Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wadau: Biashara ya sanaa bado wizi mtupu

Licha ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuahidi kuwasaidia wasani katika kudhibiti wizi wa kazi zao, wadau wa sanaa nchini wamesema kuwa hawaridhishwi na adhabu zinazochukuliwa na vyombo vyenye mamlaka ya kulinda na kutetea haki za wasanii nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAPENZI BILA NDOTO NI WIZI MTUPU

MAPENZI ni maisha ya kawaida ambayo wawili wanaotamkiana kupendana wanaishi. Kutamkiana kwa sababu si kila kitokacho kinywani kinaweza kuwa na maana ileile ya moyoni. Dhana nzima ya mapenzi haina urafiki na maigizo. Waigizaji hufeli katika kipengele cha uhusiano. Usipoteze muda wako na mtu ambaye moyo wako unamkataa. Kama kweli unampenda basi acha mawenge, mpe kila anachostahili, maana huyo ndiye wako wa maisha. Mara nyingi...

 

11 years ago

GPL

JOHARI: MAPENZI BONGO WIZI MTUPU!

Stori: Imelda Mtema
MKONGWE Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’, ametoa mtazamo wake kwa kusema Bongo hakuna mapenzi ya dhati, wengi wanaangalia maslahi. Mkongwe Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’, Akizungumza na Bongowood, Johari ambaye alidaiwa kumwagana na Vincent Kigosi ‘Ray’, alitiririka:
“Bongo ni wizi mtupu, labda Ulaya. Kila siku sisi tunadanganyana tu,”...

 

11 years ago

GPL

MAPENZI BILA NDOTO NI WIZI MTUPU - 6

MPENZI msomaji, natumai kila unaposoma makala haya unafaidika kwani unapata elimu kuhusiana na mapenzi yasiyo na malengo ambayo nimeyaita mapenzi yasiyokuwa na ndoto. Hebu endelea kusoma makala haya ambayo naamini yatakufungua ufahamu... Chukua hatua stahiki leo, maudhi ya mara kwa mara kutoka kwa mwenzi wako ni dalili kuwa hapana ndoto kati yenu. Ingekuwepo, mngekuwa mnaeleweshana, mnasahihishana kisha uhusiano unakuwa bora...

 

11 years ago

GPL

MAPENZI BILA NDOTO NI WIZI MTUPU - 2

TUKIENDELEA na mada yetu, hii ikae kwenye mstari wake ni kwamba lazima mwenzi wako awe wa ndoto zako, kadhalika na yeye vema awe wa ndoto zako. Ni kosa kubwa mtu kuanzisha uhusiano na yule ambaye hana ndoto naye. Matokeo yake yanakuwa ni migongano na kutotimia kwa malengo ya wahusika. Kuwa na mpenzi ambaye huna ndoto naye ni sawa kumpigia mbuzi gitaa, ukiamini atasikia muziki na kuucheza. Pengine wewe ndani yako unaona ndoto juu...

 

10 years ago

GPL

WIZI MTUPU BARABARA YA LAMI TABATA

Sehemu ya barabara hiyo ilivyoharibika. WAKAZI na watumiaji wa barabara ya lami iendayo Chuo cha Ualimu cha St Mary kulichopo Tabata, jijini Dar es Salaam inalalamikiwa kwa kujengwa chini ya kiwango. Wakizungumza na GPL wakazi hao walisema: “Huu ni uchakachuaji uliopitiliza, haiwezekani barabara ijengwe Mei mwaka jana sasa hivi iwe imeharibika kiasi hiki, huu… ...

 

10 years ago

GPL

LUCY KOMBA: MAPENZI YA WABONGO WIZI MTUPU

Stori: Imelda Mtema MAKAVU! Msanii aliyefunga pingu za maisha juzikati na mwanaume mwenye asili ya Denmark, Janus Stanley Landrock, Lucy Komba amesema kadri siku zinavyozidi kwenda anazidi kunogewa na mapenzi ya mzungu wake na kuwaona Wabongo si lolote kutokana na kuwa waongo. Msanii wa Bongo Muvi , Lucy Komba akiwa na mume wake mdenmark, Janus Stanley… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yajificha kisiwani, uwanja bado utata mtupu

>Wakati Al Ahly wakihaha kusaka uwanja utakaotumika kwa mchezo wa Jumapili, Yanga imetua salama Cairo na kuweka kambi yake katika kisiwa cha Munib.

 

5 years ago

Bongo5

Serikali yatoa ufafanuzi udhibiti, ulinzi na wizi wa kazi za sanaa

Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo imesema bodi ya filamu imeendelea kuwaelimisha wasanii kuhusu kusajili kazi zao ili ziweze kutambuliwa na kupata udhibiti na ulinzi wa kazi za sanaa, kwa mujibu wa sheria.

Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bi. Anastazia Wambura, akiwa bungeni, mjini Dodoma.

“Kuhusu haki miliki Mheshimiwa Spika, wizara yangu kupitia Bodi ya Filamu,COSOTA na BASATA zimeendelea kuwaelimisha wasanii wa fani mbalimbali kusajili...

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Sanaa bado pana, acheni kubanana

>Siku za karibuni, hasa baada ya kugundulika kwa hii mitandao ya kijamii, kumekuwa na imani kubwa kwamba vijana wanaweza kutengeneza pesa nyingi kiurahisi kwa kutumia sanaa ya uigizaji na muziki na hata uanamitindo, baada ya kuwa maarufu na kukubalika na jamii husika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani