TANZANIA YASHINDA TUZO YA UTALII NCHINI INDIA
Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Baraka Luvanda (kulia) akipokea Tuzo ya Utalii baada ya Tanzania kuibuka mshindi kwa kuonekana ni eneo bora zaidi la Utalii wa Wanyamapori duniani nchini India kwa mwaka 2020 (The Best International Wildlife Destination) iliyotangazwa katika hafla ya kutoa tuzo hizo zilizotolewa na Jarida la Utalii la "Outlook Traveller Magazine" na kufanyika katika Hoteli ya Rossette jijini New Delhi, India tarehe 22 Februari 2020.
Mhe. Balozi Luvanda akifuatilia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Zanzibar, India zatiliana saini mkataba wa uwakala wa utangazaji Utalii wa ZNZ nchini India
Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JIHIL ENTERPRISES ya India Nd. Jilesh H. Babla wakitiliana saini mkataba wa makubaliano ya kuanzishwa kwa ofisi ya uwakala wa Utangazaji Utalii wa Zanzibar Nchini India. (Picha na Makame Mshenga Maelezo-Zanzibar).
Na Abdulla Ali Maelezo-Zanzibar
Wizara ya...
10 years ago
Dewji Blog16 Apr
Ongezeko la utalii wa kimatibabu nchini India
Mapema wiki hii dunia iliungana kuadhimisha Siku ya Afya Duniani, kimataifa ni siku ambayo huadhimishwa tarehe 7 Aprili kila mwaka. Siku hii imekuwa ikienda sambamba na masuala ya kiafya na mambo mengine mbalimbali yanayotambua hatua zinazochukuliwa na sekta ya afya katika kupambana na magonjwa. Katika miaka ya hivi karibuni mataifa mengi yanayoendelea yamekuwa yakifanya mabadiliko makubwa katika mfumo wa huduma ya afya ili kuendana na viwango vya kimataifa vilivyowekwa na Ulaya na...
9 years ago
MichuziNGO YA TANZANIA Mtandao wa Kijamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania ( MJUMITA) YASHINDA TUZO YA UMOJA WA MATAIFA
9 years ago
VijimamboNGO YA TANZANIA YASHINDA TUZO YA UMOJA WA MATAIFA
9 years ago
Bongo514 Dec
EFM yashinda tuzo za Tanzania Leadership [Awards] 2015
Kituo cha redio cha EFM cha Dar es Salaam, kimeshinda tuzo za Tanzania Leadership [Awards] zinazotolewa na taasisi maarufu ya Purple Cow.
Utoaji wa tuzo hizo ulifanyika Ijumaa iliyopita kwenye hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro. Katika kipengele cha Kituo Bora cha Redio mwaka 2015, nafasi ya pili ilikamatwa na TBC Taifa.
Meneja Mawasiliano na Mahusiano wa EFM, Dennis Ssebo amesema ushindi huo una maana kubwa kwao.
“Sina wasiwasi kwa mafanikio haya kwasababu juhudi zetu zinajidhihirisha...
9 years ago
Michuzi06 Dec
Benki ya NMB yashinda nafasi ya kwanza Tuzo za NBAA kwa mabenki Tanzania
10 years ago
Vijimambo18 Feb
DIA NA ZANZIBAR ZATILIANA SAINI YA KUANZISHWA KWA OFISI YA KUTANGAZA UTALII WA ZANZIBAR NCHINI INDIA
11 years ago
Michuzi08 Jun
MAZIWA YA ASAS DAIRIES LTD NDIO MAZIWA BORA TANZANIA YASHINDA TUZO YA UBORA KWA MIAKA MIWILI MFULULIZO ,MAKAMPUNI 30 YAACHWA MBALI
Picha zaidi...
10 years ago
Vijimambo08 Dec
BODI YA UTALII TANZANIA (TTB) TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA SUNDERLAND (SAFC) ZATANGAZA UTALII WA TANZANIA UINGEREZA