KAIMU MKUU WA MKOA WA MOROGORO AFUNGUA RASMI BARAZA YA WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA HALI YA HEWA NCHINI MKOANI MOROGORO
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Festo Kiswaga (Mkuu wa Wilaya ya Mvomero) akiongea na wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) katika ufunguzi wa Baraza la wafanyakazi wa TMA linalofanyika mkoani Morogoro katika hoteli ya Oasis tarehe 31 Machi hadi 01 Aprili 2015.
Mkurugenzi Mkuu TMA Dkt Agnes Kijazi akimkaribisha mgeni rasmi ili kufungua Baraza la wafanyakazi wa TMA linalofanyika mkoani Morogoro katika hoteli ya Oasis tarehe 31 Machi hadi 01 Aprili 2015.
Wajumbe wa Baraza la...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziUFUNGUZI WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA), MKOANI MOROGORO
MKUU wa wilaya ya Mvomero, mkoa wa Morogoro, Festo Kiswaga, Machi 31, 2015, amefungua mkutano wa siku mbili wa Baraza la wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania, unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli Oasis , mjini Morogoro.
Mkuu huyo wa wilaya alimwakilisha mkuu wa mkoa, Dk Rajab Rutengwe ,na katika hotuba yake ya ufunguzi wa Baraza hilo ,amewapongeza wafanyakazi wa Mamlaka hiyo kwa kuendeleza na kuitangaza taaluma yao vizuri ya utabiri wa hali ya hewa ikiwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-CWrN_zGpowE/Xt9ZuGgT1zI/AAAAAAALtJo/nLdi_CaTmpo6kZF7UfuVn5oxCPXyVjBpgCLcBGAsYHQ/s72-c/TMA.jpg)
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) yatoa rasmi mwelekeo wa hali ya hewa msimu wa kipupwe nchini.
![](https://1.bp.blogspot.com/-CWrN_zGpowE/Xt9ZuGgT1zI/AAAAAAALtJo/nLdi_CaTmpo6kZF7UfuVn5oxCPXyVjBpgCLcBGAsYHQ/s400/TMA.jpg)
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi mwelekeo wa hali ya hewa wa msimu wa kipupwe nchini, kwa Mwezi Juni hadi Agosti 2020 na kusema kuwa mwaka huu kutakuwa na vipindi vya upepo mkali wa kusi na hali ya ukavu katika maeneo mengi ya nchini.
Pia mamlaka imesema, vipindi vya baridi kali vinatarajiwa kuwepo katika msimu huu katika maeneo ya miinuko ya nyanda za juu kusini magharibi hususan nyakati za usiku na na asubuhi.
Akizungumzia msimu huo,...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGUA RASMI MKUTANO MKUU WA TATU WA TPS SACCOS Ltd LEO, MKOANI MOROGORO
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-dc4Mwrw6QT4/VBgiuf69GBI/AAAAAAAGj8M/-FVeHCAjxng/s72-c/unnamed%2B(49).jpg)
MKUU WA MKOA WA ARUSHA AAGIZA MAMLAKA ZA HALI YA HEWA KUSINI MWA AFRIKA KUSHIRIKIANA KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO ZA HUDUMA ZA HALI YA HEWA KATIKA KANDA YA SADC
Mkutano huo unafanyika mkoani Arusha. Akifungua mkutano huo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha mgeni rasmi ambaye ni mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Jowika W. Kasunga alizitaka taasis za hali ya hewa kusini mwa Afrika ikiwemo TMA kushirikiana katika kutatua changamoto zinazoikabili...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-s6H8gBDNMEY/VIVjIbUrWrI/AAAAAAAG16A/Rbr5217A81c/s72-c/unnamed%2B(68).jpg)
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI
Akizungumzia makubaliano hayo Dkt Agnes Kijazi alisema Mamlaka ya Hali ya Hewa ililiomba Shirika la Hali ya Hewa Duniani kuisaidia TMA kuboresha huduma zake ili ziwe za kisasa...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-jUsys5IIb-Q/VIWWTCotiOI/AAAAAAADRKQ/czUQxGXW8lo/s72-c/uk-met.jpg)
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-jUsys5IIb-Q/VIWWTCotiOI/AAAAAAADRKQ/czUQxGXW8lo/s1600/uk-met.jpg)
9 years ago
MichuziJAJI MKUU WA TANZANIA AFUNGUA RASMI KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI KATIKA UKUMBI WA MT. GASPER MKOANI DODOMA
11 years ago
MichuziBARAZA LA WAFANYAKAZI WAFANYIKA MKOANI MOROGORO
10 years ago
MichuziWaziri Magufuli afungua Mkutano wa tano wa Baraza la Wafanyakazi TANROADS-Morogoro