Bila kujumuisha wanawake maendeleo ni ndoto: Manongi
Joseph Msami katika mahojiano na Balozi Manongi ''Bila kujumuisha wanawake hakuna maendeleo na radio inawezesha jukumu hilo"amesema Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa balozi Tuvako Manongi wakati wa mahojiano maalum na Joseph Msami wa idhaa hii kuhusu umuhimu wa siku ya radio duniani February 13 kila mwaka. Balozi Manongi ambaye nchi yake itaongoza mjadala hapa Umoja wa Mataifa katika maadhimisho ya siku hiyo yenye kauli mbiu ya uwezeshaji wa kijinsia anaanza kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMAPENZI BILA NDOTO NI WIZI MTUPU - 6
11 years ago
GPLMAPENZI BILA NDOTO NI WIZI MTUPU - 2
11 years ago
GPLMAPENZI BILA NDOTO NI WIZI MTUPU
10 years ago
MichuziWARSHA KATIKA HOTEL YA GOLD CREST JIJINI MWANZA KWA AJILI KUHAMASISHA NA KUJENGA UWEZO WA KUJUMUISHA MASUALA YA VIJANA KATIKA MIPANGO YA MAENDELEO YA MKOA NA WILAYA
Warsha hiyo inafanyika katika vituo vya Mwanza na Musoma. Katika kituo cha Mwanza warsha inafanyika tarehe 8 na 9 Juni 2015, kituo ambacho kinajumuisha Sekretarieti ya Mkoa na Halmashauri za mikoa ya Mwanza,...
5 years ago
MichuziWANAWAKE TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA (TCDC) WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Picha ya Pamoja ya Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa tayari kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Jijini Dodoma
Picha ya Pamoja ya Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa tayari kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Jijini Dodoma
Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa na Bango la maandamano lenye Kauli mbiu ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa katika maandamano...
11 years ago
Mwananchi08 Aug
MAENDELEO: Ndoto ya maji safi Mweteni sasa yatimia
10 years ago
Bongo Movies10 Apr
Shamsa Ford: Nay ni Mwanaume wa Ndoto za Wanawake Wengi!
Staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford amemmwagia sifa Staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego kuwa hakuwahi kujua kama ni mkarimu huku akidai kuwa anafaa kuwa mume!
Shamsa ambaye aliachana na mume wake tangu October mwaka jana, ameiambia Bongo5 kuwa aliombwa na Nay ashirikishwe katika filamu yake.
“Sisi ni washkaji sema Nay ana kazi yake ya filamu ndio akaona mimi ndo nafaa, Hakuna kitu chochote zaidi ya kazi,” amesema Shamsa.
“Kabla ya kupata nafasi ya kuongea na Nay nilikuwa namuona ni mtu...
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Miaka 50 bila maendeleo ya michezo