Tunafundishwa kuchukua sheria mkononi
Mimi nachukia watu kujichukulia sheria mkononi. Napenda watu tuwe watiifu kwa sheria na pale linapotokea tatizo, basi taratibu za kisheria zifuatwe. Naamini kwamba huo ndiyo ustaarabu na pia ni njia sahihi ya kuhakikisha kwamba haki inatendeka.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo03 Feb
Wanaojichukulia sheria mkononi kukamatwa
KUTOKANA na kukithiri kwa vitendo vya kujichukulia sheria mkononi, kunakosababishwa na imani za kishirikina, Jeshi la Polisi limeweka mkakati maalumu wa kukabiliana na vitendo hivyo.
9 years ago
Habarileo24 Nov
‘Rekodi sheria mkononi uzawadiwe’
JESHI la Polisi nchini limekemea tabia inayoendelea kujengeka miongoni mwa baadhi ya wananchi ya kutoheshimu sheria na kujichukulia sheria mikononi kwa kuwapiga, kuwadhalilisha watuhumiwa, kuwachoma na kuwaua.
10 years ago
Habarileo26 Feb
Wanaojichukulia sheria mkononi kukiona
MKUU wa Wilaya ya Magharibi Unguja, Ayoub Mohamed amesema Serikali ya Mkoa haitokubali kuwaachia wananchi kujichukulia sheria mikononi mwao na kukataa nyumba zao kupigwa dawa kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa malaria.
11 years ago
Habarileo21 Apr
Wanaojichukulia sheria mkononi washutumiwa
MTANDAO wa watu wanaotumia dawa za kulevya Tanzania (TaNPUD), umeomba Serikali iwachukulie hatua watu wanaochukua sheria mkononi dhidi ya watumia dawa za kulevya kwa kuwaona wao ni wahalifu na hawafai kwenye jamii. Kauli hiyo ilitolewa wiki iliyopita na Mwenyekiti wa mtandao huo, Godfrey Ten alipokuwa akizungumzia taarifa ya hivi karibuni iliyotolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utawala Bora, George Mkuchika kuhusu Utawala Bora.
11 years ago
Tanzania Daima09 Mar
Kikwete ameruhusu kujichukulia sheria mkononi?
FEBRUARI 15, mwaka huu Rais Jakaya Kikwete na Mwenyekiti wa CCM taifa alitoa hotuba ya kufungua kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa. Katika sehemu ya hotuba yake, aliwahamasisha wanachama wa...
11 years ago
Habarileo09 Apr
Mkuchika akemea wanaochukua sheria mkononi
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, George Mkuchika amewataka wananchi kuacha kujichukulia sheria mkononi.
11 years ago
Tanzania Daima12 Jan
Kwanini Watanzania wanajichukulia sheria mkononi?
ZAMANI, wengine watahoji zamani ya lini? Sina maana zamani ya mwaka 2000, kwa wengine ni zamani! Sina maana zamani ya miaka 90 au 80 katikati, ninamaanisha zamani ya miaka ya...
10 years ago
Raia Tanzania24 Jul
Matukio ya kujichukulia sheria mkononi yakomeshwe
NDANI ya jamii ya Kitanzania kumejengeka utamaduni wa wananchi kujichukulia sheria mikononi katika mambo mbalimbali.
Miongoni mwa hayo ni yale ya kuwaua wahalifu baadhi kwa kuchomwa moto na wengine kuamua kufunga barabara kwa saa kadhaa baada ya ajali kutokea.
Bila kujali madhara yanayoweza kutokea kutokana na vitendo hivyo, matukio hayo ni kama yamezoeleka ndani ya jamii.
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) katika taarifa yake kwa waandishi wa habari jana kilisema hali...