ZAMBIA, TANZANIA, KENYA ZASAINI MKATABA KUONESHA DHAMIRA YA KUJENGA MIUNDOMBINU YA UMEME
Na Asteria Muhozya, Dar es Salaam Nchi za Zambia, Tanzania na Kenya zimesaini Mkataba wa Makubaliano kuonesha dhamira ya Serikali ya nchi hizo kujenga miundombinu ya pamoja ya kusafirisha umeme (ZTK) na kufanya biashara ya kuuziana umeme wa ziada baina ya nchi hizo na nchi nyingine barani Afrika. Akiongea katika hafla hiyo Waziri wa Nishati na Madini, Tanzania Profesa Sospeter Muhongo ameeleza kuwa, mradi huo wa pamoja unalenga kuondoa tatizo la upungufu wa nishati ya umeme baina ya nchi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTanzania —Zambia- Kenya zasaini makubaliano ya Usafirisaji Umeme
Nchi za Tanzania, Zambia na Kenya zimetiliana saini Makubaliano ya Awali (MoU) ya kuanza kwa utekelezaji wa mradi mkubwa wa miundombinu ya kusafirisha umeme wa msongo mkubwa wa kilovolti 400.
Makubaliano hayo ya awali yamesainiwa tarehe 15 desemba 2014, nchini Zambia na Mawaziri wanaosimamia sekta ya Nishati katika nchi husika ambao ni Waziri wa Nishati na Madini nchini, Profesa Sospeter Muhongo, Waziri wa Wizara ya Migodi, Nishati na Maendeleo ya Maji wa...
10 years ago
GPLTANZANIA - ZAMBIA - KENYA ZASAINI MAKUBALIANO YA USAFIRISAJI UMEME
10 years ago
Dewji Blog01 Oct
Profesa Sospeter Muhongo asaini mkataba wa mradi wa kuuziana umeme kati ya Zambia, Tanzania na Kenya
Mawaziri wanaoshughulikia Nishati kutoka nchi za Zambia, Tanzania na Kenya wakisaini Mkataba wa Makubaliano kuonesha dhamira ya Serikali ya nchi hizo kujenga miundombinu ya pamoja ya kusafirisha umeme na kufanya biashara ya kuuziana umeme wa ziada baina ya nchi hizo.
Na Anitha Jonas, Maelezo-DSM.
WAZIRI wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo jana ametia saini Mkataba wa Mradi kujenga Miundombinu ya kuuziana umeme kati ya Zambia, Tanzania na Kenya (ZTK) katika Mkutano wa Kumi...
10 years ago
Habarileo01 Oct
Mradi wa umeme nafuu Kenya, Tanzania na Zambia waanza
UJENZI wa miundombinu ya kusafirisha umeme kutoka nchini Kenya kupitia Tanzania mpaka Zambia unaotarajiwa kupunguza bei za umeme kwa nchi husika umeanza, huku mawaziri wa sekta ya nishati kwa nchi husika wakikubaliana kukamilisha mwishoni mwa mwaka 2016.
10 years ago
MichuziTANZANIA, KENYA, ZAMBIA WAANZA KUJADILI UTEKELEZAJI MRADI UMEME WA PAMOJA
Wataalamu kutoka nchi za Zambia, Kenya na Tanzania kutoka Wizara zinazoshughulika na masuala ya nishati wameanza majadiliano ya Utekelezaji wa Mradi wa Kuunganisha Mtandao wa Umeme katika Gridi za nchi hizo. Kikao cha Majadiliano hayo kiliongozwa na Makatibu Wakuu kutoka katika nchi husika na kitafuatiwa na mkutano wa Mawaziri utakaofanyika tarehe 30 Septemba, 2014 jijini Dar es Salaam.
Akizungumza katika kikao hicho Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati...
11 years ago
Michuzi02 Jun
TANZANIA NA QATAR ZASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA KAZI NA AJIRA
11 years ago
MichuziTANZANIA NA MALAWI ZASAINI MKATABA WA KUANZISHA KITUO CHA PAMOJA CHA UHAMIAJI NA USHURU WA FORODHA
11 years ago
BBCSwahili21 May
Urusi na Uchina zasaini mkataba wa gesi
10 years ago
Michuzi