TANZANIA NA BURUNDI ZATILIANA SAINI MKATABA WA MIAKA 50 KUSAFIRISHA UMEME KUTOKA MRADI WA RUSUMO
Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania , Profesa, Sospeter Muhongo.
Waziri wa Nishati na Madini wa nchi ya Burundi, Come Manirakiza.
Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania , Profesa, Sospeter Muhongo (kushoto) na Waziri wa Nishati na Madini wa nchi ya Burundi, Come Manirakiza wakisaini mkataba huo.
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa, Sospeter Muhongo (kushoto), akibadilishana hati na Waziri wa Nishati na Madini wa nchi ya Burundi, Come Manirakiza, baada ya kutiliana saini mkataba wa miaka...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi01 Nov
TANZANIA NA BURUNDI ZA SAINI MKATABA WA MIAKA 50 KUSAFIRISHA UMEME KUTOKA MRADI WA RUSUMO
10 years ago
GPLVODACOM NA TFF ZATILIANA SAINI MKATABA WA KUIDHAMINI LIGI KUU TANZANIA BARA
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-igLyDRCeJmA/VhzExIHqXyI/AAAAAAAH_sQ/BWm_KXTAmFw/s72-c/No.%2B1B.jpg)
SERIKALI ZA UGANDA NA TANZANIA ZATIA SAINI HATI YA MAKUBALIANO JUU YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUSAFIRISHA MAFUTA GHAFI
![](http://1.bp.blogspot.com/-igLyDRCeJmA/VhzExIHqXyI/AAAAAAAH_sQ/BWm_KXTAmFw/s640/No.%2B1B.jpg)
10 years ago
Michuzi22 Apr
NHC) NA SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM ZATILIANA SAINI MKATABA WA MANUNUZI YA ENEO LA OFISI JENGO LA MOROCCO SQUARE
![hc1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/04/hc1.jpg)
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu (kushoto), akibadilishana hati za mkataba na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa wakitiliana saini makubaliano rasmi ya mauzo ya sehemu ya eneo la ofisi katika mradi wa kipekee mpya wa Morocco Square, Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Ujenzi wa mradi huo wenye huduma mbalimbali za kisasa unaendelea. (Picha kwa Hisani ya Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma na Huduma kwa Jamii)
![hc2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/04/hc2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Zanzibar, India zatiliana saini mkataba wa uwakala wa utangazaji Utalii wa ZNZ nchini India
Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JIHIL ENTERPRISES ya India Nd. Jilesh H. Babla wakitiliana saini mkataba wa makubaliano ya kuanzishwa kwa ofisi ya uwakala wa Utangazaji Utalii wa Zanzibar Nchini India. (Picha na Makame Mshenga Maelezo-Zanzibar).
Na Abdulla Ali Maelezo-Zanzibar
Wizara ya...
10 years ago
Dewji Blog01 Oct
Profesa Sospeter Muhongo asaini mkataba wa mradi wa kuuziana umeme kati ya Zambia, Tanzania na Kenya
Mawaziri wanaoshughulikia Nishati kutoka nchi za Zambia, Tanzania na Kenya wakisaini Mkataba wa Makubaliano kuonesha dhamira ya Serikali ya nchi hizo kujenga miundombinu ya pamoja ya kusafirisha umeme na kufanya biashara ya kuuziana umeme wa ziada baina ya nchi hizo.
Na Anitha Jonas, Maelezo-DSM.
WAZIRI wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo jana ametia saini Mkataba wa Mradi kujenga Miundombinu ya kuuziana umeme kati ya Zambia, Tanzania na Kenya (ZTK) katika Mkutano wa Kumi...
10 years ago
Dewji Blog15 Aug
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Uchumi Supermarkets Tanzania Limited (USL) zatiliana saini kukuza biashara
Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa NHC, David Shambwe akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini hati ya makubaliano kati ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Uchumi Supermarkets Tanzania Limited (USL), leo mchana, makubaliano hayo yataziwezesha pande hizo mbili kushirikiana kibiashara ambapo USL itapewa kipaumbele kwenye kupanga katika miradi ya ujenzi ya majengo ya Shirika la Nyumba la Taifa popote nchini.
Meneja Mkuu wa Uchumi Supermarkets Tanzania, Chriss Lenana akifafanua Jambo...
10 years ago
MichuziMHE. BALOZI PHILIP MARMO AWEKA SAINI MKATABA WA MKOPO KUTOKA MFUKO WA MAENDELEO YA KIMATAIFA