Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAPENZI BILA NDOTO NI WIZI MTUPU - 2

TUKIENDELEA na mada yetu, hii ikae kwenye mstari wake ni kwamba lazima mwenzi wako awe wa ndoto zako, kadhalika na yeye vema awe wa ndoto zako. Ni kosa kubwa mtu kuanzisha uhusiano na yule ambaye hana ndoto naye. Matokeo yake yanakuwa ni migongano na kutotimia kwa malengo ya wahusika. Kuwa na mpenzi ambaye huna ndoto naye ni sawa kumpigia mbuzi gitaa, ukiamini atasikia muziki na kuucheza. Pengine wewe ndani yako unaona ndoto juu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAPENZI BILA NDOTO NI WIZI MTUPU - 6

MPENZI msomaji, natumai kila unaposoma makala haya unafaidika kwani unapata elimu kuhusiana na mapenzi yasiyo na malengo ambayo nimeyaita mapenzi yasiyokuwa na ndoto. Hebu endelea kusoma makala haya ambayo naamini yatakufungua ufahamu... Chukua hatua stahiki leo, maudhi ya mara kwa mara kutoka kwa mwenzi wako ni dalili kuwa hapana ndoto kati yenu. Ingekuwepo, mngekuwa mnaeleweshana, mnasahihishana kisha uhusiano unakuwa bora...

 

11 years ago

GPL

MAPENZI BILA NDOTO NI WIZI MTUPU

MAPENZI ni maisha ya kawaida ambayo wawili wanaotamkiana kupendana wanaishi. Kutamkiana kwa sababu si kila kitokacho kinywani kinaweza kuwa na maana ileile ya moyoni. Dhana nzima ya mapenzi haina urafiki na maigizo. Waigizaji hufeli katika kipengele cha uhusiano. Usipoteze muda wako na mtu ambaye moyo wako unamkataa. Kama kweli unampenda basi acha mawenge, mpe kila anachostahili, maana huyo ndiye wako wa maisha. Mara nyingi...

 

11 years ago

GPL

JOHARI: MAPENZI BONGO WIZI MTUPU!

Stori: Imelda Mtema
MKONGWE Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’, ametoa mtazamo wake kwa kusema Bongo hakuna mapenzi ya dhati, wengi wanaangalia maslahi. Mkongwe Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’, Akizungumza na Bongowood, Johari ambaye alidaiwa kumwagana na Vincent Kigosi ‘Ray’, alitiririka:
“Bongo ni wizi mtupu, labda Ulaya. Kila siku sisi tunadanganyana tu,”...

 

10 years ago

GPL

LUCY KOMBA: MAPENZI YA WABONGO WIZI MTUPU

Stori: Imelda Mtema MAKAVU! Msanii aliyefunga pingu za maisha juzikati na mwanaume mwenye asili ya Denmark, Janus Stanley Landrock, Lucy Komba amesema kadri siku zinavyozidi kwenda anazidi kunogewa na mapenzi ya mzungu wake na kuwaona Wabongo si lolote kutokana na kuwa waongo. Msanii wa Bongo Muvi , Lucy Komba akiwa na mume wake mdenmark, Janus Stanley… ...

 

10 years ago

GPL

WIZI MTUPU BARABARA YA LAMI TABATA

Sehemu ya barabara hiyo ilivyoharibika. WAKAZI na watumiaji wa barabara ya lami iendayo Chuo cha Ualimu cha St Mary kulichopo Tabata, jijini Dar es Salaam inalalamikiwa kwa kujengwa chini ya kiwango. Wakizungumza na GPL wakazi hao walisema: “Huu ni uchakachuaji uliopitiliza, haiwezekani barabara ijengwe Mei mwaka jana sasa hivi iwe imeharibika kiasi hiki, huu… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Wadau: Biashara ya sanaa bado wizi mtupu

Licha ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuahidi kuwasaidia wasani katika kudhibiti wizi wa kazi zao, wadau wa sanaa nchini wamesema kuwa hawaridhishwi na adhabu zinazochukuliwa na vyombo vyenye mamlaka ya kulinda na kutetea haki za wasanii nchini.

 

11 years ago

GPL

MAPENZI YA SIMU, USANII MTUPU, ZUBAA UCHEKWE!

MAPENZI yanachukua nafasi kubwa sana katika maisha yetu lakini mapenzi hayahaya yanafikia hatua tya kuwadatisha baadhi ya watu. Wengi wasiojua sarakasi zilizomo kwenye uwanja wa mapenzi wanashindwa kujua mchezo unakwendaje na kujikuta wakilizwa wasipate ile furaha waliyoitarajia. Naamini tunajua usanii uliopo katika ulimwengu wa sasa wa mapenzi. Wengi wapo kwenye mapenzi ya kitapeli kwa kuingia kwenye uhusiano na watu ambao...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Model atembea akiwa mtupu mitaani Hong Kong bila watu kugundua!

model1

Mwanamitindo mmoja ameonekana akikatiza mitaa ya jiji la Hong Kong, China akiwa mtupu kuanzia kiunoni hadi chini pasipo watu kugundua kutokana na kuchorwa mfano wa jeans katika mwili wake sehemu hiyo ya chini.

model1

Akiwa amevaa nguo ya juu iliyoandikwa ‘No pants are the best pants’ kwa nyuma, alionekana akipishana na watu mitaani, kwenye treni sehemu za kutolea pesa na kwingine bila watu kumshitukia.

Tazama picha zake;
model2

model3

model4

model5

model6

model7

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,...

 

11 years ago

Michuzi

Bila kujumuisha wanawake maendeleo ni ndoto: Manongi

Joseph Msami katika mahojiano na Balozi Manongi ''Bila kujumuisha wanawake hakuna maendeleo na radio inawezesha jukumu hilo"amesema Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa balozi Tuvako Manongi wakati wa mahojiano maalum na Joseph Msami wa idhaa hii kuhusu umuhimu wa siku ya radio duniani February 13 kila mwaka. Balozi Manongi ambaye nchi yake itaongoza mjadala hapa Umoja wa Mataifa katika maadhimisho ya siku hiyo yenye kauli mbiu ya uwezeshaji wa kijinsia anaanza kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani