Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI ZA UGANDA NA TANZANIA ZATIA SAINI HATI YA MAKUBALIANO JUU YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUSAFIRISHA MAFUTA GHAFI

Kutoka Kushoto - Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dkt. James Mataragio,  Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava, Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Nishati na Madini (Uganda), Dkt. Fred Kabagambe Kaliisa na Meneja Mkuu wa Total E&P Uganda, Ndg. Adewale Fayemi wakipongezana baada ya kutia saini Hati ya Makubaliano (MoU) baina ya Serikali ya Uganda na Tanzania juu ya utekelezaji wa mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Uganda (Kabaale) mpaka bandari ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

ZANZIBAR NA CHINA ZATIA SAINI MAKUBALIANO YA UJENGWAJI WA ICU KATIKA HOSPITALI KUU YA MNAZI MMOJA

  Balozi Mdogo wa China Zanzibar Kie Yunliang (watatu kushoto) akitoa maelezo kwa baadhi ya viongozi wa Wizara ya Afya waliongozwa  na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Mohammed Jidawi kabla ya utiaji saini makubaliano ya ujengwaji wa ICU mpya ya kisasa itayojengwa Hospitali Kuu ya Mnazi mmoja.  Balozi Mdogo wa China Zanzibar Kie Yunliang (wakwanza kushoto) akishuhudia utiaji saini makubaliano ya ujenzi wa ICU,  kulia Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Mohammed Jidawi na wakatikati ni Meneja...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA NA BURUNDI ZA SAINI MKATABA WA MIAKA 50 KUSAFIRISHA UMEME KUTOKA MRADI WA RUSUMO

 Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania , Profesa, Sospeter Muhongo (kushoto) na Waziri wa Nishati na Madini wa nchi ya Burundi, Mhe. Come Manirakiza wakitia saini mkataba wa miaka 50 wa  usafirishaji wa umeme kutoka Mradi wa Rusumo kwenda nchini humo katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam jana. Mradi huo unazihusisha nchi tatu za Tanzania, Rwanda na Burundi. Waziri wa Nishati na Madini, Profesa, Sospeter Muhongo (kushoto), akibadilishana hati na Waziri wa Nishati na Madini wa nchi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA NA BURUNDI ZATILIANA SAINI MKATABA WA MIAKA 50 KUSAFIRISHA UMEME KUTOKA MRADI WA RUSUMO

Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania , Profesa, Sospeter Muhongo.Waziri wa Nishati na Madini wa nchi ya Burundi, Come Manirakiza.Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania , Profesa, Sospeter Muhongo (kushoto) na Waziri wa Nishati na Madini wa nchi ya Burundi, Come Manirakiza wakisaini mkataba huo.Waziri wa Nishati na Madini, Profesa, Sospeter Muhongo (kushoto), akibadilishana hati na Waziri wa Nishati na Madini wa nchi ya Burundi, Come Manirakiza, baada ya kutiliana saini mkataba wa miaka...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yasaini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa wa kutoa maji kutoka mto Ruvuma hadi Mtwara

01

Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mbogo Futakamba akiwa na Rais wa Kampuni ya China Railway International Group Co. Ltd Dkt. Lu Bo wakisaini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa kutoa maji kutoka mto Ruvuma hadi Mtwara. Makubaliano hayo yalifanyika Beijing, China tarehe 10 Januari 2015. nyuma ya Katibu Mkuu (aliyesimama) ni Waziri wa Maji Mheshimiwa Prof. Jumanne Abdallah Maghembe (Mb).

03

Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mbogo Futakamba akipeana mikono na Rais wa Kampuni ya China...

 

10 years ago

Habarileo

Tanzania, China zatia saini mikataba minne

MIRADI minne ya maendeleo Tanzania itanufaika na mabilioni ya fedha, yatakayotolewa na China baada ya nchi hizo mbili kutiliana saini Hati za Makubaliano kwa ajili ya utekelezaji wa miradi hiyo itakayosaidia kuinua uchumi wa taifa.

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yasaini hati ya makubaliano ya ujenzi wa daraja la Salenda

08

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali na wajumbe kutoka Benki ya Exim ya Korea baada ya kusaini hati ya mkataba wa makubaliano ya mkopo wa Dola za Kimarekani milioni 91.032 ambazo ni sawa na Sh. Bilioni 154.39 za Kitanzania zilizotolewa na Benki ya Exim ya Korea kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Salenda jana jijini Dar es salaam.(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO).

 

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania yasaini hati ya makubaliano

Tanzania imetia saini hati ya makubaliano ya kutokomeza vitendo vya unyanyasaji dhidi ya mtoto wa kike

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania, Marekani zasaini makubaliano ya Utekelezaji wa Power Africa Initiative

Na Teresia Mhagama
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo pamoja na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Bw. Mark B. Childress wamesaini Makubaliano ya Awali (MoU) kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Marekani kwa ajili ya kutekeleza mpango wa Serikali ya Marekani wa kusaidia maendeleo ya sekta ya umeme barani Afrika, unaoitwa “Power Africa Initiative” ambao umetengewa kiasi cha Dola za Marekani bilioni 7 na serikali ya nchi hiyo, ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani