Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TATIZO LA RUSHWA YA NGONO BADO NI TATIZO TANZANIA.

Jaji mstaafu wa mahakama ya rufaa nchini tanzania mama EUSEBIA MUNUO  ambaye alikuwa ndiye mkufunzi katika mafunzo hayo yaliyoendeshwa leo jijini Dar es salaam  Rushwa ya ngono pamoja na matumizi mabaya ya madaraka yametajwa kuwa ni moja kati ya matatizo makubwa ambayo yamezidi kuweka mizizi nchini tanzania na kuwaadhiri wasichana wengi huku sheria ikishindwa kuweka wazi adhabu mahususi ili kuwabana wanaohusika katika swala hilo. Hayo yamesemwa leo jijini dare s salaam na Jaji...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Rushwa, ngono tatizo Miss Tanzania

Dar es Salaam.  Serikali imesema imeyafungia mashindano ya Miss Tanzania baada ya waandaaji kukiuka taratibu na kanuni huku pia yakitajwa kukithiri kwa rushwa ya ngono na upendeleo.

 

11 years ago

Mwananchi

Rushwa bado ni tatizo nchini

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utawala Bora, Kapteni Mstaafu George Mkuchika amesema, rushwa ni changamoto ambayo bado inalikabili taifa, hivyo hukwamisha sera ya utawala bora na kuharibu sifa ya nchi katika medani ya kimataifa katika kudhibiti na kupambana na rushwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Jaji Mkuu: Mahakama nchini bado zinakabiliwa na tatizo la rushwa

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande, amesema baadhi ya Mahakama nchini bado zinakabiliwa na tatizo la rushwa kutokana na watendaji wake kuendekeza vitendo hivyo na kuwakosesha haki wananchi.

 

10 years ago

Vijimambo

UKEKETAJI BADO NI TATIZO SUGU TANZANIA,LHRC NA MASHIRIKA MENGINE WATOA NENO NZITO,SOMA HAPA

Mwanasheria kutoka kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC ndugu HAROLD SUNGUSIA akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es salaam juu ya siku ya kupinga ukeketaji duniani
NA EXAUD MTEIIkiwa leo ni siku ya kupinga vitendo vya ukeketaji duniani imeelezwa kuwa bado mapambano dhidi ya ukatili huo hapa nchini kwetu Tanzania yanahitaji nguvu ya ziada kwani bado baadhi ya mikoa imekuwa sugu katika vitendo hivyo ambapo serikali imetakiwa kuchakua hatua mara moja juu ya watu ambao wanahusika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ukeketaji bado tatizo

UKEKETAJI ni mila potofu inayodhaniwa kwamba ikifanywa ni heshima pindi mwanamke atakapoolewa. Lakini ukeketaji una madhara kwa wanaofanyiwa, ikiwemo maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) kutokana na kuchangia nyenzo za...

 

9 years ago

Mwananchi

Kukithiri rushwa nchini ni tatizo la mfumo

Katika juhudi za kuonyesha udhibiti na ufuatiliaji wa rushwa nchini, Taasisi ya Kupambana na Kudhibiti Rushwa (Takukuru) imejaribu kuonyesha makucha yake tangu kuteuliwa kwa Mkurugenzi wake mkuu, Dk Edward Hoseah mwaka 2006.

 

11 years ago

GPL

SINA TATIZO NA MAWAZIRI MZIGO NINA TATIZO NA CCM

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. MFUMO wa uongozi serikalini unanitatiza. Kama Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye na Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana wanaweza kuwaona mawaziri kadhaa kuwa ni mizigo kabla kiongozi mkuu wa nchi Rais Jakaya Kikwete ambaye ni mwenyekiti wa chama wanachokitumikia Nape na Kinana hajachukua hatua, nahisi kuna tatizo kubwa! Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Unyanyasaji wa wanawake bado tatizo

IMEELEZWA kuwa wanawake wengi duniani bado wananyanyaswa kijinsia kwa sababu za kijamii, kiuchumi na kipato licha ya kuwepo kwa elimu kuhusu haki zao. Hayo yalizungumzwa jana na John Mapesa Naibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani