Tanzania —Zambia- Kenya zasaini makubaliano ya Usafirisaji Umeme
![](http://4.bp.blogspot.com/-ztNeZyKh9LA/VI_WFRzO2hI/AAAAAAAG3ck/18rKtHJ1FSI/s72-c/picha%2Bmoja.jpg)
Na Teresia Mhagama
Nchi za Tanzania, Zambia na Kenya zimetiliana saini Makubaliano ya Awali (MoU) ya kuanza kwa utekelezaji wa mradi mkubwa wa miundombinu ya kusafirisha umeme wa msongo mkubwa wa kilovolti 400.
Makubaliano hayo ya awali yamesainiwa tarehe 15 desemba 2014, nchini Zambia na Mawaziri wanaosimamia sekta ya Nishati katika nchi husika ambao ni Waziri wa Nishati na Madini nchini, Profesa Sospeter Muhongo, Waziri wa Wizara ya Migodi, Nishati na Maendeleo ya Maji wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/W8k9GghxLBunmAl55Jvd6x6R5QGgMudqhsllG4EQHHsnTCLL*pRytPa9-y6uYEWwRMLl*xGb2xQKEll8ofIZHkswrq*NYWGx/pichamoja.jpg?width=650)
TANZANIA - ZAMBIA - KENYA ZASAINI MAKUBALIANO YA USAFIRISAJI UMEME
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ykRRpFWva6I/VCtS92V2dXI/AAAAAAAGm2g/hQC35PpiF84/s72-c/unnamed%2B(27).jpg)
ZAMBIA, TANZANIA, KENYA ZASAINI MKATABA KUONESHA DHAMIRA YA KUJENGA MIUNDOMBINU YA UMEME
10 years ago
Habarileo01 Oct
Mradi wa umeme nafuu Kenya, Tanzania na Zambia waanza
UJENZI wa miundombinu ya kusafirisha umeme kutoka nchini Kenya kupitia Tanzania mpaka Zambia unaotarajiwa kupunguza bei za umeme kwa nchi husika umeanza, huku mawaziri wa sekta ya nishati kwa nchi husika wakikubaliana kukamilisha mwishoni mwa mwaka 2016.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-zS6TWfP8xmg/U9_o0dz5OYI/AAAAAAAF9Ik/qSMHpnmukrA/s72-c/unnamed.jpg)
Tanzania, Marekani zasaini makubaliano ya Utekelezaji wa Power Africa Initiative
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo pamoja na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Bw. Mark B. Childress wamesaini Makubaliano ya Awali (MoU) kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Marekani kwa ajili ya kutekeleza mpango wa Serikali ya Marekani wa kusaidia maendeleo ya sekta ya umeme barani Afrika, unaoitwa “Power Africa Initiative” ambao umetengewa kiasi cha Dola za Marekani bilioni 7 na serikali ya nchi hiyo, ...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-KmVekn5mVhY/VCkZXOAi_SI/AAAAAAAGmcY/6upO1BjyRSs/s72-c/unnamed%2B(50).jpg)
TANZANIA, KENYA, ZAMBIA WAANZA KUJADILI UTEKELEZAJI MRADI UMEME WA PAMOJA
Wataalamu kutoka nchi za Zambia, Kenya na Tanzania kutoka Wizara zinazoshughulika na masuala ya nishati wameanza majadiliano ya Utekelezaji wa Mradi wa Kuunganisha Mtandao wa Umeme katika Gridi za nchi hizo. Kikao cha Majadiliano hayo kiliongozwa na Makatibu Wakuu kutoka katika nchi husika na kitafuatiwa na mkutano wa Mawaziri utakaofanyika tarehe 30 Septemba, 2014 jijini Dar es Salaam.
Akizungumza katika kikao hicho Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati...
10 years ago
Dewji Blog01 Oct
Profesa Sospeter Muhongo asaini mkataba wa mradi wa kuuziana umeme kati ya Zambia, Tanzania na Kenya
Mawaziri wanaoshughulikia Nishati kutoka nchi za Zambia, Tanzania na Kenya wakisaini Mkataba wa Makubaliano kuonesha dhamira ya Serikali ya nchi hizo kujenga miundombinu ya pamoja ya kusafirisha umeme na kufanya biashara ya kuuziana umeme wa ziada baina ya nchi hizo.
Na Anitha Jonas, Maelezo-DSM.
WAZIRI wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo jana ametia saini Mkataba wa Mradi kujenga Miundombinu ya kuuziana umeme kati ya Zambia, Tanzania na Kenya (ZTK) katika Mkutano wa Kumi...
9 years ago
GPL30 Sep
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-8XONTZxJWEQ/VNCem4aqFjI/AAAAAAACzPc/s7XW7Kq_12c/s72-c/unnamed.jpg)
Huawei na Umoja wa Afrika zasaini makubaliano kuboresha miundombinu ya teknohama Afrika
![](http://2.bp.blogspot.com/-8XONTZxJWEQ/VNCem4aqFjI/AAAAAAACzPc/s7XW7Kq_12c/s1600/unnamed.jpg)
10 years ago
Dewji Blog24 Mar
Tanzania na Kenya watiliana saini makubaliano ya kupiga vita biashara haramu ya mbao na mazao ya misitu
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki nchini Tanzania, Bi. Gladness Mkamba akifafanua jambo baada ya kutia saini makubaliano kati ya Tanzania na Kenya kupiga vita biashara haramu ya mbao pamoja na mazao ya misitu inayofanyika kupitia mipaka ya nchi hizo katika mkutano uliofanyika jijini Arusha na Kuandaliwa na Shirika la kimataifa la kulinda wanyama na viumbe hai World Wildlife Foundation (WWF) ambao ni waandaaji na washirika wa makubaliano hayo pamoja na shirika la TRAFFIC....