Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAPAN NA TANZANIA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA UMEME JIJINI DAR ES SALAAM

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Sh600 bilioni kuboresha miundombinu D’Salaam

>Jumla ya Sh600 bilioni zitatumika katika Mradi wa Kuendeleza Jiji la Dar es Salaam (DMDP),  katika mwaka wa fedha 2015/2016, ikiwamo kuboresha miundombinu ili kudhibiti mafuriko.

 

10 years ago

Michuzi

Ubalozi wa Japan wakutana na tanesco kuzungumzia uboreshaji na ukarabati wa miundombinu ya umeme hapa nchini

MKURUGENZI Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesm Mramba akiongea na wadau wa maendeleo kutoka Japan wakati wa mkutano na waandishi wa kuzungumzia maendeleo ya miradi ya kuboresha na kukarabati miundombinu ya umeme hapa nchini. Mkutano huo ulifanyika Dar es Salaam.MKURUGENZI Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesm Mramba akimtambulisha Kaimu Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Mhandisi Sophia Mgonja kwa Mwakilishi Mkazi wa Shirika la JICA, Onishi Yasunora (kushoto) na Waziri pia mkuu wa Kazi wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu (UTT-PID) yashiriki mkutano mkuu wa 30 ALAT jijini Dar es Salaam

DSC_0085

Naibu waziri wa TAMISEMI,Khasim Majaliwa,akipata maelezo na kusaini kitabu cha wageni kutoka kwa Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Tasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu chini ya Wizara ya Fedha, Bw, Uli Mtebe

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu (UTT-PID) inayoshiriki  mkutano  mkuu wa miaka wa 30 wa jumuia za  Serikali za Mitaa Nchini (ALAT), unaofanyika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam.Mkutano huo ulioanza...

 

11 years ago

Michuzi

Naibu waziri wa mambo ja nje wa Japan atembelea shirika la reli jijini Dar es salaam

 Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Bw. Norio Mitsuya, mara baada ya kuwasili katika stesheni ya  Shirika la Reli Tanzania(TRL) kuangalia namna usafiri wa Treni ya Dar es Salaam Unavyofanya kazi, leo mchana

 Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, Dk Charles Tizeba, akimuonyesha mchoro wa njia ya treni ya Bara na ile ya inayofanya Safari zake kutoka stesheni mpaka Ubungo Maziwa, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Norio...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mradi wa TEDAP kutatua changamoto za upatikanaji wa umeme Jijini Dar es Salaam

1

Meneja wa Miradi, Usambazaji na Usafirishaji kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Emmanuel Manderabona akiwaonesha waandishi wa habari mfumo wa usambazaji umeme kwenye Moja kituo cha Mradi “Tanzania Energy Development and Access Program (TEDAP)” unaofadhiliwa na Benki ya Dunia, kilichopo Mbagalakitakachozalishamegawatt 100 za umeme,kituo hiki kinatarajiwa kuanza kutoa huduma za umeme wa uhakika kwa wakazi wa maeneo ya Kurasini, Kigamboni, Mbagala na Maeneo ya Mkuranga kuanzia Mwezi...

 

10 years ago

Michuzi

IFIKAPO MACHI MWAKANI TATIZO LA UMEME JIJINI DAR ES SALAAM LITAKUWA HISTORIA

 Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii. IFIKAPO machi mwakani tatizo la umeme jijini Dar es Salaam itakuwa historia  kutokana na kukamilika  kwa miundombinu  ya mitambo ya  umeme ifikapo machi mwaka huu.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nishati na Madini,George Simbachawene katika ziara ya  ukaguzi wa miradi ya umeme ya  Kurasini, Mbagala pamoja na Kinyerezi  jijini Dar es Salaam leo.
Ziara hiyo  iliyoanzia katika mitambo ya Umeme ya Wizarani hapo na kuelekea,Kurasini na Mbagala ikiwa na lengo la...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI KITWANGA, DKT. MWAKYEMBE WATEMBELEA MAGEREZA MAKUU JIJINI DAR ES SALAAM, WAAHIDI KUBORESHA HUDUMA KWA WAFUNGWA NA MAHABUSU

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Charles Kitwanga (kushoto) akisalimiana na Kamshina Jenerali wa Jeshi la Magereza,. John Minja wakati alipokuwa anawasili Gereza la Mahabusu Keko kwa ziara ya kikazi. Mwenye mawani ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil, kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu, John Mngodo.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Charles Kitwanga  akikagua gadi maalumu iliyoandaliwa na Maafisa na Askari wa Gereza Keko alipofanya ziara ya kikazi ya kutembelea Magereza...

 

11 years ago

Michuzi

MAMIA WAMUAGA ALIYEKUWA MHADHIRI MWANDAMIZI WA CHUO CHA UHASIBU DAR ES SALAAM(SASA TAASISI YA UHASIBU TANZANIA) JIJINI DAR ES SALAAM


Mwili wa Marehemu Sydney Damson ambaye aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo cha Uhasibu Dar es Salaam(sasa kikijulikana Taasisi ya Uhasibu Tanzania) ukiwasili nyumbani kwake Tandika Magorofani, Wilayani Temeke tayari kwa taratibu za kuaga kabla ya kwenda mazikoni.Mchungaji wa Kanisa la Moravian, Mchungaji Mwakalinga(kushoto) akiendesha Ibada Maalum ya kumuombea Marehemu Sydney Damson kabla ya zoezi la kuuaga mwili wa Marehemu kuanza nyumbani kwake Tandika Magorofani leo Julai 27, 2014 Temeke Jijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani