Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashabiki Arsenal Wamtaka Wenger astaafu

Je Arsene Wenger aendelee au asiendelee? Ndio wimbo unaorindima ndani ya mioyo na midomo ya mashabiki wa Arsenal baada ya mabao 3

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mashabiki wamtaka MO arudi kuidhamini Simba SC

Baada ya kualikwa kama mgeni rasmi katika tamasha la Simba Day lililofanyika siku ya jumamosi katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, CEO wa MeTL Group, Mohammed Dewji amepost picha zake kupitia akaunti yake ya Instagram @moodewji ambazo zimekupa ‘likes’ nyingi na baadhi ya ‘comments’ mashabiki wa timu Simba SC wamemtaka arudi kuifadhili timu hiyo zifuatazo ni ‘Screenshot’ kutoka akaunti yake ya Instagram.

Screenshot_2015-08-10-09-35-37

Na hizi hapa ni ‘screenshots’ za  ‘comments’ za baadhi ya marafiki na mashabiki...

 

11 years ago

Mwananchi

Wenger ataka mabadiliko Arsenal

Arsene Wenger amewataka wachezaji wake wa Arsenal kujituma zaidi leo na kuhakikisha wanashinda katika nusu fainali ya Kombe la FA dhidi ya mabingwa watatezi Wigan.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wenger:Arsenal itaibandua Monaco

Arsene Wenger anaamini kuwa kilabu hiyo bado ina fursa ya kuibandua Monaco katika michuano ya kilabu bingwa barani Ulaya

 

10 years ago

BBCSwahili

Wenger akasirishwa na sare ya Arsenal

Meneja Arsene wenger amekasirishwa na sare ya tatu kwa tatu iliopatikana katika mechi kati ya Arsenal na Anderlecht.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wenger:Walcott kusalia Arsenal

Meneja wa kilabu ya Arsenal Arsene Wenger ana imani kwamba Theo Walcot ataweka mkataba mpya na kilabu hiyo ya Ligi ya Uingereza.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wenger:Walcot Kusalia Arsenal

Mshambuliaji wa Arsenal, Theo Walcott anakaribia kuongeza mkataba wake na klabu hiyo hadi mwaka wa 2019.

 

9 years ago

TheCitizen

Wenger rocked by Arsenal nightmare

Arsene Wenger described Arsenal’s 2-1 defeat at West Bromwich Albion as the “perfect nightmare” after midfielders Francis Coquelin and Mikel Arteta added to his injury problems.

 

11 years ago

Mwananchi

Wenger asaini miaka 3 Arsenal

England. Kocha Arsene Wenger amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu utakaomfanya kuendelea kuwa kocha wa klabu ya Arsenal hadi 2017.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wenger alaumu walinzi wa Arsenal

Mkufunzi wa Arsenal Arsene wenger amesema kuwa safu ya ulinzi ya Arsenal ni hafifu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani