Dawasco yapandisha bei ya maji
Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco), limeanza rasmi kutumia bei mpya za ankara za maji, ikiwa ni siku chache baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (Ewura) kupitisha mapendekezo ya kupandisha bei kama walivyoomba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
DAWASCO YATANGAZA KUANZA KUTUMIKA KWA BEI MPYA YA MAJI JIJINI DAR

Gharama hizo mpya ambazo zimeanza rasmi kutumika Disemba 01, zimepanda...
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Tanesco yapandisha bei ya umeme
10 years ago
GPLOMBI LA KUPANDA KWA BEI ZA MAJI SAFI NA MAJI TAKA
9 years ago
MichuziEWURA YAWAKUTANISHA WADAU WA MAJI JIJINI MWANZA KUJADILI OMBI LA MWAUASA KUONGEZA BEI YA MAJI.
Na:George Binagi-GB Pazzo @BMGMwauasa inatarajia kupandisha bei ya maji...
9 years ago
Dewji Blog12 Nov
EWURA yawakutanisha wadau wa maji jijini Mwanza kujadili ombi la MWAUASA kuongeza bei ya Maji!
UWURA, Mamlaka ya Maji safi na MajiTaka Mkoani Mwanza MWAUASA na Wadau/Watumiaji wa Maji Jijini Mwanza kwa ajili ya kujadili ombi la MWAUASA kutaka kupandisha bei ya maji kuanzia mwezi January mwakani. Na:George Binagi-GB Pazzo @BMG Mwauasa inatarajia kupandisha bei ya maji...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
DAWASCO yadhibiti upotevu wa maji
SHIRIKA la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) limeamua kudhibiti upotevu wa maji katika Jiji la Dar es Salaam ambao unawapunguzia mapato. Ofisa Uhusiano wa shirika hilo, Everlasting Lyaro,...
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Dawasco yazima mitambo ya maji
SHIRIKA la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco) limezima mitambo miwili ya uzalishaji maji kwenye mitambo yake ya Ruvu Juu uliopo Mlandizi, mkoani Pwani na Mtoni uliopo Temeke, Dar...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
Tatizo la maji kubaki historia — Dawasco
DAR ES SALAAM ni miongoni mwa majiji ambayo yamekuwa yakikua kwa kasi barani Afrika. Ukuaji huo umekuwa ukienda sambamba na ongezeko la idadi ya watu wanaokuja kutembea na kuishi jijini...
10 years ago
Habarileo13 Mar
Mkurugenzi, Meneja wa Maji Dawasco watakiwa kujitathmini
NAIBU Waziri wa Maji, Amos Makalla amewataka watendaji wakuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka jijini Dar es Salaam (Dawasco), Mkurugenzi wa Maji na Meneja wa Maji kujitathmini na kuona kama wanafaa kufanya kazi hiyo ama waachie nafasi zao.