Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shabiki wa Chris Brown anyoa mtindo wa kava ya Loyalty

chris-brownMtindo alionyoa shabiki huyo.

IKIWA ni saa chache baada ya staa wa muziki wa Pop duniani, Chris Brown jana Ijumaa Desemba 18 kuachia albamu yake mpya iliyokuwa ikisubiliwa kwa hamu na mashabiki zake inayotambulika kwa jina la Royalty, mmoja wa mashabiki zake ameamua kunyoa nywele zake kwa mtindo unaoonesha picha iliyopo kwenye kava ya album ya Chris Brown ‘Loyalty’.

Chris-brown-royalty-album-coverPicha hiyo inamuonesha Chris Brown akiwa amembeba mwanaye aitwaye Loyalty.

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Mtoto wa Chris Brown sasa ni Royalty Brown rasmi

Chris Brown na mzazi mwenzie, Nia Guzman wamemaliza vita vyao kuhusiana na haki ya kila mmoja kukaa na mtoto wao pamoja na jina lake rasmi kwenye cheti cha kuzaliwa. Vyanzo vimeuambia mtandao wa TMZ kuwa Chris na Nia wamekubaliana rasmi kumlea pamoja mtoto huyo. Chris atakaa naye kwa siku 12 katika mwezi na hakutakuwa na […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Chris Brown — Zero

Msanii Chris Brown ameachia wimbo mpya mwingine unaitwa “Zero” utakaokuepo kwenye Album yake mpya ambayo inategemewa kutoka hivi karibuni. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Video: Chris Brown – ‘Little More (Royalty)’

final4

Chris Brown ameachia video mpya ya wimbo ‘Little More (Royalty)’ ikiwa ndio final chapter inayokamilisha album mpya ya Chris. video queen si mwingine bali mwanae mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu, Royalty! angalia hapa.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

CHRIS BROWN ANATIA HURUMA

Staa wa muziki wa RnB, Chris Brown. Chicago, Marekani
MAPENZI yanaumiza! Hii ni baada ya staa wa muziki wa RnB, Chris Brown, mwishoni mwa wiki iliyopita kunaswa akiomba kumrudia ex-girlfriend ambaye ni modo na mtangazaji, Karrueche Tran. Karrueche Tran akiondoka kutoka katika Klabu ya Playboy huko Chicago, Marekani. Chriss na Karrueche waliachana hivi karibuni kufuatia staa huyo wa Kibao cha Royal kutomjulisha mpenzi wake huyo...

 

10 years ago

GPL

10 years ago

BBCSwahili

Nyumba ya Chris Brown yavamiwa

Nyumba ya nyota wa muziki Chris Brown kutoka Marekani imevamiwa na kupekuliwa na watu watatu waliofunika nyuso zao ambao walimfungia shangazi lake ndani chumba chake kulingana na maafisa wa polisi.

 

9 years ago

Bongo5

New Video: Chris Brown – Fine By Me

cb-fine-by-me

Alitanguliza audio ya wimbo huu mpya ‘Fine By Me’ siku ya jana, na sasa Chris Brown ameachia video yake.

cb-fine-by-me

Video hii imeongozwa na Breezy mwenyewe.

‘Fine By Me’ ni wimbo utakaopatikana kwenye album yake mpya ‘Royalty’ ambayo sasa watu wameanza kuruhusiwa kuweka oda kupitia iTunes.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani