Picha: Model atembea akiwa mtupu mitaani Hong Kong bila watu kugundua!
Mwanamitindo mmoja ameonekana akikatiza mitaa ya jiji la Hong Kong, China akiwa mtupu kuanzia kiunoni hadi chini pasipo watu kugundua kutokana na kuchorwa mfano wa jeans katika mwili wake sehemu hiyo ya chini.
Akiwa amevaa nguo ya juu iliyoandikwa ‘No pants are the best pants’ kwa nyuma, alionekana akipishana na watu mitaani, kwenye treni sehemu za kutolea pesa na kwingine bila watu kumshitukia.
Tazama picha zake;
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/24.jpg)
MREMBO ATEMBEA 'UCHI' MITAA YA HONG KONG BILA KUGUNDULIKA
Mrembo akikatiza katika mitaa ya Jiji la Hong Kong bila kuvaa nguo za ndani. ...Akielekea kufanya manunuzi kwenye maduka. ...Akinunua tiketi ya treni. ...Akiwa ndani ya treni bila kugundulika kuwa hajavaa nguzo za ndani. ...Akipakwa rangi aonekane kama kavaa 'jeans'. ...Akivaa tisheti yake baada ya kutoka kwa mchoraji. ...Akielekea mitaani baada ya… ...
9 years ago
Bongo508 Oct
Picha mpya za Justin bieber akiwa mtupu zasambaa mtandaoni (18+)
Tumezoea kuona mastaa wa kike wakipozi na kukipiga picha za utupu kwaajili ya matoleo ya majarida mbalimbali ambayo huwalipa mkwanja mrefu kufanya hivyo ili wauze majarida yao. Lakini safari hii ni staa wa kiume Justin Bieber ndiye ametawala vichwa vya habari baada ya picha zake akiwa mtupu kusambaa mtandaoni. Kwa mujibu wa Huffington Post picha […]
10 years ago
BBCSwahili29 Sep
Wandamanaji wakesha Hong Kong
Mamia ya waandamanaj wa Hong Kong wamezingirwa na Askari polisi wanaowataka kusitisha maandamano.
10 years ago
BBCSwahili15 Oct
Hong Kong si shwari tena
Waandamanaji nchini Hong Kong wame zusha rabsha baina yao na polisi wakati hali ya amani bado ni tete wiki tatu sasa
10 years ago
BBCSwahili22 Apr
Hong Kong na utata wa uchaguzi
Serikali ya Hong Kong imetangaza mapendekezo kukusu kuchaguliwa kwa kiongozi wa eneo hilo mwaka 2017.
10 years ago
BBCSwahili06 Oct
Wafanyakazi warejea kazini Hong Kong
Wafanyakazi wa umma katika eneo la Hong Kong wamerejea kazini pamoja na kuendelea kwa maandamano zaidi ya wiki moja sasa.
10 years ago
BBCSwahili30 Sep
Hong Kong bado hali tete
mamia ya waandamanaji wa Hong Kong wanaendelea na maandamano kwa siku ya nne na kudhoofisha maeneo muhimu ya jiji hilo .
10 years ago
BBCSwahili10 Oct
Maandaamano bado Hong kong :Wanafunzi
Hong Kong imeitisha mazungumzo maalumu na viongozi wa wanafunzi wanaoongoza maandamano.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania