Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IFIKAPO MACHI MWAKANI TATIZO LA UMEME JIJINI DAR ES SALAAM LITAKUWA HISTORIA

 Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii. IFIKAPO machi mwakani tatizo la umeme jijini Dar es Salaam itakuwa historia  kutokana na kukamilika  kwa miundombinu  ya mitambo ya  umeme ifikapo machi mwaka huu.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nishati na Madini,George Simbachawene katika ziara ya  ukaguzi wa miradi ya umeme ya  Kurasini, Mbagala pamoja na Kinyerezi  jijini Dar es Salaam leo.
Ziara hiyo  iliyoanzia katika mitambo ya Umeme ya Wizarani hapo na kuelekea,Kurasini na Mbagala ikiwa na lengo la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

‘Ifikapo Juni tatizo la maji Dar litakuwa historia’

NAIBU Waziri wa Maji, Amosi Makala ametamba kuwa kufikia Juni mwaka huu tatizo la upatikanaji wa maji kwa mkoa wa Dar es Salaam litakuwa historia.

 

10 years ago

Habarileo

Tatizo la umeme Dar kuwa historia

SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limesisitiza kwamba ifikapo Agosti mwakani, hakutakuwa na tatizo la umeme katika Jiji la Dar es Salaam. Pia, limesema taasisi ambazo zilikuwa miongoni mwa wadaiwa sugu, zimeendelea kulipa na kulifanya liendelee vizuri.

 

11 years ago

Habarileo

Dar maji bwelele ifikapo Machi

WAKAZI wa Jiji la Dar es Salaam wanatarajiwa kuondokana na tatizo la upatikanaji wa maji safi kwa asilimia 90 kuanzia Machi baada ya kukamilika kwa ujenzi wa bomba la Ruvu Chini na mtambo wa maji ulioko Bagamoyo.

 

11 years ago

Michuzi

mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini dar es salaam kuanza kutoa huduma mapema mwakani

Na Frank Mvungi- Maelezo  Serikali inatarajia kuanza kutoa huduma za awali (interim services) katika mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) Kutoka Kimara mwisho hadi Kivukoni jijini Dar es salaam mwaka 2015 baada ya miundombinu yake kukamilika.   Hayo yamesemwa na Meneja Uhusiano wa Wakala wa mabasi yaendayo haraka (DART) Bw.William Gatambi wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.  Bw. Gatambi alisema kuwa mara baada ya kukamilika kwa miundo mbinu ya mradi huo...

 

5 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA GOFU YA TANAPA LUGALO OPEN KUFANYIKA MACHI 14 NA 15 JIJINI DAR ES SALAAM.

Na Luteni Selemani Semunyu

Mwenyekiti wa Klabu ya Gofu ya Lugalo Brigedia Jenerali Mstaafu Michael Luwongo ametangaza mashindano ya Tanapa Lugalo Open yanatarajiwa kufanyika Machi 14 na 15 Mwaka huu katika Viwanja vya Lugalo Jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na Mwandishi wa hbari hizi Mwenyekiti huyo alisema masindano hayo yalikuwa yafanyike February 29 na Machi Mosi lakini kutokana na baadhi ya Maandalizi kutokamilika imelazimu sasa kusogeza mbele.

“ Tumesogeza mbele ili kutoa fursa ya...

 

10 years ago

Vijimambo

UZINDUZI NA UTAMBULISHO WA SHIRIKA LA SAVE VULNERABLE FOUNDATION WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM LEO MACHI 3,2015

Katibu Mkuu wa Shirika la Kusaidia watu wenye ulemavu na mahitaji maalumu la Save Vulnerable Foundation, Leontine Rwechungura (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana wakati wa uzinduzi na utambulisho wa shirika hilo. Kulia ni Ofisa Habari wa Shirika hilo, Eunice Mjema na Mwenyekiti, Fredy Kaula.Mwenyekiti wa Shirika hilo, Fredy Kaula (kushoto), akizungumza kwenye uzinduzi huo. Ofisa Miradi wa Shirika hilo, Rojas Rwanda (kushoto), akisalimia...

 

10 years ago

GPL

UZINDUZI NA UTAMBULISHO WA SHIRIKA LA SAVE VULNERABLE FOUNDATION WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM LEO MACHI 3,2015‏

Katibu Mkuu wa Shirika la Kusaidia watu wenye ulemavu na mahitaji maalumu la Save Vulnerable Foundation, Leontine Rwechungura (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana wakati wa uzinduzi na utambulisho wa shirika hilo. Kulia ni Ofisa Habari wa Shirika hilo, Eunice Mjema na Mwenyekiti, Fredy Kaula.  Mwenyekiti wa Shirika hilo, Fredy Kaula (kushoto), akizungumza kwenye uzinduzi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mradi wa TEDAP kutatua changamoto za upatikanaji wa umeme Jijini Dar es Salaam

1

Meneja wa Miradi, Usambazaji na Usafirishaji kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Emmanuel Manderabona akiwaonesha waandishi wa habari mfumo wa usambazaji umeme kwenye Moja kituo cha Mradi “Tanzania Energy Development and Access Program (TEDAP)” unaofadhiliwa na Benki ya Dunia, kilichopo Mbagalakitakachozalishamegawatt 100 za umeme,kituo hiki kinatarajiwa kuanza kutoa huduma za umeme wa uhakika kwa wakazi wa maeneo ya Kurasini, Kigamboni, Mbagala na Maeneo ya Mkuranga kuanzia Mwezi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani