Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LUCY KOMBA: MAPENZI YA WABONGO WIZI MTUPU

Stori: Imelda Mtema MAKAVU! Msanii aliyefunga pingu za maisha juzikati na mwanaume mwenye asili ya Denmark, Janus Stanley Landrock, Lucy Komba amesema kadri siku zinavyozidi kwenda anazidi kunogewa na mapenzi ya mzungu wake na kuwaona Wabongo si lolote kutokana na kuwa waongo. Msanii wa Bongo Muvi , Lucy Komba akiwa na mume wake mdenmark, Janus Stanley… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAPENZI BILA NDOTO NI WIZI MTUPU - 6

MPENZI msomaji, natumai kila unaposoma makala haya unafaidika kwani unapata elimu kuhusiana na mapenzi yasiyo na malengo ambayo nimeyaita mapenzi yasiyokuwa na ndoto. Hebu endelea kusoma makala haya ambayo naamini yatakufungua ufahamu... Chukua hatua stahiki leo, maudhi ya mara kwa mara kutoka kwa mwenzi wako ni dalili kuwa hapana ndoto kati yenu. Ingekuwepo, mngekuwa mnaeleweshana, mnasahihishana kisha uhusiano unakuwa bora...

 

11 years ago

GPL

JOHARI: MAPENZI BONGO WIZI MTUPU!

Stori: Imelda Mtema
MKONGWE Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’, ametoa mtazamo wake kwa kusema Bongo hakuna mapenzi ya dhati, wengi wanaangalia maslahi. Mkongwe Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’, Akizungumza na Bongowood, Johari ambaye alidaiwa kumwagana na Vincent Kigosi ‘Ray’, alitiririka:
“Bongo ni wizi mtupu, labda Ulaya. Kila siku sisi tunadanganyana tu,”...

 

11 years ago

GPL

MAPENZI BILA NDOTO NI WIZI MTUPU - 2

TUKIENDELEA na mada yetu, hii ikae kwenye mstari wake ni kwamba lazima mwenzi wako awe wa ndoto zako, kadhalika na yeye vema awe wa ndoto zako. Ni kosa kubwa mtu kuanzisha uhusiano na yule ambaye hana ndoto naye. Matokeo yake yanakuwa ni migongano na kutotimia kwa malengo ya wahusika. Kuwa na mpenzi ambaye huna ndoto naye ni sawa kumpigia mbuzi gitaa, ukiamini atasikia muziki na kuucheza. Pengine wewe ndani yako unaona ndoto juu...

 

11 years ago

GPL

MAPENZI BILA NDOTO NI WIZI MTUPU

MAPENZI ni maisha ya kawaida ambayo wawili wanaotamkiana kupendana wanaishi. Kutamkiana kwa sababu si kila kitokacho kinywani kinaweza kuwa na maana ileile ya moyoni. Dhana nzima ya mapenzi haina urafiki na maigizo. Waigizaji hufeli katika kipengele cha uhusiano. Usipoteze muda wako na mtu ambaye moyo wako unamkataa. Kama kweli unampenda basi acha mawenge, mpe kila anachostahili, maana huyo ndiye wako wa maisha. Mara nyingi...

 

11 years ago

GPL

NDOA YA LUCY KOMBA MIKOSI 3

Stori: Gladness Mallya na Mayasa Mariwata
ILE ndoa iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu ya nyota wa filamu Bongo, Lucy Francis Komba na mzungu wake raia wa Denmark anayejulikana kwa jina moja la Janus hatimaye imefungwa na kutawaliwa na matukio yenye mikosi kibao. Nyota wa filamu Bongo, Lucy Francis Komba na mzungu wake raia wa Denmark anayejulikana kwa jina moja la Janus wakiwa ni wenye furaha wakati wa harusi yao. Ndoa hiyo...

 

11 years ago

GPL

NDOA YA LUCY KOMBA MIZENGWE

Stori: Gladness Mallya
HUKU akiwa kwenye vikao vya maandalizi ya harusi na Mzungu, staa wa filamu Bongo, Lucy Francis Komba (pichani na mchumba wake), amejikuta katika wakati mgumu baada ya habari kudai kwamba, mchumba wake huyo amemwambia ili ndoa ifungwe lazima aoneshe cheti cha kipimo cha Ukimwi kwanza. Staa wa filamu Bongo, Lucy Francis Komba akiwa na mchumba wake. Chanzo chetu cha habari kikizungumza na Amani juzi,...

 

11 years ago

GPL

WIZI MTUPU BARABARA YA LAMI TABATA

Sehemu ya barabara hiyo ilivyoharibika. WAKAZI na watumiaji wa barabara ya lami iendayo Chuo cha Ualimu cha St Mary kulichopo Tabata, jijini Dar es Salaam inalalamikiwa kwa kujengwa chini ya kiwango. Wakizungumza na GPL wakazi hao walisema: “Huu ni uchakachuaji uliopitiliza, haiwezekani barabara ijengwe Mei mwaka jana sasa hivi iwe imeharibika kiasi hiki, huu… ...

 

11 years ago

GPL

KICHENI PATI YA LUCY KOMBA MSHANGAO!

Stori: Imelda Mtema
NI mshangao! Sherehe ya kicheni pati ya staa wa filamu Bongo, Lucy Komba imewashangaza waalikwa wengi baada ya kutawaliwa na vitu vingi vya kiasili tofauti na matarajio ya wengi. Staa wa filamu Bongo, Lucy Komba. Sherehe hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Posta jijini Dar ambapo mbali na watu wa kawaida, wake wa viongozi mbalimbali nchini pamoja na baadhi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani