Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAPENZI YA SIMU, USANII MTUPU, ZUBAA UCHEKWE!

MAPENZI yanachukua nafasi kubwa sana katika maisha yetu lakini mapenzi hayahaya yanafikia hatua tya kuwadatisha baadhi ya watu. Wengi wasiojua sarakasi zilizomo kwenye uwanja wa mapenzi wanashindwa kujua mchezo unakwendaje na kujikuta wakilizwa wasipate ile furaha waliyoitarajia. Naamini tunajua usanii uliopo katika ulimwengu wa sasa wa mapenzi. Wengi wapo kwenye mapenzi ya kitapeli kwa kuingia kwenye uhusiano na watu ambao...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAPENZI BILA NDOTO NI WIZI MTUPU - 2

TUKIENDELEA na mada yetu, hii ikae kwenye mstari wake ni kwamba lazima mwenzi wako awe wa ndoto zako, kadhalika na yeye vema awe wa ndoto zako. Ni kosa kubwa mtu kuanzisha uhusiano na yule ambaye hana ndoto naye. Matokeo yake yanakuwa ni migongano na kutotimia kwa malengo ya wahusika. Kuwa na mpenzi ambaye huna ndoto naye ni sawa kumpigia mbuzi gitaa, ukiamini atasikia muziki na kuucheza. Pengine wewe ndani yako unaona ndoto juu...

 

11 years ago

GPL

MAPENZI BILA NDOTO NI WIZI MTUPU - 6

MPENZI msomaji, natumai kila unaposoma makala haya unafaidika kwani unapata elimu kuhusiana na mapenzi yasiyo na malengo ambayo nimeyaita mapenzi yasiyokuwa na ndoto. Hebu endelea kusoma makala haya ambayo naamini yatakufungua ufahamu... Chukua hatua stahiki leo, maudhi ya mara kwa mara kutoka kwa mwenzi wako ni dalili kuwa hapana ndoto kati yenu. Ingekuwepo, mngekuwa mnaeleweshana, mnasahihishana kisha uhusiano unakuwa bora...

 

11 years ago

GPL

MAPENZI BILA NDOTO NI WIZI MTUPU

MAPENZI ni maisha ya kawaida ambayo wawili wanaotamkiana kupendana wanaishi. Kutamkiana kwa sababu si kila kitokacho kinywani kinaweza kuwa na maana ileile ya moyoni. Dhana nzima ya mapenzi haina urafiki na maigizo. Waigizaji hufeli katika kipengele cha uhusiano. Usipoteze muda wako na mtu ambaye moyo wako unamkataa. Kama kweli unampenda basi acha mawenge, mpe kila anachostahili, maana huyo ndiye wako wa maisha. Mara nyingi...

 

11 years ago

GPL

JOHARI: MAPENZI BONGO WIZI MTUPU!

Stori: Imelda Mtema
MKONGWE Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’, ametoa mtazamo wake kwa kusema Bongo hakuna mapenzi ya dhati, wengi wanaangalia maslahi. Mkongwe Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’, Akizungumza na Bongowood, Johari ambaye alidaiwa kumwagana na Vincent Kigosi ‘Ray’, alitiririka:
“Bongo ni wizi mtupu, labda Ulaya. Kila siku sisi tunadanganyana tu,”...

 

10 years ago

GPL

LUCY KOMBA: MAPENZI YA WABONGO WIZI MTUPU

Stori: Imelda Mtema MAKAVU! Msanii aliyefunga pingu za maisha juzikati na mwanaume mwenye asili ya Denmark, Janus Stanley Landrock, Lucy Komba amesema kadri siku zinavyozidi kwenda anazidi kunogewa na mapenzi ya mzungu wake na kuwaona Wabongo si lolote kutokana na kuwa waongo. Msanii wa Bongo Muvi , Lucy Komba akiwa na mume wake mdenmark, Janus Stanley… ...

 

10 years ago

Vijimambo

USANII SIYO KUIGIZA AU KUIMBA HATA HUU NI USANII PIA

Pitia  hii labda na wewe utaipenda jamaa alituliza kichwa na kuibuka na hii apewe hongera yake kiroho safi.

 

10 years ago

GPL

SIMU ZA KISASA NI HATARI KWENYE MAPENZI!

NAFURAHI tena kukutana na nyinyi marafiki katika uwanja wetu huu wa kujidai. Kupitia safu hii tunapata wasaa wa kushauriana masuala mbalimbali yahusuyo maisha ya uhusiano.Marafiki, leo nataka kuzungumza na nyinyi juu ya maendeleo ya teknolojia ya simu za ‘kutachi’. Simu hizi zimegeuka kuwa tatizo kubwa kutokana na wengi kuzitumia ndivyo sivyo. Imefika wakati simu inamteka mtu akili kiasi cha kusababisha maafa...

 

10 years ago

GPL

SIMU ZA KISASA NI HATARI KWENYE MAPENZI!-2

Sikukuu ya Krismasi ndiyo imekwisha, ni matumaini yangu kwamba kila mmoja wetu ameinjoi sikukuu hiyo. Kwa wale ambao imewakuta vibaya kwa namna moja au nyingine, niwape pole. Wasijisikie wanyonge, Mungu atawafanyia wepesi katika matatizo yao na watarudi katika hali ya kawaida. Kwa wale ambao wana tamaduni za kutoka na wapenzi wao, najua mtakuwa meitumia vyema nafasi hiyo kupanga mikakati mizuri ya penzi lenu kwa mwaka...

 

10 years ago

Mwananchi

Simu zinavyoshawishi mapenzi kwa wanafunzi

Tangu teknolojia ya mawasiliano ya simu za mkononi ilipoingia nchini, mambo mengi katika jamii, ukiwamo mfumo mzima wa maendeleo na namna ya kuishi, yamebadilika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani