Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMKO LA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTO KUHUSU SIKU YA KIMATAIFA YA KUPINGA UKEKETAJI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto yatoa taarifa kuhusu hali ya Kipindupindu nchini

ummy 1

Waziri Ummy Mwalimu alizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na hali ya kipindupindu nchini ambapo hadi sasa ni mikoa 21 ya Tanzania Bara imeathirika.Jumla ya watu 12,222 wameugua kipindupindu na kati yao watu 196 wameshafariki.

ummy 2

Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakimfuatilia waziri huyo(hayupo pichani) alipokuwa akitoa taarifa hiyo.Hata hivyo Waziri Ummy ameagiza kila wiki (jumatatu) wizara yake kutoa  taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu hali ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tamko la pamoja kwa siku ya kimataifa ya kukomesha ukeketaji dhidi ya wa watoto wa kike

10945033_856755441041229_6165141623154796543_o

UNFPA, UNICEF, Shirikisho la Kimataifa la Wakunga na Shirikisho la Kimataifa la Magonjwa ya Wanawake na Uzazi.

Wito kwa wafanyakazi wa afya duniani kote ili kuhamasisha kukomesha ukeketaji

Kwa mwaka 2015, ujumbe wa kimataifa wa siku ya kupinga ukeketaji umewalenga wahudumu wa afya; “Uhamasishaji na ushirikishwaji wa wafanyakazi wa Afya ili kuharakisha kutokomeza ukeketaji”. Na hii ni kwa sababu asilimia 34 ya ukeketaji duniani hufanywa na wahudumu wa afya.

Pamoja na ujumbe huu mahsusi kwa...

 

10 years ago

GPL

TAMKO LA PAMOJA KWA SIKU YA KIMATAIFA YA KUKOMESHA UKEKETAJI DHIDI YA WA WATOTO WA KIKE‏

UNFPA, UNICEF, Shirikisho la Kimataifa la Wakunga na Shirikisho la Kimataifa la Magonjwa ya Wanawake na Uzazi.Wito kwa wafanyakazi wa afya duniani kote ili kuhamasisha kukomesha ukeketaji Kwa mwaka 2015, ujumbe wa kimataifa wa siku ya kupinga ukeketaji umewalenga wahudumu wa afya; “Uhamasishaji na ushirikishwaji wa wafanyakazi wa Afya ili kuharakisha kutokomeza ukeketaji”. Na hii ni kwa sababu asilimia 34 ya ukeketaji...

 

10 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO MKOANI MOROGORO TAREHE 9 APRILI, 2015

Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (MB) azindua rasmi Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto mkoani Morogoro tarehe 9 Aprili, 2015. Baraza hili linafanya kikao chake cha siku mbili kuanzia tarehe 9 hadi 10 Aprili, 2015.
Baraza la Wafanyakazi linaundwa na wawakilishi wa wafanyakazi wote wa Wizara na wanachaguliwa kwa mfumo wa haki na uwazi. Baraza hili ni chombo muhimu sana kwani uhalali na uundwaji wake upo kisheria. ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto yatangaza Mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Donan Mmbando  akieleza kuhusu Mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele mbele ya Waandishi wa Habari jana 17 Desemba, 2015. Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Donan Mmbando akionyesha aina ya dawa zinazotakiwa kugawiwa kwa umma wakati alipotangaza Mpango wa Taifa wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele mbele ya Waandishi wa...

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA AFYA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WATOTO NA WAZEE AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA HOSPITALI YA AMANA JIJINI DAR LEO.

Naibu waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Khamis Kigwangala akielekea katika hospitali ya Amana leo jijini Dar es Salaa mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Joseph Magufuli.        Naibu waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na            Watoto, Dkt.  Khamis Kigwangala akizungumza na wauguzi aliowakuta katika          hospitali ya Amana leo alipotembelea katika hospitali hiyo jijini...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Kigwangalla-Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

Dk Hamis Andrea Kigwangalla ndiye Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Pombe Magufuli.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani