Hong Kong si shwari tena
Waandamanaji nchini Hong Kong wame zusha rabsha baina yao na polisi wakati hali ya amani bado ni tete wiki tatu sasa
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili22 Apr
Hong Kong na utata wa uchaguzi
Serikali ya Hong Kong imetangaza mapendekezo kukusu kuchaguliwa kwa kiongozi wa eneo hilo mwaka 2017.
10 years ago
BBCSwahili29 Sep
Wandamanaji wakesha Hong Kong
Mamia ya waandamanaj wa Hong Kong wamezingirwa na Askari polisi wanaowataka kusitisha maandamano.
10 years ago
BBCSwahili10 Oct
Suluhu mgogoro Hong Kong mashakani
Wanafunzi Hong Kong wanalaumiwa kwa kuvunjika kwa mazungumzo kati yao na serikali
10 years ago
BBCSwahili30 Sep
Hong Kong bado hali tete
mamia ya waandamanaji wa Hong Kong wanaendelea na maandamano kwa siku ya nne na kudhoofisha maeneo muhimu ya jiji hilo .
10 years ago
BBCSwahili28 Sep
Hong Kong:Waandamana kuipinga Uchina
Kiongozi wa vugu vugu la demokrasi mjini Hong Kong amewambia maelfu ya waandamanaji kuwa kampeni kubwa sasa imeanza.
10 years ago
BBCSwahili22 Sep
Maandamano makubwa yaanza Hong kong
Maelfu ya wanafunzi wameanza mgomo kupinga kanuni za uchaguzi wa kiongozi wa Hong Kong
10 years ago
BBCSwahili10 Oct
Maandaamano bado Hong kong :Wanafunzi
Hong Kong imeitisha mazungumzo maalumu na viongozi wa wanafunzi wanaoongoza maandamano.
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
Watanzania wengi wafungwa Hong Kong
Kasisi raia wa Australia amethibitisha kuwa idadi kubwa ya wafungwa wenye asili ya Afrika wamefungwa Hong Kong, wengi wao ni kutoka Tanzania.
10 years ago
BBCSwahili28 Oct
Maelfu wakumbuka maandamano Hong Kong
Maelfu ya waandamanaji Hong Kong wamejitokeza kuadhimisha mwezi mmoja wa maandamano.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania