Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Urusi na Uchina zasaini mkataba wa gesi

Viongozi wa Urusi na Uchina wamesaini mkataba muhimu wa gesi unaotarajiwa kunufaisha mataifa hayo mawili kwa kipindi kirefu

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TANZANIA NA QATAR ZASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA KAZI NA AJIRA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) kwa pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kazi na Ajira wa Qatar wakisaini Mkataba wa Kazi ambao unalenga kuwawezesha Watanzania hususan vijana wenye ujuzi/taaluma katika fani mbalimbali kupata fursa za ajira na kazi za staha, ujira stahiki, kujiunga na hifadhi za jamii nchini Qatar.  Mkataba huo pia unazingatia sheria na viwango vya kazi kulingana na Mikataba ya Kimaataifa ikiwemo ya Shirika la...

 

10 years ago

Michuzi

ZAMBIA, TANZANIA, KENYA ZASAINI MKATABA KUONESHA DHAMIRA YA KUJENGA MIUNDOMBINU YA UMEME

Na Asteria Muhozya, Dar es Salaam  Nchi za Zambia, Tanzania na Kenya zimesaini Mkataba wa Makubaliano kuonesha dhamira ya Serikali ya nchi hizo kujenga miundombinu ya pamoja ya kusafirisha umeme (ZTK) na kufanya biashara ya kuuziana umeme wa ziada baina ya nchi hizo na nchi nyingine barani Afrika. Akiongea katika hafla hiyo Waziri wa Nishati na Madini, Tanzania Profesa Sospeter Muhongo ameeleza kuwa, mradi huo wa pamoja unalenga kuondoa tatizo la upungufu wa nishati ya umeme baina ya nchi...

 

10 years ago

Michuzi

Vodacom na TFF zasaini mkataba wa udhamini wa ligi kuu kwa miaka mitatu

 Rais wa shirikisho la mpira wa  miguu Tanzania(TFF) Jamali Malinzi(kushoto)na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa kampuni hiyo Kelvin Twissa(kulia)wakielekezwa na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu jinsi ya kusaini mkataba wa makubaliano ya udhamini wa ligi Kuu ya  Vodacom Tanzania  bara kwa msimu wa 2015/16.

 Rais wa shirikisho la mpira wa  miguu Tanzania(TFF) Jamali Malinzi(kushoto)pamoja na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa kampuni hiyo Kelvin Twissa(katikati)wakisaini mkataba...

 

11 years ago

Zitto Kabwe, MB

Mkataba wa Gesi umevuja: #Tanzania kupoteza shs 1.6 trilioni kwa mwaka — #Norway kujirudishia misaada yake yote nchini kupitia mkataba huu

Mkataba wa Gesi umevuja: Tanzania kupoteza shs 1.6 trilioni kwa mwaka

-       Norway kujirudishia misaada yake yote nchini kupitia mkataba huu

 Zitto Kabwe, Mb

Mkataba wa mgawanyo wa mapato yanayotokana na uzalishaji wa Gesi Asilia (PSA) kati ya Shirika la Mafuta na Gesi Tanzania na Kampuni ya Mafuta ya Norway umevujishwa (https://onedrive.live.com/view.aspx?cid=0EC42B180C06D0B8&resid=EC42B180C06D0B8%21107&app=WordPdf). Toka Mkataba huo uvuje na kuanza mijadala kwenye mitandao ya kijamii,...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA NA MALAWI ZASAINI MKATABA WA KUANZISHA KITUO CHA PAMOJA CHA UHAMIAJI NA USHURU WA FORODHA

Na Ally Kondo, Lilongwe  Nchi za Afrika zimehimizwa kufanya biashara baina yao ili kujiletea maendeleo, badala ya kusubiri misaada isiyokuwa na uhakika kutoka nchi wahisani. Kauli hiyo ilitolewa na Waziri wa Fedha, Mhe. Saada Salum (Mb) wakati wa hafla ya uwekaji saini Mkataba wa kuanzisha Kituo cha Pamoja cha Uhamiaji na Ushuru wa Forodha cha Songwe - Kasumulu kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Malawi.   Uwekaji saini huo ulifanyika Lilongwe, Malawi leo  Jumatatu tarehe 10 Machi,...

 

11 years ago

BBCSwahili

Urusi yadai Ukraine inakiuka mkataba

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi, Sergei Lavrov, ametuhumu maafisa wakuu wa Kiev kwa kuvunja mkataba uliofikiwa wiki jana mjini Geneva kusuluhisha mgogoro wa Ukraine.

 

11 years ago

BBCSwahili

Urusi yaonywa kuhusu mkataba wa Ukrain

Waziri wa maswala ya kigeni nchini Marekani John Kerry awapigia simu maafisa wakuu katika serikali za Ukrain na Urusi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Urusi yaipandishia Ukraine bei ya Gesi

Kampuni ya Gasi nchini Urusi GAZPROM imeongeza bei ya bidhaa hiyo inayoilipisha Ukrain kuanzia hii leo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Urusi yasitisha huduma ya gesi kwa Ukraine

Kampuni ya Urusi Gazprom imesitisha usambazaji wake wa gesi kwa Ukraine baada ya siku ya mwisho ya Ukraine kulipa deni lake la dola billioni 2 kukamilika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani