CHRIS BROWN ANATIA HURUMA
![](http://api.ning.com:80/files/tei6Zvghx238gPP88Gz7h7DY910em1q7KTQF5tP-QOnpfIiRnXqN-CcbK9juZai9vpr45IN12BeEYCHbwxKjEkDsFyiELse4/Chris_Brown_iHeart_Radio.jpg?width=650)
Staa wa muziki wa RnB, Chris Brown. Chicago, Marekani MAPENZI yanaumiza! Hii ni baada ya staa wa muziki wa RnB, Chris Brown, mwishoni mwa wiki iliyopita kunaswa akiomba kumrudia ex-girlfriend ambaye ni modo na mtangazaji, Karrueche Tran. Karrueche Tran akiondoka kutoka katika Klabu ya Playboy huko Chicago, Marekani. Chriss na Karrueche waliachana hivi karibuni kufuatia staa huyo wa Kibao cha Royal kutomjulisha mpenzi wake huyo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1UL3ifpm7LuNFyubT92cWak1o-dztFxmjtsdT-gv18LJBF7QXhCDEVFIo9FHuZkjHMDa6FxueBXbUogZ6omI0GIfvB9NxRXu/MAXI.jpg)
Maximo anatia huruma, awaaga wachezaji kwa majonzi
9 years ago
Bongo529 Sep
Mtoto wa Chris Brown sasa ni Royalty Brown rasmi
9 years ago
Bongo518 Sep
Video: Chris Brown — Zero
10 years ago
GPL23 Aug
9 years ago
Bongo518 Dec
Music: Chris Brown – Little More (Royalty)
![little2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/little2-300x194.png)
Baada ya kutoa single ya “Anyway”,‘Wrist’,‘Back to Sleep’ Chris Brown ameachia tena nyingine mpya! Wimbo unaitwa ‘Little More (Royalty)’ na ni single special kwajili ya mwanae wa mwaka mmoja na nusu, Royalty.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo518 Dec
Video: Chris Brown – ‘Little More (Royalty)’
![final4](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/final4-300x194.jpg)
Chris Brown ameachia video mpya ya wimbo ‘Little More (Royalty)’ ikiwa ndio final chapter inayokamilisha album mpya ya Chris. video queen si mwingine bali mwanae mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu, Royalty! angalia hapa.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
BBCSwahili16 Jul
Nyumba ya Chris Brown yavamiwa