Mashabiki wamtaka MO arudi kuidhamini Simba SC
Baada ya kualikwa kama mgeni rasmi katika tamasha la Simba Day lililofanyika siku ya jumamosi katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, CEO wa MeTL Group, Mohammed Dewji amepost picha zake kupitia akaunti yake ya Instagram @moodewji ambazo zimekupa ‘likes’ nyingi na baadhi ya ‘comments’ mashabiki wa timu Simba SC wamemtaka arudi kuifadhili timu hiyo zifuatazo ni ‘Screenshot’ kutoka akaunti yake ya Instagram.
Na hizi hapa ni ‘screenshots’ za ‘comments’ za baadhi ya marafiki na mashabiki...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili07 Apr
Mashabiki Arsenal Wamtaka Wenger astaafu
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Wanachama Simba wamtaka Kopunovic
NA BARAKA JAMALI, MTWARA
WANACHAMA wa klabu ya Simba Mtwara, wameuomba uongozi wa timu hiyo umrudishe kocha wao wa zamani, Goran Kopunovic, ili kuweza kuirejesha heshima ya timu hiyo ya kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti jana, wanachama hao walisema kuwa uongozi wa timu hiyo umekuwa ukibadili makocha kila mwaka jambo ambalo limewasababishia kufanya vibaya katika mashindano mbalimbali wanayoshiriki, pia kumfukuza kocha mzuri...
11 years ago
Bongo Movies14 Aug
"Kimenuka kwa Diamond" Mashabiki wa Wema wamtaka aache 'kumtumia' Wema kibiashara.
Kundi la watu wanaojiita mashabiki wa Wema Sepetu, limeanzisha kampeni kwenye mtandao mmoja wa maarufu wa kijamii kampeni iliyopewa jina la #BringBackOurWema likimshinikiza mpenzi wake Diamond Platnumz amrudishe kwenye maisha yake ya zamani na kukuza career yake ya filamu.
Mashabiki hao wanaamini kuwa Diamond anampoteza Wema na amekuwa akitumia umaarufu wake (Wema) kujidhatiti zaidi yeye huku Miss Tanzania huyo wa zamani akiendelea kudidimia.
Hivi ndivyo maelezo...
10 years ago
Michuzi14 Aug
SIMBA SPORT CLUB YAWA ZAWADIA MASHABIKI WAKE WA BAHATI NASIBU ILIYOICHEZWA SIMBA DAY
10 years ago
Vijimambo09 Mar
10 years ago
GPLVODACOM NA TFF ZATILIANA SAINI MKATABA WA KUIDHAMINI LIGI KUU TANZANIA BARA
11 years ago
GPL
Mashabiki Yanga waishabikia Simba