Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA NA BURUNDI ZA SAINI MKATABA WA MIAKA 50 KUSAFIRISHA UMEME KUTOKA MRADI WA RUSUMO

 Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania , Profesa, Sospeter Muhongo (kushoto) na Waziri wa Nishati na Madini wa nchi ya Burundi, Mhe. Come Manirakiza wakitia saini mkataba wa miaka 50 wa  usafirishaji wa umeme kutoka Mradi wa Rusumo kwenda nchini humo katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam jana. Mradi huo unazihusisha nchi tatu za Tanzania, Rwanda na Burundi. Waziri wa Nishati na Madini, Profesa, Sospeter Muhongo (kushoto), akibadilishana hati na Waziri wa Nishati na Madini wa nchi ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA NA BURUNDI ZATILIANA SAINI MKATABA WA MIAKA 50 KUSAFIRISHA UMEME KUTOKA MRADI WA RUSUMO

Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania , Profesa, Sospeter Muhongo.Waziri wa Nishati na Madini wa nchi ya Burundi, Come Manirakiza.Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania , Profesa, Sospeter Muhongo (kushoto) na Waziri wa Nishati na Madini wa nchi ya Burundi, Come Manirakiza wakisaini mkataba huo.Waziri wa Nishati na Madini, Profesa, Sospeter Muhongo (kushoto), akibadilishana hati na Waziri wa Nishati na Madini wa nchi ya Burundi, Come Manirakiza, baada ya kutiliana saini mkataba wa miaka...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI ZA UGANDA NA TANZANIA ZATIA SAINI HATI YA MAKUBALIANO JUU YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUSAFIRISHA MAFUTA GHAFI

Kutoka Kushoto - Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dkt. James Mataragio,  Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava, Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Nishati na Madini (Uganda), Dkt. Fred Kabagambe Kaliisa na Meneja Mkuu wa Total E&P Uganda, Ndg. Adewale Fayemi wakipongezana baada ya kutia saini Hati ya Makubaliano (MoU) baina ya Serikali ya Uganda na Tanzania juu ya utekelezaji wa mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Uganda (Kabaale) mpaka bandari ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Profesa Sospeter Muhongo asaini mkataba wa mradi wa kuuziana umeme kati ya Zambia, Tanzania na Kenya

unnamed27

Mawaziri wanaoshughulikia Nishati kutoka nchi za Zambia, Tanzania na Kenya wakisaini Mkataba wa Makubaliano kuonesha dhamira ya Serikali ya nchi hizo kujenga miundombinu ya pamoja ya kusafirisha umeme na kufanya biashara ya kuuziana umeme wa ziada baina ya nchi hizo.

Na Anitha Jonas, Maelezo-DSM.

WAZIRI wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo jana ametia saini Mkataba wa Mradi kujenga Miundombinu ya kuuziana umeme kati ya Zambia, Tanzania na Kenya (ZTK) katika Mkutano  wa Kumi...

 

10 years ago

Michuzi

MHE. BALOZI PHILIP MARMO AWEKA SAINI MKATABA WA MKOPO KUTOKA MFUKO WA MAENDELEO YA KIMATAIFA

Mhe. Balozi Philip S. Marmo wa Ubalozi wa Tanzania Ujerumani yuko Vienna, Austria tarehe 9 Septemba, 2014 kuweka saini Mkopo kwa mradi wa tatu wa kupunguza umasikini wa Dola za Marekani 16,350,000 na mradi wa kuendeleza Elimu wa Dola za Marekani 10,200.000. Miradi hiyo itatekelezwa na serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Mheshimiwa Balozi Marmo anawakilisha pia Austria kutoka Ujerumani. Mkataba huo ulisainiwa katika ofisi za OFID, Vienna, Austria kati yake na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa OPEC kwa...

 

10 years ago

Habarileo

UN Tanzania, Norway watia saini mkataba wa bil 6.9/-

MKURUGENZI wa Shirika la Umoja wa Mataifa, Alvaro RodriguezUMOJA wa Mataifa nchini Tanzania umetia saini mkataba na ubalozi wa Norway wa Sh bilioni 6. 9 (dola za Marekani milioni 3.1) kusaidia masuala mbalimbali nchini Tanzania. Masuala hayo ni ya wakimbizi, utawala bora, haki za binadamu na ushirikiano na watu wa Zanzibar.

 

10 years ago

GPL

VODACOM NA TFF ZATILIANA SAINI MKATABA WA KUIDHAMINI LIGI KUU TANZANIA BARA

Rais wa TFF, Jamal Malinzi (kushoto) na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twissa wakijiandaa kutiliana saini mikataba yao. Kulia anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi hiyo, Boniface Wambura. Malinzi na Twissa wakibadilishana mikataba huku Wambura (katikati) akishuhudia.
Malinzi akisistiza jambo kwenye mkutano…

 

9 years ago

Michuzi

MERU LOGISTICS KAMPUNI YA UHAKIKA YA KUSAFIRISHA MIZIGO KUTOKA UK KUJA TANZANIA


Karibu Meru Logistics kwa huduma nzuri, safi, zenye uhakika na haraka kutuma mizigo kutoka UK kwenda Tanzania.Wasiliana nasi pia kama unahitaji chochote kutoka UK kama vile magari, matractor, fridge, TV, Vyombo nk. tuta kusaidia kununua na kukutumia mpaka Tanzania bila tatizo lolote na vitafika salama kabisa. Bei za kutuma mizigo ni kama ifuatavyo:20' CONTAINER TO DAR /MOMBASA FROM £1,300 40' CONTAINER TO DAR /MOMBASA FROM £1,8004X4 TO DAR/MOMBASA FROM £850SALOON CARS TO DAR/ MOMBASA FROM...

 

10 years ago

Michuzi

ZAMBIA, TANZANIA, KENYA ZASAINI MKATABA KUONESHA DHAMIRA YA KUJENGA MIUNDOMBINU YA UMEME

Na Asteria Muhozya, Dar es Salaam  Nchi za Zambia, Tanzania na Kenya zimesaini Mkataba wa Makubaliano kuonesha dhamira ya Serikali ya nchi hizo kujenga miundombinu ya pamoja ya kusafirisha umeme (ZTK) na kufanya biashara ya kuuziana umeme wa ziada baina ya nchi hizo na nchi nyingine barani Afrika. Akiongea katika hafla hiyo Waziri wa Nishati na Madini, Tanzania Profesa Sospeter Muhongo ameeleza kuwa, mradi huo wa pamoja unalenga kuondoa tatizo la upungufu wa nishati ya umeme baina ya nchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani