Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tatizo la maji kubaki historia — Dawasco

DAR ES SALAAM ni miongoni mwa majiji ambayo yamekuwa yakikua kwa kasi barani Afrika. Ukuaji huo umekuwa ukienda sambamba na ongezeko la idadi ya watu wanaokuja kutembea na kuishi jijini...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Tatizo la uhaba wa maji Wilayani Mkuranga kuwa historia

image_1

Mwakilishi wa Kampuni ya Uchimbaji wa Visima ya ZENTAS kutoka Uturuki nchini Tanzania Dkt, Mohammed Akbar akitoa taarifa za kukamilika kwa kazi ya uchimbaji wa kisima chenye urefu wa mita 541 eneo la Mkwalia, Mkuranga, Pwani leo.Kisima hicho kinauwezo wa kuzalisha maji lita milioni 1.8 kwa siku.

image_2

Maji kutoka katika kisima hicho yakitiririka kufuatia kufanyika kwa majaribio ya kuyatoa maji kutoka ardhini.

image_3

Kiongozi wa waendesha mitambo ya uchimbaji visima wa kampuni ya ZENTAS Bw. Sima Teodor...

 

10 years ago

Habarileo

‘Ifikapo Juni tatizo la maji Dar litakuwa historia’

NAIBU Waziri wa Maji, Amosi Makala ametamba kuwa kufikia Juni mwaka huu tatizo la upatikanaji wa maji kwa mkoa wa Dar es Salaam litakuwa historia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Malaria nchini kubaki historia?

UGONJWA wa malaria ndio unaoua watu wengi kuliko ugonjwa mwingine nchini. Kundi lililoathirika zaidi na ugonjwa huo ni wajawazito na watoto walio chini ya miaka mitano. Malaria ni janga linalostahili...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Jakaya Kikwete: Tutaendelea kupambana na Malaria na kubaki kuwa historia nchini

Waziri Mkuu Ethiopia, Hailemariam Desalegm pamoja na Rais Jakaya Kikwete wakiwasili katika uzinduzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Viuawadudu vya Kuua Viluwiluwi wa Mbu mjini Kibaha. Kiwanda hiki kinamilikiwa na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kwa ushirikiano na Kampuni ya LABIOFAM ya nchini Cuba.

Waziri Mkuu Ethiopia, Hailemariam Desalegm pamoja na Rais Jakaya Kikwete wakiwasili katika uzinduzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Viuawadudu vya Kuua Viluwiluwi wa Mbu mjini Kibaha. Kiwanda hiki kinamilikiwa na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kwa ushirikiano na Kampuni ya LABIOFAM ya nchini Cuba.

Na Benedict Liwenga-MAELEZO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amefurahishwa na uzinduzi wa Kiwanda cha kuzalisha viuadudu vya kuua viluwiluwi vya mbu...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MAJI ALIVALIA NJUGA TATIZO LA MAJI CHAKWALE

Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla amesema Serikali itatatua tatizo la muda mrefu la maji katika kijiji cha Chakwale, Wilaya ya Gairo, mkoani Morogoro wakati alipotembelea mradi wa maji kijijini Mhe. Makalla alisema tatizo la maji Chakwale tutalifanyia kazi na kuhakikisha tunalitatua, mimi na Mbunge, Shabiby tutashirikiana tulete maji katika kijiji hiki ambacho kimekua na malalamiko ya muda
 “Kumekuwa na ugumu na uzembe wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa kuleta fedha za kutekeleza ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

DAWASCO yadhibiti upotevu wa maji

SHIRIKA la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) limeamua kudhibiti upotevu wa maji katika Jiji la Dar es Salaam ambao unawapunguzia mapato. Ofisa Uhusiano wa shirika hilo, Everlasting Lyaro,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dawasco yazima mitambo ya maji

SHIRIKA la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco) limezima mitambo miwili ya uzalishaji maji kwenye mitambo yake ya Ruvu Juu uliopo Mlandizi, mkoani Pwani na Mtoni uliopo Temeke, Dar...

 

9 years ago

Mwananchi

Dawasco yapandisha bei ya maji

Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco), limeanza rasmi kutumia bei mpya za ankara za maji, ikiwa ni siku chache baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (Ewura) kupitisha mapendekezo ya kupandisha bei kama walivyoomba.

 

10 years ago

Michuzi

DAWASCO YAANZA OPERESHENI WIZI WA MAJI-RUHEMEJA.

 Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii Kampuni ya Majisafi na Majitaka  Dar es Salaam(Dawasco)imeanza rasmi  operesheni kuwakamata watu waliojiunganishia maji kwa njia haramu. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam,Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco,Mhandisi Cyprian Luhemeja amesema operesheni hiyo itafanyika kanda zote za jiji la Dar es Salaam ikiwa ni kutaka jamii kuacha kuacha tabia hiyo. Amesema kuwa wizi wa maji unafanya watu ambao ndio wateja wa Dawasco kukosa maji na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani