Maximo anatia huruma, awaaga wachezaji kwa majonzi
![](http://api.ning.com:80/files/1UL3ifpm7LuNFyubT92cWak1o-dztFxmjtsdT-gv18LJBF7QXhCDEVFIo9FHuZkjHMDa6FxueBXbUogZ6omI0GIfvB9NxRXu/MAXI.jpg)
Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo. Na Waandishi Wetu AKIWA na uso wa huzuni, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, jana alifika kwenye mazoezi ya timu hiyo asubuhi na kuwaaga wachezaji wake. Hiyo ni baada ya kupewa taarifa za kutimuliwa na uongozi wa timu hiyo kufuatia kipigo cha mabao 2-0 walichokipata dhidi ya Simba katika mechi ya Nani Mtani Jembe iliyochezwa wikiendi iliyopita. Maximo alifika...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tei6Zvghx238gPP88Gz7h7DY910em1q7KTQF5tP-QOnpfIiRnXqN-CcbK9juZai9vpr45IN12BeEYCHbwxKjEkDsFyiELse4/Chris_Brown_iHeart_Radio.jpg?width=650)
CHRIS BROWN ANATIA HURUMA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-wrFaKHpwpO8/VJBoyi8Nw8I/AAAAAAAG3rs/KhN0YWqu284/s72-c/marcio.jpg)
Kuondoka kwa Maximo, wachezaji Yanga wamwaga chozi!
![](http://4.bp.blogspot.com/-wrFaKHpwpO8/VJBoyi8Nw8I/AAAAAAAG3rs/KhN0YWqu284/s1600/marcio.jpg)
Hata hivyo, tayari Maximo ameaga wachezaji wake kwenye mazoezi ya asubuhi leo ambapo mazoezi hayo yaligeuka shubiri baada ya Maximo...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Maximo awatisha wachezaji Yanga
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, amesema hana nafasi kwa nyota wenye majina makubwa wasiojituma na kusema ni heri abaki na wachache wenye kujituma na kutambua wajibu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SRbpV0Al75p8jdyZcIW07*D1psi6mmIfqBfZIkjXhehcoDJcKJ3KJp2h9nbWcPUxfwOzsvASsXs6wyB9G0luBue*GxIQX117/YANGA1.jpg?width=650)
Yanga yampa Maximo wachezaji 60
11 years ago
Tanzania Daima11 Jul
Wachezaji Yanga SC wampa raha Maximo
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, amesema timu yake imezidi kumpa raha kutokana na kiwango cha wachezaji kuzidi kuimarika kila siku kutokana na utayari wa wachezaji wa...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
Maximo, wachezaji wateta saa moja
KOCHA mpya wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, jana alifanya kikao na wachezaji wake kwa zaidi ya saa moja na nusu wakiweka mikakati mbalimbali ya kufanya vizuri msimu ujao wa Ligi...
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
10 years ago
BBCSwahili03 Dec
Kilio na majonzi kwa waliouawa Mandera
10 years ago
GPLMAJONZI MSIBANI NYUMBANI KWA KOMBA