Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAJI BADO TATIZO VIUNGA VYA DAR

Wauza maji  wakiwa na mikokoteni yao maeneo ya Kimara Mwisho. Mikokoteni ya maji ikiwa imepakiwa kijiweni, eneo la Kinondoni, Manyanya.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Uharibifu Vyanzo Vya Maji Mto Zigi vya waweza kusababisha tatizo la maji Tanga

Mamlaka ya majisafi na majitaka Tanga UWASA imesema uharibifu wa mazingira katika vyanzo vya maji vya mto Zigi unaweza kusababisha jiji hilo kuingia kwenye tatizo la maji.

Tayari Mamlaka hiyo imeanzisha Umoja wa Wakulima hifadhi Mazingira Kihuwhi Zigi, UWAMAKIZI kama harakati ya kukabiliana na uchimbaji wa madini, kilimo na ukataji wa miti kwa ajili ya mbao.

Jiji la Tanga hutegemea maji ya mto zigi kama chanzo pekee cha maji na shughuli za kibinadamu kwenye vyanzo vya mto huo huenda...

 

10 years ago

Habarileo

Miundombinu ya kutibu maji bado tatizo

Mbogo Futakamba SERIKALI imesema hali ya ubora wa maji si nzuri kwa sababu sio sehemu zote zina miundombinu ya kutibu maji.

 

11 years ago

GPL

KAMERA YA GLOBAL PUBLISHERS ILIVYOMULIKA MAENEO YA VIUNGA VYA DAR

Hiki ni kisima kinachotumiwa na wakazi wa Yombo-Dovya karibu na mto Muki. Hapa ni eneo  la Tanesco kitongoji cha Tandale.…

 

10 years ago

Habarileo

‘Vitendo vya ukeketaji bado tatizo sugu’

VITENDO vya ukeketaji bado ni tatizo sugu, kutokana na baadhi ya watoa huduma za afya kushiriki kusaidia jambo hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Tatizo la maji Dar lazidi kukua

Kilio cha wakazi wa Dar es Salaam kupatiwa maji safi na salama, bado ni ndoto pamoja na Serikali kutoa ahadi za kumaliza tatizo hilo.

 

10 years ago

Habarileo

‘Ifikapo Juni tatizo la maji Dar litakuwa historia’

NAIBU Waziri wa Maji, Amosi Makala ametamba kuwa kufikia Juni mwaka huu tatizo la upatikanaji wa maji kwa mkoa wa Dar es Salaam litakuwa historia.

 

10 years ago

GPL

MR. CHAMPIONI ATEMBELEA VIUNGA VYA MKOA WA TANGA

Mr.Championi akimkabidhi zawadi ya flana Wakala Mkuu wa Magazeti, Suleiman Idd Mohammed wa eneo la Msata-Pwani,kulia kwake ni, Ofisa Usambazaji wa Global Publishers, Yohana Mkanda pamoja na Alex Mabula (kushoto). ..Mr.Championi akimkabidhi flana muuzaji wa magazeti, Kaboko Juma eneo la Mwewe-Handeni, Tanga (katikati) anayeshudia ni wakala Mkuu wa eneo… ...

 

10 years ago

Michuzi

TATIZO LA RUSHWA YA NGONO BADO NI TATIZO TANZANIA.

Jaji mstaafu wa mahakama ya rufaa nchini tanzania mama EUSEBIA MUNUO  ambaye alikuwa ndiye mkufunzi katika mafunzo hayo yaliyoendeshwa leo jijini Dar es salaam  Rushwa ya ngono pamoja na matumizi mabaya ya madaraka yametajwa kuwa ni moja kati ya matatizo makubwa ambayo yamezidi kuweka mizizi nchini tanzania na kuwaadhiri wasichana wengi huku sheria ikishindwa kuweka wazi adhabu mahususi ili kuwabana wanaohusika katika swala hilo. Hayo yamesemwa leo jijini dare s salaam na Jaji...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MAJI ALIVALIA NJUGA TATIZO LA MAJI CHAKWALE

Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla amesema Serikali itatatua tatizo la muda mrefu la maji katika kijiji cha Chakwale, Wilaya ya Gairo, mkoani Morogoro wakati alipotembelea mradi wa maji kijijini Mhe. Makalla alisema tatizo la maji Chakwale tutalifanyia kazi na kuhakikisha tunalitatua, mimi na Mbunge, Shabiby tutashirikiana tulete maji katika kijiji hiki ambacho kimekua na malalamiko ya muda
 “Kumekuwa na ugumu na uzembe wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa kuleta fedha za kutekeleza ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani