Tamko la pamoja kwa siku ya kimataifa ya kukomesha ukeketaji dhidi ya wa watoto wa kike
UNFPA, UNICEF, Shirikisho la Kimataifa la Wakunga na Shirikisho la Kimataifa la Magonjwa ya Wanawake na Uzazi.
Wito kwa wafanyakazi wa afya duniani kote ili kuhamasisha kukomesha ukeketaji
Kwa mwaka 2015, ujumbe wa kimataifa wa siku ya kupinga ukeketaji umewalenga wahudumu wa afya; “Uhamasishaji na ushirikishwaji wa wafanyakazi wa Afya ili kuharakisha kutokomeza ukeketaji”. Na hii ni kwa sababu asilimia 34 ya ukeketaji duniani hufanywa na wahudumu wa afya.
Pamoja na ujumbe huu mahsusi kwa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/10945033_856755441041229_6165141623154796543_o.jpg)
TAMKO LA PAMOJA KWA SIKU YA KIMATAIFA YA KUKOMESHA UKEKETAJI DHIDI YA WA WATOTO WA KIKE
10 years ago
MichuziTANZANIA YASAINI MAKUBALIANO NA UINGEREZA YA KUKOMESHA NDOA ZA UTOTONI NA UKEKETAJI KWA WATOTO KIKE
10 years ago
Michuzi05 Feb
11 years ago
GPL18 Dec
MAKAHABA WAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA KUKOMESHA UNYANYASAJI DHIDI YA WAFANYABIASHARA YA NGONO KENYA
10 years ago
Dewji Blog12 Mar
Shirika la WOWAP lawafunda vijana Singida kukabiliana na ukeketaji kwa watoto wa kike
Mratibu wa mradi wa kutokomeza ukeketaji kwa njia ya majadiliano mkoa wa Singida, Zuhura Karya, akihamasisha wanavikundi wa vijana na wanawake kata ya Sepuka jimbo la Singida magharibi kuongeza juhudi katika kupambana na vitendo vya ukeketaji kwa watoto wa kike. Kwa mujibu wa mratibu Karya, kwa sasa hali ni mbaya zaidi kwa vile vitoto vichanga vinakeketwa kwa kucha.
Baadhi ya wanavikundi wa wanawake wa kata ya Sepuka jimbo la Singida magharibi,wakifuatilia elimu juu ya madhara yatokanayo...
10 years ago
Mwananchi21 Sep
Tuungane kwa pamoja kupambana na ukeketaji
10 years ago
Habarileo21 Mar
EU yaanzisha mradi kukomesha ukeketaji
UMOJA wa Ulaya (EU) kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Plan umeanza mradi maalumu wa miaka miwili katika wilaya ya Tarime mkoani Mara, kuzuia ndoa za utotoni na vitendo vya ukeketaji kwa watoto wa kike utakaogharimu zaidi ya Euro 400,000.
10 years ago
Dewji Blog07 Jan
Serikali yatakiwa kukomesha ubabe kwenye ukeketaji
Mratibu wa kituo cha TFGM na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Mtakatifu Catherine Laboure ya Kijiji cha Masanga kilichopo wilayani Tarime mkoani Mara, Thomas Maruga akiwatembeza maeneo mbalimbali ya shule hiyo na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kulia) na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya watu duniani (UNFPA), Dkt. Natalia Kanem (kushoto) wakati wa sherehe ya...