Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EFM yashinda tuzo za Tanzania Leadership [Awards] 2015

1

Kituo cha redio cha EFM cha Dar es Salaam, kimeshinda tuzo za Tanzania Leadership [Awards] zinazotolewa na taasisi maarufu ya Purple Cow.

1

Utoaji wa tuzo hizo ulifanyika Ijumaa iliyopita kwenye hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro. Katika kipengele cha Kituo Bora cha Redio mwaka 2015, nafasi ya pili ilikamatwa na TBC Taifa.

Meneja Mawasiliano na Mahusiano wa EFM, Dennis Ssebo amesema ushindi huo una maana kubwa kwao.

“Sina wasiwasi kwa mafanikio haya kwasababu juhudi zetu zinajidhihirisha...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TANZANIA AWARDS INTERNATIONAL LTD KUTOA ‘TUZO YA JAMII’ APRILI 2015

Mwenyekiti wa Tanzania Awards International Ltd,  Deonatus Julius Malegesi (kushoto) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Mkuu wa kitengo cha Utafiti, Nyaraka na Majadiliano, Sylivester  Mayunga,  akitoa ufafanuzi baada ya kuulizwa swali na wanahabari. Wanahabari wakiwa kazini  kwenye hafla hiyo. KAMPUNI  ya Tanzania…

 

9 years ago

Vijimambo

Presidential Leadership Awards hosted by GPS and African Leadership Magazine


Fun and Inspiration, celebrating great leadership @ Presidential Leadership Awards hosted by GPS and African Leadership Magazine. In attendance : President Hage Geinbgob of Namibia, Vice President Isatou Njie Saidy of The Gambia representing the Head of State and other great leaders from United States Congress including Honorable John Lewis, Martin Luther King III, Hank Johnson and more. Congratulations once more to GPS and African Leadership Magazine and Thanks to the dynamic Ms Nene Barry...

 

9 years ago

Dewji Blog

TBL Group yashinda tuzo ya mwajiri bora mwaka 2015

TBL ATE 2

Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa (kulia) akimkabidhi  kombe la tuzo ya mwajiri bora kwa Mkurugenzi wa Raslimali Watu wa TBL Group, David Magese (Kushoto) katika hafla iliyoandaliwa na Chama Cha Waajiri Tanzania na kufanyika katika ukumbi wa Mlimani City mwishoni mwa wiki ambapo TBL iliibuka kwa mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka 2015,(katikati) ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck sadiki.

TBL ATE 3

Mkurugenzi wa Raslimali Watu wa TBL Group, David Magese akionyesha kombe la tuzo ya mwajiri bora...

 

9 years ago

Michuzi

NGO YA TANZANIA Mtandao wa Kijamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania ( MJUMITA) YASHINDA TUZO YA UMOJA WA MATAIFA

Na Mwandishi Maalum, New York Mtandao wa Kijamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania ( MJUMITA) ni kati ya Asasi 21 ambazo jana ( jumatatu) zimetangawa kuwa washindi wa Tuzo ya Ikweta (Equator Prize ) kwa mwaka 2015 Tuzo hiyo ya Ikwete hutolewa na Mfuko wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa ( UNDP) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wanaofadhili tuzo hiyo. Kila NGO iliyoshinda Tuzo hiyo inanyakua kitita cha dola 10,000 za Kimarekani. Ushindi wa MJUMITA pamoja na NGO nyingine 20...

 

5 years ago

Michuzi

TANZANIA YASHINDA TUZO YA UTALII NCHINI INDIA




Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Baraka Luvanda (kulia) akipokea Tuzo ya Utalii baada ya Tanzania kuibuka mshindi kwa kuonekana ni eneo bora zaidi la Utalii wa Wanyamapori duniani nchini India kwa mwaka 2020 (The Best International Wildlife Destination) iliyotangazwa katika hafla ya kutoa tuzo hizo zilizotolewa na Jarida la Utalii la "Outlook Traveller Magazine" na kufanyika katika Hoteli ya Rossette jijini New Delhi, India tarehe 22 Februari 2020.

Mhe. Balozi Luvanda akifuatilia...

 

9 years ago

Vijimambo

NGO YA TANZANIA YASHINDA TUZO YA UMOJA WA MATAIFA

Bi. Helen Clark, Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa ( UNDP) akiwatangaza washindi wa Tuzo ya Ikweta ambayo hutolewa na Umoja Mataifa kwa NGO ambazo zinajihusisha na utunzaji wa mazingira, ulinzi na uhifadhi wa misitu, matumizi bora na endelevu ya ardhi na mali asili na kupiga vita umaskini. Tuzo ya mwaka huu wa 2015 ambayo ni dola za kimarekani 10, 000 kwa kila mshindi inakwenda kwa NGO 21 ambapo NGO ya Tanzania ijulikanayo kama Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu...

 

9 years ago

Bongo5

Washindi wa tuzo za ‘Nigeria Entertainment Awards’ 2015 (Orodha kamili)

Orodha kamili ya washindi wa tuzo za Nigeria Entertainment Awards 2015 (NEA) zilizotolewa Sept 6 New York, Marekani tayari imetolewa. Katika tuzo hizo msanii wa Uganda, Eddy Kenzo ndiye ameshinda kipengele cha ‘African Artist of The Year’ cha wasanii wasiotoka Nigeria ambacho Diamond pia alikuwa nominee. Hii ni orodha kamili ya washindi. Album of the […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani