Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UZINDUZI WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO MKOANI MOROGORO TAREHE 9 APRILI, 2015

Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (MB) azindua rasmi Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto mkoani Morogoro tarehe 9 Aprili, 2015. Baraza hili linafanya kikao chake cha siku mbili kuanzia tarehe 9 hadi 10 Aprili, 2015.
Baraza la Wafanyakazi linaundwa na wawakilishi wa wafanyakazi wote wa Wizara na wanachaguliwa kwa mfumo wa haki na uwazi. Baraza hili ni chombo muhimu sana kwani uhalali na uundwaji wake upo kisheria. ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dk. Pindi H. Chana afungua kikao cha baraza la watoto dodoma

 Wajumbe wa Kamati Kuu wa Baraza la Watoto wakijadili baadhi ya mambo yanayowahusu watoto pamoja na changamoto zinazo wakabili katika kikao cha Kamati Kuu ya Baraza la Watoto kilichofunguliwa na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dk. Pindi H. Chana mjini Dodoma.

 Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dk. Pindi H. Chana na viongozi wengine akimsikiliza  Mwenyekiti wa Baraza la Watoto Ameir Haji Khamis  Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto yatoa taarifa kuhusu hali ya Kipindupindu nchini

ummy 1

Waziri Ummy Mwalimu alizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na hali ya kipindupindu nchini ambapo hadi sasa ni mikoa 21 ya Tanzania Bara imeathirika.Jumla ya watu 12,222 wameugua kipindupindu na kati yao watu 196 wameshafariki.

ummy 2

Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakimfuatilia waziri huyo(hayupo pichani) alipokuwa akitoa taarifa hiyo.Hata hivyo Waziri Ummy ameagiza kila wiki (jumatatu) wizara yake kutoa  taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu hali ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto yatangaza Mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Donan Mmbando  akieleza kuhusu Mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele mbele ya Waandishi wa Habari jana 17 Desemba, 2015. Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Donan Mmbando akionyesha aina ya dawa zinazotakiwa kugawiwa kwa umma wakati alipotangaza Mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele mbele ya Waandishi wa...

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA AFYA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WATOTO NA WAZEE AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA HOSPITALI YA AMANA JIJINI DAR LEO.

Naibu waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Khamis Kigwangala akielekea katika hospitali ya Amana leo jijini Dar es Salaa mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Joseph Magufuli.        Naibu waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na            Watoto, Dkt.  Khamis Kigwangala akizungumza na wauguzi aliowakuta katika          hospitali ya Amana leo alipotembelea katika hospitali hiyo jijini...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Kigwangalla-Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

Dk Hamis Andrea Kigwangalla ndiye Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Pombe Magufuli.

 

10 years ago

Vijimambo

KAIMU MKUU WA MKOA WA MOROGORO AFUNGUA RASMI BARAZA YA WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA HALI YA HEWA NCHINI MKOANI MOROGORO

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Festo Kiswaga (Mkuu wa Wilaya ya Mvomero) akiongea na wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) katika ufunguzi wa Baraza la wafanyakazi wa TMA linalofanyika mkoani Morogoro katika hoteli ya Oasis tarehe 31 Machi hadi 01 Aprili 2015.Mkurugenzi Mkuu TMA Dkt Agnes Kijazi akimkaribisha mgeni rasmi ili kufungua Baraza la wafanyakazi wa TMA linalofanyika mkoani Morogoro katika hoteli ya Oasis tarehe 31 Machi hadi 01 Aprili 2015.Wajumbe wa Baraza la...

 

11 years ago

Michuzi

BARAZA LA WAFANYAKAZI WAFANYIKA MKOANI MOROGORO

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Joel Bendera akifafanua jambo wakati alipofungua Mkutano wa Saba wa Baraza la Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima uliofanyika katika Ukumbi wa WAMO Mjini Morogoro, (wa pili Kulia) ni Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Bw. Fedelis Mafumiko na (wa kwanza kulia) ni Naibu Mkurugenzi Taaluma, Bw. Welberforce Meena (Kushoto) ni Naibu Mkurugenzi Fedha na Utawala Bw.Edward Lugakingira. Baadhi ya Watumishi wa Taasisi ya Elimu ya Watu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani