Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VODACOM NA TFF ZATILIANA SAINI MKATABA WA KUIDHAMINI LIGI KUU TANZANIA BARA

Rais wa TFF, Jamal Malinzi (kushoto) na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twissa wakijiandaa kutiliana saini mikataba yao. Kulia anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi hiyo, Boniface Wambura. Malinzi na Twissa wakibadilishana mikataba huku Wambura (katikati) akishuhudia.
Malinzi akisistiza jambo kwenye mkutano…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao.  NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...

 

10 years ago

Michuzi

Vodacom na TFF zasaini mkataba wa udhamini wa ligi kuu kwa miaka mitatu

 Rais wa shirikisho la mpira wa  miguu Tanzania(TFF) Jamali Malinzi(kushoto)na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa kampuni hiyo Kelvin Twissa(kulia)wakielekezwa na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu jinsi ya kusaini mkataba wa makubaliano ya udhamini wa ligi Kuu ya  Vodacom Tanzania  bara kwa msimu wa 2015/16.

 Rais wa shirikisho la mpira wa  miguu Tanzania(TFF) Jamali Malinzi(kushoto)pamoja na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa kampuni hiyo Kelvin Twissa(katikati)wakisaini mkataba...

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA NA BURUNDI ZATILIANA SAINI MKATABA WA MIAKA 50 KUSAFIRISHA UMEME KUTOKA MRADI WA RUSUMO

Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania , Profesa, Sospeter Muhongo.Waziri wa Nishati na Madini wa nchi ya Burundi, Come Manirakiza.Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania , Profesa, Sospeter Muhongo (kushoto) na Waziri wa Nishati na Madini wa nchi ya Burundi, Come Manirakiza wakisaini mkataba huo.Waziri wa Nishati na Madini, Profesa, Sospeter Muhongo (kushoto), akibadilishana hati na Waziri wa Nishati na Madini wa nchi ya Burundi, Come Manirakiza, baada ya kutiliana saini mkataba wa miaka...

 

10 years ago

Michuzi

YANGA MABINGWA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA 2014 - 2015


Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2014- 2015, Yanga wakishangilia ubingwa wao huo mara baada ya kumalizika kwa mtanange wao dhidi ya Azam FC, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo.Mtanange huo ulimalizika kwa Azam kushinda Bao 2-1.
Mgeni Rasmi katika Mchezo huo, Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Mh. Dkt. Fenella Mukangara akimkabidhi Nahodha wa Timu ya Yanga, Nadir Haroub cheti cha pongezi kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Soka Duniani, Sepp Blatter...

 

11 years ago

Michuzi

RATIBA MECHI ZIJAZO LIGI KUU SOKA VODACOM TANZANIA BARA.



Jumatano Februari 12,2014. JKT Ruvu v/s Ruvu Shooting --------------------- Jumamosi Februari 15,2014. Rhino Rangers v/s Mgambo JKT Ashanti United v/s Kagera Sugar Mtibwa Sugar v/s Tanzania Prisons JKT Oljoro v/s JKT Ruvu Mbeya City v/s Simba Ruvu Shooting v/s Coastal Union
MSIMAMO WA LIGI HADI SASA NO TEAMS P W D L GF GA GD PTS 1 Azam FC 16 10 6 0 29 10 19 36 2 Yanga 16 10 5 1 34 12 22 35 3 Mbeya City 17 9 7 1 24 14 10 34 4 Simba SC 17 8 7 2 33 15 18 31 5 Coastal...

 

9 years ago

StarTV

TFF: Yatangaza ratiba ya ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2015/2016.

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limetangaza rasmi ratiba ya Ligi Kuu soka Tanzania Bara kwa msimu wa 2015/2016, ambao utakuwa na jumla ya timu 16 badala ya 14 za msimu uliopita.

Ligi Kuu ya Bara imepangwa kuanza Septemba 12 mwaka huu, na itamalizika Mei saba mwakani, lakini itasimama kwa mapumziko kati ya Novemba saba na Desemba 19 mwaka huu, kupisha michuano mbalimbali ya kimataifa.

 

TFF imetangaza ratiba ya ligi hiyo, na kusema imezingatia ratiba ya mashindano mbalimbali ya kitaifa na...

 

10 years ago

Michuzi

Vodacom yamzawadia Mchezaji Bora wa ligi kuu Tanzania bara wa mwezi Novemba

Naibu Waziri wa maji Amos Makala wapili toka kulia akimkabidhi mchezaji bora wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara mwezi Novemba Rashid Mandawa wa Kagera Sugar(wapili toka kushoto) hundi yenye thamani ya Sh. Milioni 1/=na kombe kabla ya mechi kuanza kati ya Simba na Kagera Sugar ambapo simba ililala kwa bao 1-0. Wengine kulia ni Makamu Mwenyekiti wa bodi ya ligi Said Mohamed. Kushoto Ofisa Udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude.
Wadhamini wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani