Kukithiri rushwa nchini ni tatizo la mfumo
Katika juhudi za kuonyesha udhibiti na ufuatiliaji wa rushwa nchini, Taasisi ya Kupambana na Kudhibiti Rushwa (Takukuru) imejaribu kuonyesha makucha yake tangu kuteuliwa kwa Mkurugenzi wake mkuu, Dk Edward Hoseah mwaka 2006.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Serikali ihojiwe kukithiri rushwa nchini- Raawu
Watanzania wametakiwa kuamka na kuwahoji waajiri, ikiwamo Serikali sababu za wafanyakazi wa umma kuomba rushwa kwa huduma wanazotoa.
11 years ago
Mwananchi18 Jan
Rushwa bado ni tatizo nchini
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utawala Bora, Kapteni Mstaafu George Mkuchika amesema, rushwa ni changamoto ambayo bado inalikabili taifa, hivyo hukwamisha sera ya utawala bora na kuharibu sifa ya nchi katika medani ya kimataifa katika kudhibiti na kupambana na rushwa.
9 years ago
Mwananchi10 Sep
Jaji Mkuu: Mahakama nchini bado zinakabiliwa na tatizo la rushwa
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande, amesema baadhi ya Mahakama nchini bado zinakabiliwa na tatizo la rushwa kutokana na watendaji wake kuendekeza vitendo hivyo na kuwakosesha haki wananchi.
10 years ago
Michuzi11 Apr
TATIZO LA RUSHWA YA NGONO BADO NI TATIZO TANZANIA.
![](https://mail.google.com/mail/u/0/images/cleardot.gif)
10 years ago
Mwananchi28 May
Matukio ya kujichukulia sheria mkononi yazidi kukithiri nchini
Dar es Salaam. Kituo cha Haki za Binaadamu (LHRC), kwa kushirikiana na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar (ZLSC), kimewasilisha ripoti ya mwaka 2014 inayoonyesha kuongezeka kwa matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu yanayosababishwa na baadhi ya watu kujichukulia sheria mkononi na mauaji yanayofanywa na vyombo vya dola.
9 years ago
Raia Mwema07 Oct
10 years ago
Mwananchi27 Dec
Rushwa, ngono tatizo Miss Tanzania
Dar es Salaam. Serikali imesema imeyafungia mashindano ya Miss Tanzania baada ya waandaaji kukiuka taratibu na kanuni huku pia yakitajwa kukithiri kwa rushwa ya ngono na upendeleo.
10 years ago
Habarileo19 Sep
'Kuna tatizo kwenye mfumo wa elimu'
BARAZA la Uongozi wa Elimu, Utawala na Usimamizi (TACELAM) limesema matumizi ya lugha ya kufundishia ni moja ya tatizo linalozorotesha maendeleo ya elimu nchini.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-5zKUvaXR0wI/XlaTDDg3I2I/AAAAAAALfmE/0usJyxAUoq8hO8DxH-43JnZnvdNy3UQZgCLcBGAsYHQ/s72-c/f42965bc-9e60-4caf-ad6e-0e6caa59cff2.jpg)
TATIZO KATIKA MFUMO WA USAJILI KUWA HISTORIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-5zKUvaXR0wI/XlaTDDg3I2I/AAAAAAALfmE/0usJyxAUoq8hO8DxH-43JnZnvdNy3UQZgCLcBGAsYHQ/s400/f42965bc-9e60-4caf-ad6e-0e6caa59cff2.jpg)
Hayo ameyabainisha wakati akijibu hoja za wafanyabiashara wa Mkoa wa Simiyu siku ya jana tarehe 25 Februari, 2020 katika kikao cha mashauriano kati ya serikali na Wafanyabiashara.
Akizungumza katika kikao hicho Bw. Nyaisa amebainisha kwamba, BRELA imechukua hatua za makusudi katika kutatua changamoto katika...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania