Mradi wa umeme nafuu Kenya, Tanzania na Zambia waanza
UJENZI wa miundombinu ya kusafirisha umeme kutoka nchini Kenya kupitia Tanzania mpaka Zambia unaotarajiwa kupunguza bei za umeme kwa nchi husika umeanza, huku mawaziri wa sekta ya nishati kwa nchi husika wakikubaliana kukamilisha mwishoni mwa mwaka 2016.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
TANZANIA, KENYA, ZAMBIA WAANZA KUJADILI UTEKELEZAJI MRADI UMEME WA PAMOJA
Wataalamu kutoka nchi za Zambia, Kenya na Tanzania kutoka Wizara zinazoshughulika na masuala ya nishati wameanza majadiliano ya Utekelezaji wa Mradi wa Kuunganisha Mtandao wa Umeme katika Gridi za nchi hizo. Kikao cha Majadiliano hayo kiliongozwa na Makatibu Wakuu kutoka katika nchi husika na kitafuatiwa na mkutano wa Mawaziri utakaofanyika tarehe 30 Septemba, 2014 jijini Dar es Salaam.
Akizungumza katika kikao hicho Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati...
11 years ago
Dewji Blog01 Oct
Profesa Sospeter Muhongo asaini mkataba wa mradi wa kuuziana umeme kati ya Zambia, Tanzania na Kenya
Mawaziri wanaoshughulikia Nishati kutoka nchi za Zambia, Tanzania na Kenya wakisaini Mkataba wa Makubaliano kuonesha dhamira ya Serikali ya nchi hizo kujenga miundombinu ya pamoja ya kusafirisha umeme na kufanya biashara ya kuuziana umeme wa ziada baina ya nchi hizo.
Na Anitha Jonas, Maelezo-DSM.
WAZIRI wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo jana ametia saini Mkataba wa Mradi kujenga Miundombinu ya kuuziana umeme kati ya Zambia, Tanzania na Kenya (ZTK) katika Mkutano wa Kumi...
10 years ago
Michuzi
Tanzania —Zambia- Kenya zasaini makubaliano ya Usafirisaji Umeme
Nchi za Tanzania, Zambia na Kenya zimetiliana saini Makubaliano ya Awali (MoU) ya kuanza kwa utekelezaji wa mradi mkubwa wa miundombinu ya kusafirisha umeme wa msongo mkubwa wa kilovolti 400.
Makubaliano hayo ya awali yamesainiwa tarehe 15 desemba 2014, nchini Zambia na Mawaziri wanaosimamia sekta ya Nishati katika nchi husika ambao ni Waziri wa Nishati na Madini nchini, Profesa Sospeter Muhongo, Waziri wa Wizara ya Migodi, Nishati na Maendeleo ya Maji wa...
10 years ago
GPL
TANZANIA - ZAMBIA - KENYA ZASAINI MAKUBALIANO YA USAFIRISAJI UMEME
11 years ago
Michuzi.jpg)
ZAMBIA, TANZANIA, KENYA ZASAINI MKATABA KUONESHA DHAMIRA YA KUJENGA MIUNDOMBINU YA UMEME
10 years ago
MichuziWAZIRI WA NISHATI NA MADINI NA NAIBU WAKE WAANZA KAZI RASMI KWA KUTEMBELEA MRADI WA UMEME WA KINYEREZI
11 years ago
Michuzi01 Nov
TANZANIA NA BURUNDI ZA SAINI MKATABA WA MIAKA 50 KUSAFIRISHA UMEME KUTOKA MRADI WA RUSUMO
11 years ago
VijimamboTANZANIA NA BURUNDI ZATILIANA SAINI MKATABA WA MIAKA 50 KUSAFIRISHA UMEME KUTOKA MRADI WA RUSUMO
11 years ago
Mwananchi09 Oct
Samunge kufurahia umeme nafuu