Zanzibar, India zatiliana saini mkataba wa uwakala wa utangazaji Utalii wa ZNZ nchini India
Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JIHIL ENTERPRISES ya India Nd. Jilesh H. Babla wakitiliana saini mkataba wa makubaliano ya kuanzishwa kwa ofisi ya uwakala wa Utangazaji Utalii wa Zanzibar Nchini India. (Picha na Makame Mshenga Maelezo-Zanzibar).
Na Abdulla Ali Maelezo-Zanzibar
Wizara ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo18 Feb
DIA NA ZANZIBAR ZATILIANA SAINI YA KUANZISHWA KWA OFISI YA KUTANGAZA UTALII WA ZANZIBAR NCHINI INDIA
10 years ago
GPLVODACOM NA TFF ZATILIANA SAINI MKATABA WA KUIDHAMINI LIGI KUU TANZANIA BARA
10 years ago
VijimamboTANZANIA NA BURUNDI ZATILIANA SAINI MKATABA WA MIAKA 50 KUSAFIRISHA UMEME KUTOKA MRADI WA RUSUMO
10 years ago
Mwananchi08 Sep
Zanzibar kufungua ofisi ya utalii India
10 years ago
Dewji Blog16 Apr
Ongezeko la utalii wa kimatibabu nchini India
Mapema wiki hii dunia iliungana kuadhimisha Siku ya Afya Duniani, kimataifa ni siku ambayo huadhimishwa tarehe 7 Aprili kila mwaka. Siku hii imekuwa ikienda sambamba na masuala ya kiafya na mambo mengine mbalimbali yanayotambua hatua zinazochukuliwa na sekta ya afya katika kupambana na magonjwa. Katika miaka ya hivi karibuni mataifa mengi yanayoendelea yamekuwa yakifanya mabadiliko makubwa katika mfumo wa huduma ya afya ili kuendana na viwango vya kimataifa vilivyowekwa na Ulaya na...
5 years ago
MichuziTANZANIA YASHINDA TUZO YA UTALII NCHINI INDIA
Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Baraka Luvanda (kulia) akipokea Tuzo ya Utalii baada ya Tanzania kuibuka mshindi kwa kuonekana ni eneo bora zaidi la Utalii wa Wanyamapori duniani nchini India kwa mwaka 2020 (The Best International Wildlife Destination) iliyotangazwa katika hafla ya kutoa tuzo hizo zilizotolewa na Jarida la Utalii la "Outlook Traveller Magazine" na kufanyika katika Hoteli ya Rossette jijini New Delhi, India tarehe 22 Februari 2020.
Mhe. Balozi Luvanda akifuatilia...
10 years ago
Michuzi22 Apr
NHC) NA SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM ZATILIANA SAINI MKATABA WA MANUNUZI YA ENEO LA OFISI JENGO LA MOROCCO SQUARE
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu (kushoto), akibadilishana hati za mkataba na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa wakitiliana saini makubaliano rasmi ya mauzo ya sehemu ya eneo la ofisi katika mradi wa kipekee mpya wa Morocco Square, Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Ujenzi wa mradi huo wenye huduma mbalimbali za kisasa unaendelea. (Picha kwa Hisani ya Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma na Huduma kwa Jamii) Mkurugenzi wa Shirika la...
10 years ago
Dewji Blog17 Mar
Chuo cha takwimu cha India kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya mafunzo ya watalamu wa Chuo ch EASTC
Mkuu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC) Prof. Innocent Ngalinda akimwelezea Naibu Balozi wa India nchini Balvinder Humpal kuhusu chumba cha kompyuta kilichopo chuoni hapo wakati wa kuangalia maadalizi ya kutiliana saini ya Mkataba wa Makubaliano ya Mafunzo ya Watalaam wa Takwimu wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika na Chuo cha Takwimu cha nchini India utakaosainiwa tarehe 28 Machi, 2015.(PICHA NA VERONICA KAZIMOTO).
Na Veronica Kazimoto, MAELEZO
Chuo cha Takwimu Mashariki...