Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA AWARDS INTERNATIONAL LTD KUTOA ‘TUZO YA JAMII’ APRILI 2015

Mwenyekiti wa Tanzania Awards International Ltd,  Deonatus Julius Malegesi (kushoto) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Mkuu wa kitengo cha Utafiti, Nyaraka na Majadiliano, Sylivester  Mayunga,  akitoa ufafanuzi baada ya kuulizwa swali na wanahabari. Wanahabari wakiwa kazini  kwenye hafla hiyo. KAMPUNI  ya Tanzania…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

EFM yashinda tuzo za Tanzania Leadership [Awards] 2015

1

Kituo cha redio cha EFM cha Dar es Salaam, kimeshinda tuzo za Tanzania Leadership [Awards] zinazotolewa na taasisi maarufu ya Purple Cow.

1

Utoaji wa tuzo hizo ulifanyika Ijumaa iliyopita kwenye hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro. Katika kipengele cha Kituo Bora cha Redio mwaka 2015, nafasi ya pili ilikamatwa na TBC Taifa.

Meneja Mawasiliano na Mahusiano wa EFM, Dennis Ssebo amesema ushindi huo una maana kubwa kwao.

“Sina wasiwasi kwa mafanikio haya kwasababu juhudi zetu zinajidhihirisha...

 

5 years ago

Michuzi

KUNDI LA SIMBA JAMII TANZANIA LAZIDI KUTOA MISAADA KWA JAMII

Leo tarehe 05 April,2020 kundi maarufu la Simba Jamii Tanzania limekabidhi sehemu ya misaada ya viti vya walemavu (wheelchairs) kwa mwanafunzi mlemavu Lucy Furaha Kajuni wa shule ya Msingi Nzovwe iliyopo mkoani Mbeya.

Msaada huo ulitolewa mbele ya Mwenyekiti wa Kamati ya Shule hiyo Ndg Happy Bakamba pamoja na maafisa kadhaa wa Kata.

Simba Jamii iliwakilishwa na wanachama wake Ndg Jacob Madege,Ndg Mwakalilila,Ndg Anangisye na Ndg Maureen.

Mkuu wa msafara wa Simba Jamii Ndg Maureen amedai kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO MKOANI MOROGORO TAREHE 9 APRILI, 2015

Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (MB) azindua rasmi Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto mkoani Morogoro tarehe 9 Aprili, 2015. Baraza hili linafanya kikao chake cha siku mbili kuanzia tarehe 9 hadi 10 Aprili, 2015.
Baraza la Wafanyakazi linaundwa na wawakilishi wa wafanyakazi wote wa Wizara na wanachaguliwa kwa mfumo wa haki na uwazi. Baraza hili ni chombo muhimu sana kwani uhalali na uundwaji wake upo kisheria. ...

 

10 years ago

GPL

WASHINDI WA TUZO ZA CRITICS' CHOICE TELEVISION AWARDS 2015

James Corden akimtangaza Allison Janney (hayupo pichani) kushinda tuzo ya Best Supporting Actress.
James akimkabidhi tuzo Allison Janney. Allison Janney akimbusu James…

 

9 years ago

Bongo5

Washindi wa tuzo za ‘Nigeria Entertainment Awards’ 2015 (Orodha kamili)

Orodha kamili ya washindi wa tuzo za Nigeria Entertainment Awards 2015 (NEA) zilizotolewa Sept 6 New York, Marekani tayari imetolewa. Katika tuzo hizo msanii wa Uganda, Eddy Kenzo ndiye ameshinda kipengele cha ‘African Artist of The Year’ cha wasanii wasiotoka Nigeria ambacho Diamond pia alikuwa nominee. Hii ni orodha kamili ya washindi. Album of the […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkutano mkuu wa 31, tuzo za viongozi wa serikali za mitaa (Mayors Award) na miaka 30 ya ALAT kufanyika aprili 8-11, 2015 jijini Dar

1 (1)

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) ambaye pia ni Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi (katikati), akizungumza na waandishi wa habari jijini jana kuhusu Mkutano Mkuu wa 31 wa ALAT utakaokwenda sambamba na Tuzo za Viongozi wa Serikali za Mitaa ‘Mayors Award’ na Miaka 30 ya ALAT, utakaofanyika katika hoteli ya Kunduchi jijijni Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa ALAT, Habraham Shamumoyo na (kulia) ni Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB ambao ndio...

 

10 years ago

Bongo5

Majina ya wanaowania tuzo za 2015 Grammy Awards yatangazwa, zitatolewa Feb. (orodha kamili)

Majina ya wasanii wanaowania tuzo kubwa za Grammy Awards yametangazwa Ijumaa Dec 5. Pharrell Williams na Ed Sheeran ndio wanaowania vipengele vikubwa vinne kikiwemo cha album bora ya mwaka. Wengine waliotajwa kuwania tuzo hizo ni pamoja na Beyonce, Iggy Azalea, Drake, Nicki Minaj, Chris Brown, Kanye West na wengine. Beyonce pia ametajwa kuwa ndio msanii […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani