Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wachezaji Yanga SC wampa raha Maximo

KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, amesema timu yake imezidi kumpa raha kutokana na kiwango cha wachezaji kuzidi kuimarika kila siku kutokana na utayari wa wachezaji wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Yanga yampa Maximo wachezaji 60

Kocha Mbrazili, Marcio Maximo. Na Mwandishi Wetu
KOCHA anayetarajiwa kujiunga na Yanga kama mambo yatakwenda vizuri, atapewa takribani wachezaji 60 wawe chini ya himaya yake. Uongozi wa Yanga kupitia kamati yake ya mashindano, umechukua uamuzi wa kumkabidhi Maximo timu kubwa pamoja na ile ya vijana chini ya miaka 20.
Uamuzi huo unatokana na historia ya Maximo ambaye alikuza vijana wengi wakati akiwa kocha wa timu ya taifa,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maximo awatisha wachezaji Yanga

KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, amesema hana nafasi kwa nyota wenye majina makubwa wasiojituma na kusema ni heri abaki na wachache wenye kujituma na kutambua wajibu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kutimuliwa Maximo,Wachezaji Yanga kilio

Maximo atimuliwa Yanga, Wachezaji wa Klabu hiyo wamlilia

 

10 years ago

Michuzi

Kuondoka kwa Maximo, wachezaji Yanga wamwaga chozi!

KOCHA wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo amewaaga rasmi leo asubuhi wachezaji wa timu hiyo kwenye mazoezi uwanja wa Sekondari ya Loyola huku akitarajia kuvuna zaidi ya Milioni 20 ndani ya klabu hiyo ikiwa ni mshahara wake wa dola 1200 na yupo kwenye harakati za kudai fidia ya kuvunjiwa mkataba na kuletwa mrithi wake kabla uongozi wa klabu hiyo haujamaliza nae.
Hata hivyo, tayari Maximo ameaga wachezaji wake kwenye mazoezi ya asubuhi leo ambapo mazoezi hayo yaligeuka shubiri baada ya Maximo...

 

9 years ago

Habarileo

Ushindi wampa raha Kibadeni

USHINDI wa mabao 2-0 iliyoupata JKT Ruvu dhidi ya African Sports juzi umepokewa kwa mikono miwili na kocha Abdallah Kibadeni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maximo, wachezaji wateta saa moja

KOCHA mpya wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, jana alifanya kikao na wachezaji wake kwa zaidi ya saa moja na nusu wakiweka mikakati mbalimbali ya kufanya vizuri msimu ujao wa Ligi...

 

10 years ago

GPL

Maximo anatia huruma, awaaga wachezaji kwa majonzi

Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo. Na Waandishi Wetu
AKIWA na uso wa huzuni, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, jana alifika kwenye mazoezi ya timu hiyo asubuhi na kuwaaga wachezaji wake. Hiyo ni baada ya kupewa taarifa za kutimuliwa na uongozi wa timu hiyo kufuatia kipigo cha mabao 2-0 walichokipata dhidi ya Simba katika mechi ya Nani Mtani Jembe iliyochezwa wikiendi iliyopita. Maximo alifika...

 

10 years ago

Mwananchi

Tambwe awapa raha Yanga

 Mshambuliaji Amissi Tambwe aliwapa raha mashabiki wa Yanga baada ya jana kuifungia timu yake mabao mawili dhidi ya BDF XI ya Botswana iliyokuwa ikishangiliwa muda wote na mashabiki wa Simba kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Habarileo

Yanga yampa raha kocha

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amekisifu kikosi chake kwa kucheza vizuri na kupata ushindi wa nguvu wa mabao 3-0 katika mchezo dhidi ya Tanzania Prisons uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani