Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dar maji bwelele ifikapo Machi

WAKAZI wa Jiji la Dar es Salaam wanatarajiwa kuondokana na tatizo la upatikanaji wa maji safi kwa asilimia 90 kuanzia Machi baada ya kukamilika kwa ujenzi wa bomba la Ruvu Chini na mtambo wa maji ulioko Bagamoyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

IFIKAPO MACHI MWAKANI TATIZO LA UMEME JIJINI DAR ES SALAAM LITAKUWA HISTORIA

 Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii. IFIKAPO machi mwakani tatizo la umeme jijini Dar es Salaam itakuwa historia  kutokana na kukamilika  kwa miundombinu  ya mitambo ya  umeme ifikapo machi mwaka huu.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nishati na Madini,George Simbachawene katika ziara ya  ukaguzi wa miradi ya umeme ya  Kurasini, Mbagala pamoja na Kinyerezi  jijini Dar es Salaam leo.
Ziara hiyo  iliyoanzia katika mitambo ya Umeme ya Wizarani hapo na kuelekea,Kurasini na Mbagala ikiwa na lengo la...

 

10 years ago

Habarileo

‘Ifikapo Juni tatizo la maji Dar litakuwa historia’

NAIBU Waziri wa Maji, Amosi Makala ametamba kuwa kufikia Juni mwaka huu tatizo la upatikanaji wa maji kwa mkoa wa Dar es Salaam litakuwa historia.

 

11 years ago

GPL

BODI YA WAKURUGENZI YA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA DAR ES SALAAM (DAWASA) YATEMBELEA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA

Meneja Usimamizi, Uendeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bi.Modesta Mushi akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) ramani ya maeneo yatakayoguswa na Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.… ...

 

11 years ago

Michuzi

Bodi ya ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) yatembelea Eneo la Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda


 Meneja Usimamizi, Uendeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bi.Modesta Mushi akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) ramani ya maeneo yatakayoguswa na Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.Mkuu wa Msafara wa Timu ya Ulipaji fidia kwa Wakazi walio katika Eneo la Mradi Mhandisi John...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani