LUCY KOMBA AGOMA KUMZALIA MZUNGU WAKE!
Mayasa Mariwata MSANII wa filamu Bongo, Lucy Komba ambaye amehamishia makazi yake nchini Denmark kwa mumewe, imebainika kuwa kilichomfanya aolewe na mzungu huyo ni kutokana na kufuata masilahi na siyo mapenzi ya dhati kwa kuwa bado hayupo tayari kuzaa naye. Msanii wa filamu Bongo, Lucy Komba akiwa na mumewe siku ya harisi yao. Taarifa kutoka kwa mtu wa karibu na msanii huyo zilieleza kuwa, Lucy mpaka sasa hafikirii hata kidogo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 Jul
Lucy Komba na Mzungu wake kuoana Septemba
UVUMI kwamba mwigizaji Lucy Komba kuwa katika mahusiano na mzungu kutoka nchini Denmark, zimedhihirika kuwa ni kweli baada ya wawili hao kupanga kufunga ndoa Septemba mwaka huu. Lucy, muongozaji, mtunzi...
11 years ago
GPLLUCY KOMBA: NIACHENI NIDENDEKE NA MZUNGU
10 years ago
Bongo Movies23 Dec
Lucy Komba Ampelekea Mzungu Mwanaye Amlee
Mwigizaji mkongwe wa filamu za kibongo ambaye miezi michache iliyopita alifunga pingu za maisha na mwanaume mwenye asili ya Denmark, Lucy Komba amekwea pipa kuelekea nchini humo kwenda kuishi na mumewe Janus, sambamba na kumpelekea mwanaye amlee.
Akipiga stori na paparazi wa GPL kupitia Mtandao wa WhatsApp akiwa nchini Denmark, Lucy alisema aliamua kuondoka kimyakimya na kumfuata mumewe kwa kuwa alimisi mambo mengi kwake, pia suala la ndoa halimuhitaji aishi mbali na mumewe na kwa kuwa...
11 years ago
GPLNDOA YA LUCY KOMBA MIZENGWE
10 years ago
GPLNDOA YA LUCY KOMBA MIKOSI 3
10 years ago
GPLLUCY KOMBA: NIMEISHI NA MR. WIKI MBILI TU!
10 years ago
GPLKICHENI PATI YA LUCY KOMBA MSHANGAO!
11 years ago
GPLLUCY KOMBA ATENGWA BONGO MOVIE
10 years ago
GPLDOKII AMZAWADIA KIWANJA LUCY KOMBA