Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaojichukulia sheria mkononi washutumiwa

MTANDAO wa watu wanaotumia dawa za kulevya Tanzania (TaNPUD), umeomba Serikali iwachukulie hatua watu wanaochukua sheria mkononi dhidi ya watumia dawa za kulevya kwa kuwaona wao ni wahalifu na hawafai kwenye jamii. Kauli hiyo ilitolewa wiki iliyopita na Mwenyekiti wa mtandao huo, Godfrey Ten alipokuwa akizungumzia taarifa ya hivi karibuni iliyotolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utawala Bora, George Mkuchika kuhusu Utawala Bora.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wanaojichukulia sheria mkononi kukiona

MKUU wa Wilaya ya Magharibi Unguja, Ayoub Mohamed amesema Serikali ya Mkoa haitokubali kuwaachia wananchi kujichukulia sheria mikononi mwao na kukataa nyumba zao kupigwa dawa kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa malaria.

 

11 years ago

Habarileo

Wanaojichukulia sheria mkononi kukamatwa

Msemaji wa Polisi, Advera Senso KUTOKANA na kukithiri kwa vitendo vya kujichukulia sheria mkononi, kunakosababishwa na imani za kishirikina, Jeshi la Polisi limeweka mkakati maalumu wa kukabiliana na vitendo hivyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

IGP Mangu akemea wanaojichukulia sheria mkononi

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu, amesema vitendo vya wananchi kutoheshimu sheria zilizopo vimeongezeka katika miaka ya hivi karibuni  tofauti na zamani. Akizungumza kwa niaba ya IGP...

 

10 years ago

Mwananchi

Tunafundishwa kuchukua sheria mkononi

Mimi nachukia watu kujichukulia sheria mkononi. Napenda watu tuwe watiifu kwa sheria na pale linapotokea tatizo, basi taratibu za kisheria zifuatwe. Naamini kwamba huo ndiyo ustaarabu na pia ni njia sahihi ya kuhakikisha kwamba haki inatendeka.

 

9 years ago

Habarileo

‘Rekodi sheria mkononi uzawadiwe’

JESHI la Polisi nchini limekemea tabia inayoendelea kujengeka miongoni mwa baadhi ya wananchi ya kutoheshimu sheria na kujichukulia sheria mikononi kwa kuwapiga, kuwadhalilisha watuhumiwa, kuwachoma na kuwaua.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwanini Watanzania wanajichukulia sheria mkononi?

ZAMANI, wengine watahoji zamani ya lini? Sina maana zamani ya mwaka 2000, kwa wengine ni zamani! Sina maana zamani ya miaka 90 au 80 katikati, ninamaanisha zamani ya miaka ya...

 

11 years ago

Habarileo

Mkuchika akemea wanaochukua sheria mkononi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, George Mkuchika WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, George Mkuchika amewataka wananchi kuacha kujichukulia sheria mkononi.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Matukio ya kujichukulia sheria mkononi yakomeshwe

NDANI ya jamii ya Kitanzania kumejengeka utamaduni wa wananchi kujichukulia sheria mikononi katika mambo mbalimbali.

Miongoni mwa hayo ni yale ya kuwaua wahalifu baadhi kwa kuchomwa moto na wengine kuamua kufunga barabara kwa saa kadhaa baada ya ajali kutokea.

Bila kujali madhara yanayoweza kutokea kutokana na vitendo hivyo, matukio hayo ni kama yamezoeleka ndani ya jamii.

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) katika taarifa yake kwa waandishi wa habari jana kilisema hali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani