Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Ifikapo Juni tatizo la maji Dar litakuwa historia’

NAIBU Waziri wa Maji, Amosi Makala ametamba kuwa kufikia Juni mwaka huu tatizo la upatikanaji wa maji kwa mkoa wa Dar es Salaam litakuwa historia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

IFIKAPO MACHI MWAKANI TATIZO LA UMEME JIJINI DAR ES SALAAM LITAKUWA HISTORIA

 Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii. IFIKAPO machi mwakani tatizo la umeme jijini Dar es Salaam itakuwa historia  kutokana na kukamilika  kwa miundombinu  ya mitambo ya  umeme ifikapo machi mwaka huu.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nishati na Madini,George Simbachawene katika ziara ya  ukaguzi wa miradi ya umeme ya  Kurasini, Mbagala pamoja na Kinyerezi  jijini Dar es Salaam leo.
Ziara hiyo  iliyoanzia katika mitambo ya Umeme ya Wizarani hapo na kuelekea,Kurasini na Mbagala ikiwa na lengo la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tatizo la maji kubaki historia — Dawasco

DAR ES SALAAM ni miongoni mwa majiji ambayo yamekuwa yakikua kwa kasi barani Afrika. Ukuaji huo umekuwa ukienda sambamba na ongezeko la idadi ya watu wanaokuja kutembea na kuishi jijini...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tatizo la uhaba wa maji Wilayani Mkuranga kuwa historia

image_1

Mwakilishi wa Kampuni ya Uchimbaji wa Visima ya ZENTAS kutoka Uturuki nchini Tanzania Dkt, Mohammed Akbar akitoa taarifa za kukamilika kwa kazi ya uchimbaji wa kisima chenye urefu wa mita 541 eneo la Mkwalia, Mkuranga, Pwani leo.Kisima hicho kinauwezo wa kuzalisha maji lita milioni 1.8 kwa siku.

image_2

Maji kutoka katika kisima hicho yakitiririka kufuatia kufanyika kwa majaribio ya kuyatoa maji kutoka ardhini.

image_3

Kiongozi wa waendesha mitambo ya uchimbaji visima wa kampuni ya ZENTAS Bw. Sima Teodor...

 

11 years ago

Habarileo

Dar maji bwelele ifikapo Machi

WAKAZI wa Jiji la Dar es Salaam wanatarajiwa kuondokana na tatizo la upatikanaji wa maji safi kwa asilimia 90 kuanzia Machi baada ya kukamilika kwa ujenzi wa bomba la Ruvu Chini na mtambo wa maji ulioko Bagamoyo.

 

10 years ago

Habarileo

Tatizo la umeme Dar kuwa historia

SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limesisitiza kwamba ifikapo Agosti mwakani, hakutakuwa na tatizo la umeme katika Jiji la Dar es Salaam. Pia, limesema taasisi ambazo zilikuwa miongoni mwa wadaiwa sugu, zimeendelea kulipa na kulifanya liendelee vizuri.

 

11 years ago

Mwananchi

Tatizo la maji Dar lazidi kukua

Kilio cha wakazi wa Dar es Salaam kupatiwa maji safi na salama, bado ni ndoto pamoja na Serikali kutoa ahadi za kumaliza tatizo hilo.

 

11 years ago

Michuzi

uhaba wa maji ya uhakika dar es salaam kuwa historia karibuni

Tatizo la muda mrefu la uhaba wa maji ya uhakika linalowakabili wakaazi wa mkoa wa Dar es Salaam na mikoa mengine inayohudumiwa na mitambo ya maji ya Ruvu Juu na Ruvu Chini sasa litakuwa historia...  Mafundi wakiendelea kulaza mabomba yatakayotumika kusafirishia maji kutoka Mitambo ya Maji ya Ruvu Chini mpaka kwenye Tanki la kuhifadhia maji lililopo Chuo Kikuu cha Ardhi jijini Dar es Salaam. Mpaka sasa mafundi hao wameshasambaza mabomba kwa umbali wa kilomita takribani 29 kati ya...

 

10 years ago

GPL

MAJI BADO TATIZO VIUNGA VYA DAR

Wauza maji  wakiwa na mikokoteni yao maeneo ya Kimara Mwisho. Mikokoteni ya maji ikiwa imepakiwa kijiweni, eneo la Kinondoni, Manyanya.…

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MAJI ALIVALIA NJUGA TATIZO LA MAJI CHAKWALE

Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla amesema Serikali itatatua tatizo la muda mrefu la maji katika kijiji cha Chakwale, Wilaya ya Gairo, mkoani Morogoro wakati alipotembelea mradi wa maji kijijini Mhe. Makalla alisema tatizo la maji Chakwale tutalifanyia kazi na kuhakikisha tunalitatua, mimi na Mbunge, Shabiby tutashirikiana tulete maji katika kijiji hiki ambacho kimekua na malalamiko ya muda
 “Kumekuwa na ugumu na uzembe wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa kuleta fedha za kutekeleza ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani