Serikali yatoa ufafanuzi udhibiti, ulinzi na wizi wa kazi za sanaa
Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo imesema bodi ya filamu imeendelea kuwaelimisha wasanii kuhusu kusajili kazi zao ili ziweze kutambuliwa na kupata udhibiti na ulinzi wa kazi za sanaa, kwa mujibu wa sheria.
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bi. Anastazia Wambura, akiwa bungeni, mjini Dodoma.
“Kuhusu haki miliki Mheshimiwa Spika, wizara yangu kupitia Bodi ya Filamu,COSOTA na BASATA zimeendelea kuwaelimisha wasanii wa fani mbalimbali kusajili...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi09 Dec
Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Siku ya Uhuru
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-SWao2D0yDpk/U_dojK2WAnI/AAAAAAAGBec/rKrd2ifPCRA/s72-c/unnamed%2B(25).jpg)
Serikali yatoa ufafanuzi malipo ya mishahara ya watumishi ya mwezi Julai
![](http://2.bp.blogspot.com/-SWao2D0yDpk/U_dojK2WAnI/AAAAAAAGBec/rKrd2ifPCRA/s1600/unnamed%2B(25).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-FKFXP-ppbBU/U_dolD_hMZI/AAAAAAAGBek/W7fya7AVUfE/s1600/unnamed%2B(26).jpg)
11 years ago
Dewji Blog04 Aug
Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu wanajeshi wastaafu kudai Sh. Milioni 3
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene.
Gazeti la Kiingereza la The East African, Toleo Na. 1030 lililochapishwa mwishoni mwa wiki, Jumamosi, Julai 26, 2014, limeandika habari yenye kichwa cha habari “Ex-soldiers want $3m for covert Congo operation”, ikiwa na maana kuwa wanajeshi wastaafu wanadai kulipwa dola za Marekani milioni tatu kwa kushiriki operesheni ya siri katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
Inadaiwa katika habari hiyo kwa zaidi ya wanajeshi 400...
9 years ago
MichuziSerikali yatoa Ufafanuzi juu ya uzushi wa kifo cha Rais wa Awamu ya Tatu
9 years ago
MichuziSERIKALI YATOA UFAFANUZI JUU YA UPATIKANAJI WA VIBALI VYA KUSAFIRISHA MAZAO NJE YA NCHI
Akitoa ufafanuzi huo, Mwanasheria wa Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika Bwana George Mandepo (Pichani) alisema kuwa vibali vya kusafirisha mazao ya kilimo nje ya nchi, hutolewa bila gharama na kuongeza kuwa biashara hiyo inaweza kufanywa na mtu yeyote, kinachotakiwa ni mhusika kuzingatia sheria na...
9 years ago
StarTV19 Nov
Wizara ya Nishati kuimarisha kitengo cha Ukaguzi Udhibiti Wizi Wa Umeme
Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imeliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuimarisha Kitengo chake cha Ukaguzi wa wateja wa Umeme ili kubaini wateja wasio waaminifu wanaoiba umeme pamoja na kuwachukulia hatua kali za kisheria.
Hatua hiyo imekuja baada ya Wizara hiyo kubaini kuwa kuna upotezu wa Umeme wa asilimia 19 kwa sababu mbalimbali zikiwemo za uibaji umeme.
Wizara ya Nishati imesema kutokana na tatizo hilo la upotevu wa umeme linasababisha kurudisha nyuma maendeleo ya...