA IMTU (IMTUSO), YAOMBA CHUO CHAO KISIFUNGWE

Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia IMTU (IMTUSO), (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa kwa umma kufuatia maagizo ya Tume ya vyuo vikuu Tanzania (TCU) dhidi ya chuo cha IMTU. Kulia ni Naibu Naibu Waziri wa Mikopo na Ruzuku wa IMTU, Benson Lukwambe na Makamu wa Rais, Walter Nnko.
Na Dotto Mwaibale
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia IMTU wameiomba Tume ya Vyuo...

 

10 years ago

GPL

SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA KIMATAIFA CHA TIBA NA TEKNOLOJIA IMTU (IMTUSO), YAOMBA CHUO CHAO KISIFUNGWE‏

 Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia IMTU (IMTUSO), Meekson Mambo. Makamu wa Rais IMTUSO, Walter Nnko.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani