Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UN Tanzania, Norway watia saini mkataba wa bil 6.9/-

MKURUGENZI wa Shirika la Umoja wa Mataifa, Alvaro RodriguezUMOJA wa Mataifa nchini Tanzania umetia saini mkataba na ubalozi wa Norway wa Sh bilioni 6. 9 (dola za Marekani milioni 3.1) kusaidia masuala mbalimbali nchini Tanzania. Masuala hayo ni ya wakimbizi, utawala bora, haki za binadamu na ushirikiano na watu wa Zanzibar.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WATUMISHI HOUSING COMPANY, BENKI YA CRDB WATIA SAINI MKATABA WA MIKOPO YA NYUMBA KWA WATUMISHI WA UMMA


Mkurugenzi wa Benki ya CCRD, Dk.Charles Kimei (kulia) na Mkurugenzi wa Watumishi Housing Company, Dk. Fred Msemwa wakisaini mkataba wa mikopo ya nyumba kwa watumishi wa Umma Dar es Salaam leo asubuhi.
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo (kulia), akitia saini mkataba huo. Kutoka kushoto ni Chief Operation Officer wa WHCTZ, Weja Ng'olo, Ofisa Mtendaji Mkuu wa TMRC, Oscar Mgaya, Mkurugenzi wa Watumishi Housing Company, Dk.Fred Msemwa na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Charles Kimei.
Mkurugenzi wa...

 

9 years ago

Habarileo

EU,UN watia saini ruzuku kusaidia Tanzania

JUMUIYA ya Ulaya (EU) imetia saini na Mashirika ya Umoja wa Mataifa yaliyopo nchini Tanzania yanayofanya kazi kama shirika moja (One UN) wa ruzuku ya Euro 200,000 (takribani Sh 478,000,000) kwa ajili ya shughuli za maendeleo zitakazonufaisha wananchi wa Tanzania.

 

11 years ago

Zitto Kabwe, MB

Mkataba wa Gesi umevuja: #Tanzania kupoteza shs 1.6 trilioni kwa mwaka — #Norway kujirudishia misaada yake yote nchini kupitia mkataba huu

Mkataba wa Gesi umevuja: Tanzania kupoteza shs 1.6 trilioni kwa mwaka

-       Norway kujirudishia misaada yake yote nchini kupitia mkataba huu

 Zitto Kabwe, Mb

Mkataba wa mgawanyo wa mapato yanayotokana na uzalishaji wa Gesi Asilia (PSA) kati ya Shirika la Mafuta na Gesi Tanzania na Kampuni ya Mafuta ya Norway umevujishwa (https://onedrive.live.com/view.aspx?cid=0EC42B180C06D0B8&resid=EC42B180C06D0B8%21107&app=WordPdf). Toka Mkataba huo uvuje na kuanza mijadala kwenye mitandao ya kijamii,...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA NA BURUNDI ZA SAINI MKATABA WA MIAKA 50 KUSAFIRISHA UMEME KUTOKA MRADI WA RUSUMO

 Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania , Profesa, Sospeter Muhongo (kushoto) na Waziri wa Nishati na Madini wa nchi ya Burundi, Mhe. Come Manirakiza wakitia saini mkataba wa miaka 50 wa  usafirishaji wa umeme kutoka Mradi wa Rusumo kwenda nchini humo katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam jana. Mradi huo unazihusisha nchi tatu za Tanzania, Rwanda na Burundi. Waziri wa Nishati na Madini, Profesa, Sospeter Muhongo (kushoto), akibadilishana hati na Waziri wa Nishati na Madini wa nchi ya...

 

10 years ago

GPL

VODACOM NA TFF ZATILIANA SAINI MKATABA WA KUIDHAMINI LIGI KUU TANZANIA BARA

Rais wa TFF, Jamal Malinzi (kushoto) na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twissa wakijiandaa kutiliana saini mikataba yao. Kulia anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi hiyo, Boniface Wambura. Malinzi na Twissa wakibadilishana mikataba huku Wambura (katikati) akishuhudia.
Malinzi akisistiza jambo kwenye mkutano…

 

11 years ago

Vijimambo

TANZANIA NA BURUNDI ZATILIANA SAINI MKATABA WA MIAKA 50 KUSAFIRISHA UMEME KUTOKA MRADI WA RUSUMO

Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania , Profesa, Sospeter Muhongo.Waziri wa Nishati na Madini wa nchi ya Burundi, Come Manirakiza.Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania , Profesa, Sospeter Muhongo (kushoto) na Waziri wa Nishati na Madini wa nchi ya Burundi, Come Manirakiza wakisaini mkataba huo.Waziri wa Nishati na Madini, Profesa, Sospeter Muhongo (kushoto), akibadilishana hati na Waziri wa Nishati na Madini wa nchi ya Burundi, Come Manirakiza, baada ya kutiliana saini mkataba wa miaka...

 

10 years ago

Dewji Blog

UNESCO, Serikali watia saini mradi wa mafunzo ya Tehama kwa walimu

DSC_0023

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues (wa pili kulia), Balozi wa China nchini, Mh. LU Youqing  (kushoto), Afisa utawala na fedha wa UNESCO, Spencer Bokosha (kulia), Ofisa anayeshughulikia masuala ya Elimu Kitaifa wa UNESCO, Tumsifu Mmar pamoja na mkalimani wa Balozi wa China wakifurahi jambo wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome (hayupo pichani) akiwasili kwenye...

 

11 years ago

Michuzi

NORWAY NA ZANZIBAR ZATILIANA SAINI UJENGWAJI WA WODI MPYA YA WATOTO HOSPITAL YA MNAZI MMOJA

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Mohammed Jidawi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo Kikuu cha Helse Bergen kiliopo Haukelang Norway Dkt. Stener Kvinnsland wakitia saini makubaliano ya ujenzi wa Wodi mpya ya watoto eneo la Mnazi mmoja wakishuhudiwa na Balozi wa Norway Nchini Tanzania Bi. Ingunn Klepsvik alieva miwani. Balozi wa Norway Nchini Tanzania Bi. Ingunn Klepsvik akizungumza na viongozi wa Wizara ya Afya waliongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Mohammed Jidawi mara baada ya utiaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani