Yanga yampa Maximo wachezaji 60
![](http://api.ning.com:80/files/SRbpV0Al75p8jdyZcIW07*D1psi6mmIfqBfZIkjXhehcoDJcKJ3KJp2h9nbWcPUxfwOzsvASsXs6wyB9G0luBue*GxIQX117/YANGA1.jpg?width=650)
Kocha Mbrazili, Marcio Maximo. Na Mwandishi Wetu KOCHA anayetarajiwa kujiunga na Yanga kama mambo yatakwenda vizuri, atapewa takribani wachezaji 60 wawe chini ya himaya yake. Uongozi wa Yanga kupitia kamati yake ya mashindano, umechukua uamuzi wa kumkabidhi Maximo timu kubwa pamoja na ile ya vijana chini ya miaka 20. Uamuzi huo unatokana na historia ya Maximo ambaye alikuza vijana wengi wakati akiwa kocha wa timu ya taifa,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania20 Dec
Yanga yampa mkono wa kwaheri Maximo
![Marcio Maximo](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/Marcio-Maximo1.jpg)
Kocha mpya wa klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, Marcio Maximo
MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Yusufu Manji, amempa mkono wa kwaheri aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Marcio Maximo na msaidizi wake, Leonard Neiva na kumkabidhi rasmi madaraka kocha Hans van Pluijm na msaidizi wake, Boniface Mkwasa kukifundisha kikosi hicho.
Licha ya kuwaaga makocha hao, Manji hakuweka wazi sababu zilizowafanya kuwaondoa makocha hao zaidi aliwatakia kila la kheri huko waendako na kuwashukuru kwa ushirikiana...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Maximo awatisha wachezaji Yanga
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, amesema hana nafasi kwa nyota wenye majina makubwa wasiojituma na kusema ni heri abaki na wachache wenye kujituma na kutambua wajibu...
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
11 years ago
Tanzania Daima11 Jul
Wachezaji Yanga SC wampa raha Maximo
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, amesema timu yake imezidi kumpa raha kutokana na kiwango cha wachezaji kuzidi kuimarika kila siku kutokana na utayari wa wachezaji wa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-wrFaKHpwpO8/VJBoyi8Nw8I/AAAAAAAG3rs/KhN0YWqu284/s72-c/marcio.jpg)
Kuondoka kwa Maximo, wachezaji Yanga wamwaga chozi!
![](http://4.bp.blogspot.com/-wrFaKHpwpO8/VJBoyi8Nw8I/AAAAAAAG3rs/KhN0YWqu284/s1600/marcio.jpg)
Hata hivyo, tayari Maximo ameaga wachezaji wake kwenye mazoezi ya asubuhi leo ambapo mazoezi hayo yaligeuka shubiri baada ya Maximo...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
Maximo, wachezaji wateta saa moja
KOCHA mpya wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, jana alifanya kikao na wachezaji wake kwa zaidi ya saa moja na nusu wakiweka mikakati mbalimbali ya kufanya vizuri msimu ujao wa Ligi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1UL3ifpm7LuNFyubT92cWak1o-dztFxmjtsdT-gv18LJBF7QXhCDEVFIo9FHuZkjHMDa6FxueBXbUogZ6omI0GIfvB9NxRXu/MAXI.jpg)
Maximo anatia huruma, awaaga wachezaji kwa majonzi
9 years ago
Habarileo18 Sep
Yanga yampa raha kocha
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amekisifu kikosi chake kwa kucheza vizuri na kupata ushindi wa nguvu wa mabao 3-0 katika mchezo dhidi ya Tanzania Prisons uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfgqFIYnObOhe9uSZtJ68a9uG7YwCVhKzQaRwr4et3a-OntoiBUltNrbiGhRfyOFH8fd5SMs6m-4njF99urfTMve/twite.gif?width=650)
Yanga yampa Twite milioni 40