Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashabiki Simba wamfukuza Dokii jukwaani

MSANII wa  muziki na filamu,  Ummy  Wenceslaus,   maarufu kama Dokii juzi alipata wakati mgumu   kwenye mechi ya  Yanga dhidi ya Azam baada ya kufukuzwa na mashabiki wa Simba kwenye jukwaa  lao.

Dokii ambae  ni miongoni mwa wasanii wa kike ambao ni mashabiki wakubwa  wa mchezo wa soka, kabla ya kuanza kuishabikia  Azam alikua shabiki wa Yanga.

Msanii huyo alifika Uwanjani  hapo na mwenzake  wakiwa na gitaa, walitaka kukaa upande wa mashabiki wa Simba  ambao walimtaka  ahame eneo...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SIMBA SPORT CLUB YAWA ZAWADIA MASHABIKI WAKE WA BAHATI NASIBU ILIYOICHEZWA SIMBA DAY

Uongozi wa klabu ya Simba leo umetoa zawadi kwa washindi wa bahati na sibu iliyochezeshwa siku ya Simba Day Aosti 8 mwaka huu wakati wa kilele cha sherehe za siku ya Simba Day zilizofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Zawadi zilizo kabidhiwa kwa washindi ni jezi pamoja simu, kila mshindi amepata jezi ya juu pea moja pamoja na simu moja aina ya Motec. Washindi wa zawadi hizo ni Jeremia Venist, Ahazi Mwembe pamoja na Marko Mgimba. Mbali na zawadi hizo, klabu hiyo pia...

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto Kabwe njiapanda, Chadema wamfukuza

>Hali ya kisiasa ya mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe imewekwa njiapanda baada ya Chadema kutangaza kumvua uanachama saa chache baada ya Mahakama Kuu kutupilia mbali kesi aliyofungua dhidi ya chama hicho kikuu cha upinzani.

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

GPL

Mashabiki Yanga waishabikia Simba

Mashabiki wa Yanga. Lucy Mgina na Ibrahim Mussa
KATIKA tukio la kushangaza, ambalo pengine lilionekana ni kama mchezo wa kuigiza, mashabiki wa Yanga, jana Jumapili waliamua kufunika kombe baada ya kuishabikia Simba kwa nguvu zote huku baadhi yao wakiwa na bendera za Msimbazi. Mashabiki wa Yanga ambao wengi wao walikuwa wakiipa nguvu Simba ili iifunge Azam kwenye Uwanja wa Taifa, walifanya hivyo ili Azam ipunguzwe kasi kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mashabiki wamtaka MO arudi kuidhamini Simba SC

Baada ya kualikwa kama mgeni rasmi katika tamasha la Simba Day lililofanyika siku ya jumamosi katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, CEO wa MeTL Group, Mohammed Dewji amepost picha zake kupitia akaunti yake ya Instagram @moodewji ambazo zimekupa ‘likes’ nyingi na baadhi ya ‘comments’ mashabiki wa timu Simba SC wamemtaka arudi kuifadhili timu hiyo zifuatazo ni ‘Screenshot’ kutoka akaunti yake ya Instagram.

Screenshot_2015-08-10-09-35-37

Na hizi hapa ni ‘screenshots’ za  ‘comments’ za baadhi ya marafiki na mashabiki...

 

10 years ago

Dewji Blog

Simba Sports Club yawazawadi mashabiki wake

Rais wa Simba Sport Club, Evans Aveva  (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na Washindi wa bahati nasibu pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Eag Group Iman Kajula kushoto na Msemaji wa Timu hiyo Manara.

Rais wa Simba Evans Aveva akikabidhi zawadi kwa Mmoja wa Washindi Uongozi wa klabu ya Simba umetoa zawadi kwa washindi wa bahati nasibu iliyochezeshwa siku ya Simba Day Aosti 8 mwaka huu wakati wa kilele cha sherehe za siku ya Simba Day zilizofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es...

 

11 years ago

Mwananchi

Mashabiki Yanga wang’ara kwa Simba

Wakati shindano la ‘Nani Mtani Jembe 2’ baina ya mashabiki wa Yanga, Simba likiendelea nchini kote, upande wa Yanga umeendelea kufanya vyema katika kampeni hiyo ya kuwania Sh80 milioni.

 

10 years ago

Habarileo

Simba yataka mashabiki kumpa muda Sserunkuma

UONGOZI wa Klabu ya Simba umewataka mashabiki wake kumpa muda mshambuliaji wao, Dan Sserunkuma ili aweze kufanya vizuri katika mechi za ligi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani