Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaojichukulia sheria mkononi kukamatwa

Msemaji wa Polisi, Advera Senso KUTOKANA na kukithiri kwa vitendo vya kujichukulia sheria mkononi, kunakosababishwa na imani za kishirikina, Jeshi la Polisi limeweka mkakati maalumu wa kukabiliana na vitendo hivyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wanaojichukulia sheria mkononi washutumiwa

MTANDAO wa watu wanaotumia dawa za kulevya Tanzania (TaNPUD), umeomba Serikali iwachukulie hatua watu wanaochukua sheria mkononi dhidi ya watumia dawa za kulevya kwa kuwaona wao ni wahalifu na hawafai kwenye jamii. Kauli hiyo ilitolewa wiki iliyopita na Mwenyekiti wa mtandao huo, Godfrey Ten alipokuwa akizungumzia taarifa ya hivi karibuni iliyotolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utawala Bora, George Mkuchika kuhusu Utawala Bora.

 

10 years ago

Habarileo

Wanaojichukulia sheria mkononi kukiona

MKUU wa Wilaya ya Magharibi Unguja, Ayoub Mohamed amesema Serikali ya Mkoa haitokubali kuwaachia wananchi kujichukulia sheria mikononi mwao na kukataa nyumba zao kupigwa dawa kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa malaria.

 

11 years ago

Tanzania Daima

IGP Mangu akemea wanaojichukulia sheria mkononi

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu, amesema vitendo vya wananchi kutoheshimu sheria zilizopo vimeongezeka katika miaka ya hivi karibuni  tofauti na zamani. Akizungumza kwa niaba ya IGP...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: JE WAJUA SHERIA INAKURUHUSU RAIA KUKATAA KUKAMATWA NA ASKARI TARATIBU ZINAPOKIUKWA ?

Na  Bashir  Yakub.Siku  zote  wananchi  wamekuwa    wakililalamikia jeshi  la polisi  kwa  namna  linavyoendesha  shughuli  zake hasa wakati  wa  ukamataji (arrest). Matumizi  ya  nguvu, ubabe    na  kutofuata  sheria    na  taratibu  maalum  limekuwa  ndio  tatizo  kubwa  kwa  wananchi  dhidi  ya  askari.  
Sio  siri  askari wamekuwa  wakitumia  nguvu  na  ubabe  mno  katika  kuwakamata raia.  Hata  pale pasipo  na  haja  yoyote  ya  kutumia  nguvu    bado  wao  wamekuwa  wakilazimisha...

 

10 years ago

Mwananchi

Tunafundishwa kuchukua sheria mkononi

Mimi nachukia watu kujichukulia sheria mkononi. Napenda watu tuwe watiifu kwa sheria na pale linapotokea tatizo, basi taratibu za kisheria zifuatwe. Naamini kwamba huo ndiyo ustaarabu na pia ni njia sahihi ya kuhakikisha kwamba haki inatendeka.

 

9 years ago

Habarileo

‘Rekodi sheria mkononi uzawadiwe’

JESHI la Polisi nchini limekemea tabia inayoendelea kujengeka miongoni mwa baadhi ya wananchi ya kutoheshimu sheria na kujichukulia sheria mikononi kwa kuwapiga, kuwadhalilisha watuhumiwa, kuwachoma na kuwaua.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Matukio ya kujichukulia sheria mkononi yakomeshwe

NDANI ya jamii ya Kitanzania kumejengeka utamaduni wa wananchi kujichukulia sheria mikononi katika mambo mbalimbali.

Miongoni mwa hayo ni yale ya kuwaua wahalifu baadhi kwa kuchomwa moto na wengine kuamua kufunga barabara kwa saa kadhaa baada ya ajali kutokea.

Bila kujali madhara yanayoweza kutokea kutokana na vitendo hivyo, matukio hayo ni kama yamezoeleka ndani ya jamii.

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) katika taarifa yake kwa waandishi wa habari jana kilisema hali...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwanini Watanzania wanajichukulia sheria mkononi?

ZAMANI, wengine watahoji zamani ya lini? Sina maana zamani ya mwaka 2000, kwa wengine ni zamani! Sina maana zamani ya miaka 90 au 80 katikati, ninamaanisha zamani ya miaka ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani