Matukio ya kujichukulia sheria mkononi yazidi kukithiri nchini
Dar es Salaam. Kituo cha Haki za Binaadamu (LHRC), kwa kushirikiana na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar (ZLSC), kimewasilisha ripoti ya mwaka 2014 inayoonyesha kuongezeka kwa matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu yanayosababishwa na baadhi ya watu kujichukulia sheria mkononi na mauaji yanayofanywa na vyombo vya dola.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania24 Jul
Matukio ya kujichukulia sheria mkononi yakomeshwe
NDANI ya jamii ya Kitanzania kumejengeka utamaduni wa wananchi kujichukulia sheria mikononi katika mambo mbalimbali.
Miongoni mwa hayo ni yale ya kuwaua wahalifu baadhi kwa kuchomwa moto na wengine kuamua kufunga barabara kwa saa kadhaa baada ya ajali kutokea.
Bila kujali madhara yanayoweza kutokea kutokana na vitendo hivyo, matukio hayo ni kama yamezoeleka ndani ya jamii.
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) katika taarifa yake kwa waandishi wa habari jana kilisema hali...
11 years ago
Tanzania Daima09 Mar
Kikwete ameruhusu kujichukulia sheria mkononi?
FEBRUARI 15, mwaka huu Rais Jakaya Kikwete na Mwenyekiti wa CCM taifa alitoa hotuba ya kufungua kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa. Katika sehemu ya hotuba yake, aliwahamasisha wanachama wa...
9 years ago
Mwananchi30 Dec
Kukithiri rushwa nchini ni tatizo la mfumo
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Serikali ihojiwe kukithiri rushwa nchini- Raawu
10 years ago
Mwananchi29 Sep
Tunafundishwa kuchukua sheria mkononi
11 years ago
Habarileo21 Apr
Wanaojichukulia sheria mkononi washutumiwa
MTANDAO wa watu wanaotumia dawa za kulevya Tanzania (TaNPUD), umeomba Serikali iwachukulie hatua watu wanaochukua sheria mkononi dhidi ya watumia dawa za kulevya kwa kuwaona wao ni wahalifu na hawafai kwenye jamii. Kauli hiyo ilitolewa wiki iliyopita na Mwenyekiti wa mtandao huo, Godfrey Ten alipokuwa akizungumzia taarifa ya hivi karibuni iliyotolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utawala Bora, George Mkuchika kuhusu Utawala Bora.
11 years ago
Habarileo03 Feb
Wanaojichukulia sheria mkononi kukamatwa
KUTOKANA na kukithiri kwa vitendo vya kujichukulia sheria mkononi, kunakosababishwa na imani za kishirikina, Jeshi la Polisi limeweka mkakati maalumu wa kukabiliana na vitendo hivyo.
10 years ago
Habarileo26 Feb
Wanaojichukulia sheria mkononi kukiona
MKUU wa Wilaya ya Magharibi Unguja, Ayoub Mohamed amesema Serikali ya Mkoa haitokubali kuwaachia wananchi kujichukulia sheria mikononi mwao na kukataa nyumba zao kupigwa dawa kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa malaria.
9 years ago
Habarileo24 Nov
‘Rekodi sheria mkononi uzawadiwe’
JESHI la Polisi nchini limekemea tabia inayoendelea kujengeka miongoni mwa baadhi ya wananchi ya kutoheshimu sheria na kujichukulia sheria mikononi kwa kuwapiga, kuwadhalilisha watuhumiwa, kuwachoma na kuwaua.